Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs...
Kwanza niwapongeze Yanga kwa kufika Fainali. Huyo mganga wenu msimuache na akifa endeleeni na atakayemrithisha matunguli yake.
Leo nazungumzia goli la pili alilofunga Mayele. Nimpongeze kwa kuwa...
Inadaiwa kuwa Nyota huyo wa Los Angeles anafikiria kuhusu uamuzi huo baada ya timu yake kupoteza kwa 4-0 dhidi ya Denver Nuggets katika Fainali za Ukanda wa Magharibi kwenye Ligi ya Kikapu ya NBA...
Miezi michache iliyopita Rais alitoa tiketi 20k bure kwa ajili ya mashabiki kwenda kuishangalia Taifa Stars vs. Uganda matokeo yake tulipigwa.
Jana katoa tena tiketi 5k bure kwa mashabiki kwenda...
" Diarra ameleta mapinduzi makubwq sana nchini katika idara ya goalkeeping.
Ana footwoork nzuri, anaweza akapiga pasi ndefu ya mita karibia 60 mpaka 70 na ikamfikia mlengwa pale alipo. Anaweza...
Moja kwa moja kwenye mada, ni kama Yanga wana asilimia nyingi kuingia fainali CAF confederation cup nimejaribu kuangalia fixtures za CAF fainali inatakiwa kuchezwa 28 May first leg na June 3...
One of the most Popular football player in afrika ni Fiston Mayele
Najua wengi watabisha kwasababu ya ushabiki wao lakini nitakacho kisema hapa ni ukweli
Fiston Mayele Ndiye mchezaji maarufu...
Walianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora).
Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani?
Tukumbushane...
Nipo nimekaa paleee
Baada ya wydad kutinga fainali kwa faida ya goli la ugenini na kufanikiwa kuwatoa mamelody kwa mbungi iliyopigwa na kutoka sare ya magoli mawili Kila timu.
Sasa tusubiri...
PAMBA WALALAMIKA KUFANYIWA FIGISU
Uongozi wa klabu ya Pamba ya Jijini Mwanza umeomba uongozi wa TFF kuchunguza Upangaji wa matokeo kwenye Mchezo wao wa jana 1st leg play off dhidi ya Mashujaa FC...
ASUBUHI kitandani pale Johannesburg nilikuwa nasikiliza watangazaji wa Afrika Kusini wakimsifia straika wa Yanga, Fiston Mayele.
Namna alivyofunga bao moja na kupika jingine dhidi ya Marumo...
Hapo jana taa za Sanamu Maarufu la “Kristu Mkombozi”(christ the redeemer) lililopo Rio de Janeiro huko Brazil zilizimwa kwa Muda wa Saa Moja hapo Jana ili kuonesha Mshikamano wa Watu wa Brazil na...
Sijui nini kimemkuta ndugu yetu yaani sikumbuki ni lini alicheza katika ubora wake.
Akijaribu kwenda mbele kushambulia mara anasahau mpira nyuma. Lakini hata kukaba ni changamoto.
Leo Kibabage...
Kwanza kabisa piga marufuku wanasiasa na wasaka sifa kuja kambini kwa kisingizio cha kuleta hamasa kwa wachezaji. Kuna watu wanataka kuitumia Yanga kama mtaji wao kisiasa hawa ni wa kuwaeupuka...
Hii nadharia ya kuwasema Wanaoshiriki Shirikisho ni waliofeli sio sahihi, hii ni kujificha kwenye kivuli Cha kufeli Kwa Magungu.
Kuna michuano wanaita CAF champions League, yaani michuano ya...
Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa...
Taarifa za ndani nilizozipata kutoka Jikoni katika Klabu moja na hata kule Kwenyewe kabisa CAF ni kwamba kama kuna Refa ( Mwamuzi ) ambaye atachunguzwa mno Maamuzi yake Kiuchezeshaji Siku hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.