Ni moja kati ya wanasoka nguli waliowahi kutikisa ulimwengu wa soka zama zake, Fatilia mkasa wake..
Part 1:: Diego alizaliwa sehemu masikini alishindwa kuweza hata kumudu nauli ya kwenda kufanya...
Ukweli usemwe, Simba bado ni klabu yenye mafanikio Afrikla msimu huu kama siku zote kuifananisha na Yanga ni dharau.
Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana...
1)Mwaka 1977, Simba iliweka rekodi katika mechi za watani wa jadi kwa kuifunga Yanga mabao 6-0.
Zaidi ya miaka 42 rekodi hiyo haijafikiwa.
2)Mwaka 1938, Sunderland (kwa sasa Simba SC) ilikuwa...
Naona taratibu wameanza kurudisha utawala wao. Kwa sasa wana timu 5 zinazo cheza hatua za nusu fainali.
Pale champions league kuna Ac Milan na Inter Milan. Hawa wanaenda kukipiga nusu fainali wao...
Sijajua vigezo wanavyotumia TFF lakini hata kwa kipofu asiyetazama mpira na kusikiliza kwa Radio anajua kazi kubwa aliyoifanya Khalid Aucho, TFF inathubutuje kutomtaja katika orodha ya viungo...
Tff na Bodi ya ligi haya ni madudu makubwa Tena makubwa sana mliyoyaonesha ya kutoa orodha ya majina ya wanao wania hizo tuzo kabla ya ligi kufika tamati.
Bila kupepesa Macho NALIA NGWENA na...
Nikiwa timamu na akili zangu zote nimeamua kuzichukua dhambi zote za yule aliyefanikisha usajili wa Fiston Kalala Mayele[emoji146].
Huu ni usajili bora zaidi kwenye ligi yetu toka kuumbwa kwa...
Huwa nafikilia sana mtu kashiba chipumu na kitambi chake Cha kifaduro unakuta ana shupaza shingo na kusema kuwa Yanga inanunua mechi.
Tazama mechi ya Yanga vs Dodoma mpira uliochezwa.
Tazama...
Mchezaji wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000/- kwa kumkanyaga kwa maksudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman katika mchezo uliohusisha timu hizo...
Mpira wa Afrika umetawaliwa na timu kutoka Afrika ya kaskazini au tunaweza kuwaita Waarabu.
Baada ya mamelody kuondoshwa mashindanoni na Waarabu wa Wydad,
Sasa ni wazi kuwa kwa sisi waafrika...
Mchezo huu ni wa Nusu Fainali ya pili baina ya timu hizo katika Ligi ya Mabingwa Afrika, unapigwa Nchini Afrika Kusini baada ya awali kumalizika kwa suluhu ya 0-0 Nchini Morocco.
Mchezo umeanza...
Pochettino hana uwezo wa kufundisha timu yenye malengo makubwa,hivyo anaenda kuipeleka hii timu kuwa midtable team.....
Mtag mmaliza chaki yeyote unayemfahamu,mimi naanza na lembu
Goli pekee la ushindi la Nottingham Forest lililowekwa wavuni na Taiwo Anoniyi dhidi ya Arsenal, leo Mei 20, 2023 ni rasmi limeifanya Manchester City kutwaa ubingwa wa ligi hiyo ikiwa na michezo...
Hatimaye timu ya Marumo Gallants aka Bahlabani ba Ntwa wameshuka daraja baada ya hapo jana kufungwa bao 2 kwa sifuri na timu ya Swallows katika ligi ya Premium ya Afrika ya Kusini
Itakumbukwa...
Mzamiru yasini kaonekana kwenye tunzo ya mchezaji Bora lakini pia kaonekana kwenye tunzo ya kiungo bora.
Hii ni tofauti na Yanga kutokana na kikosi kipana alichonacho na ndiyo maana Khaleed Aucho...
Habari ndugu zangu, ujue dunia inaenda kasi sana.
Ni muda mrefu taifa letu limekuwa linalililia uwakilishi wa vilabu vyetu kimataifa.
Hatimaye Mungu amekisikia kilio cha watanzania baada ya muda...
Hapa bodi ya ligi na TFF mmefanya jambo la maana kwa maslai makubwa ya mpira wetu
===
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) inawataarifu kuwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC msimu wa...
Mimi utabiri wangu upo hivi[emoji116][emoji116]
Kipa bora -Diarra (sababu ana cleansheet nyingi kuliko makipa wote)
Kiungo bora -Chama ( sababu ana assist nyingi kuliko wote)
Mfungaji bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.