Shirikisho la Soka Afrika limetangaza ongezeko la Asilimia 40 katika zawadi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, ivi ndivyo viwango vipya vya fedha kwa kila hatua;
Ligi ya...
Leo TFF imetoa orodha ya Wachezaji na Walimu wanaowania tuzo mbalimbali za Ubora Kwa msimu wa 2022/2023. Ni Jambo jema linaloleta motisha Kwa Wachezaji na Walimu kuonyesha jinsi kujitoa kwao...
YANGA imeendelea kupokea salamu za pongezi ambapo China nayo imetoa pongezi zake kufuatia timu hiyo kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Salamu za China zimetolewa na Balozi wao wa...
Sasa Rasmi nimeamua kumvua Feisal Salum jina la ZANZIBAR FINEST na kumpatia jina hili kijana mdogo anayepiga kazi kubwa mno na kuibeba Zanzibar kwenye mabega yake na siyo mwingine Bali ni Ibrahimu...
Nawaona washabiki wa Simba wanalia na usajili, Sasa hata kama Mo akitoa Hela hao best players mtawatoa wapi, maana timu mbili tu ndo Zina wachezaji Wazuri na wanaowafaa yaani yanga na Mamelodi, na...
Wakuu, hata historia ya nchi yetu utakutwa inaandikwa kwa maslahi hivi ya upande fulani.
Soma nukuu hii na imetokea mwaka huu tu lakini pana kikundi kinataka kutuaminisha kuwa waondo wa mwanzo...
Hadi kufikia sasa ambapo Simba ametinga robo fainali kibabe, kwa kumchabanga Horoya mabao 7-0 kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika CAFCL, huku Yanga ikitinga robo fainali kombe la Shirikisho...
Ni wazi nyeupeee peee kwamba sasa ni yanga vs usm alger fainali ya shirikisho afrika
Anaenuna na anune ila huo ndio ukweli
Tukutane tar 28 mwezi huu halafu tuhitimishe tar 3 mwezi ujao
Kila la...
Tuweke rekodi sawa,
Mnamo mwaka afu tisa mia kenda 39
Kilabu ya Simba ilishawahi kupewa na serikali na kupanda ndege kuelekea kwenye kombe la Stella na hatimaye kunyanyua kwapa.
Majirani...
Bila kujari Yanga itaanzia wapi lakini natowa wito kwa matawi yote ya Yanga nchi nzima na kwa uongozi wa Yanga huu ndio muda sahihi wa kupanga mkakati kabambe kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi...
Fiston Kalala Mayele ni Mshambuliaji mwenye kila Kitu ambacho Kocha atakipenda.
Kwanini GENTAMYCINE nampenda mno Fiston Kalala Mayele kuliko Wengine Wanaojitafuta akina Phiri na Baleke?
1...
Nafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu...
Huyu mwamba ukimuangalia kuanzia umbo lake, jinsi anavyowapa shida mabeki wa timu pinzani, jinsi anavyofunga magoli, na jinsi anavyoshangilia magoli aliyofunga unapata picha halisi ya Mwamba wa...
Hawa tumeingia nao fainali lakini tushawahi kucheza nao kitambo na tukawaua, mechi hiyo ilihuhduriwa na Mkuu wa majeshi na Manji, tena kipindi hicho Yanga ya kuunga unga mwana
[emoji94] Ile timu tuliyoaminishwa kuwa ni bendi kwakuwa imekusanya wakongo wengi hatimae imetinga fainali ya CAFCC duuh, na ndo hao hapo wanakata mayenu baada ya kumaliza kazi ya msingi...
Kwa mujibu wa shirika la Soccerzone, iliyotoa orodha ya vilabu vyenye mafanikio zaidi kwa kila nchi, Club ya Yanga pekee imeng'ara kwa alama nyingi zaidi ikiachwa mbali kidogo na mahasimu wao club...
Baada ya jana Yanga kushinda south Afrika imezua taharuki kwenye kipindi cha EFM ambacho pundit wote waliitabiria Yanga kupigwa kipigo cha mbwa mwizi south afrika
Swali ni kwamba wataongea...
Josep ‘Pep’ Gurdiola na Nasreddine Nabi ‘Prof Nabi’ ni makocha 2 maarufu sana ambao wanakimbizia rekodi zinazofanana katika maeneo tofauti.
Pep kocha maarufu Duniani kote anakimbizia rekodi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.