Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

EPL imetoa orodha ya makocha sita wanaowania tuzo ya kocha bora wa msimu. Makocha hao watapigiwa kura na mmoja wao ataibuka kidedea na kutangazwa hapo baadae. Wewe ungemchagua nani? 1. Pep...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Kila mtu Ana starehe yake ya kipekee wakati wa mapumziko yake,kwangu Mimi gaming (hasa Pes)ndio ya kwanza. Najua humu madon wa hili game wapo,ningependa tuwe tunashare techniques,tactics zile za...
2 Reactions
68 Replies
3K Views
Kwenye rekodi ya timu ya kwanza kuchukua ubingwa ligi ya Tanganyika inasomeka SUNDERLAND lakini Simba wanadai ndiyo wao ila jina limebadilika Fainali ya CAF CUP 1993 SImba wanadai ndiyo CAF...
2 Reactions
2 Replies
447 Views
Nawapongeza sana mashabiki wa Simba na Yanga wa huko south Africa kwa uzalendo mkubwa Tena mkiongozwa na Ubalozi wa Tanzania huko south Africa kwani alifanya kazi kubwa sana ya kuwakusanya...
5 Reactions
5 Replies
658 Views
Kama huioni timu yako jua kwamba ni ndogo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3 Reactions
4 Replies
702 Views
Inatumika nguvu kubwa sana kuwaaminisha mashabiki wa kuwa Yanga haliwezi kucheza fainali. Geof Lea umegeuka kuwa mtabiri wa nyota Kama shehe Yahya ama Yule pweza wa Ujerumani. Nimesikiliza...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Hongera kwa wachezaji wa Yanga wote kwa hii hatua adimu mliyotinga haswa kwa taifa letu Tanzania kwa Mara ya kwanza kufika hatua ya fainali. NALIA NGWENA nimetazama mechi ya Rivers United...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
1- Man City 2- Liverpool 3- Tottenham Hotspur 4- Arsenal N.B Man Utd watakuwa wa 7/8!
19 Reactions
304 Replies
13K Views
Nikumuangalia napata hasira sana. Namuona kama Mzee mia Tisa itapendeza r.i.p
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yanga inayoongoza ligi kuu ya Tanzania inakwenda kuchuana na timu inayoshika mkia katika ligi kuu ya Afrika ya kusini kuwania kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,tarehe 10 May...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimemsikia Ahmed Ally akibeza mafanikio ya Yanga kwamba imekutana na vibonge kwa hatua zote alizopita,swali ambalo semaji la CAF hawezi kujibu ni kwamba je Yanga imebeba ubingwa wa NBC Simba akiwa...
11 Reactions
18 Replies
1K Views
Nichukue fursa hii kuwapongeza Timu ya wananchi kwa hatua hii muhimu waliyofika hakika wameliheshimisha Taifa na East africa nzima. EFM Kuna vipindi viwili vya michezo Sport hq na E- sport...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Video imeanza kusambaa ikimuonesha mchezaji wa Azam Sospeter Bajana akiweka dole kwenye makaratasi huku akiwa na jezi ya Simba. Je hii ni dalili kama amesaini Simba? Jionee mwenyewe:
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mitimu mingine Boss Mkuu hajulikani, Bahili, Juha japo lina Hela, anaijali Timu ikikaribia kupata Fedha huku Viongozi wake Wengine wakiwa wapo wapo tu kila Mtu na Lwake halafu na Mishabiki yao (...
10 Reactions
12 Replies
1K Views
Yanga itashinda goli 2 kwa bila na ili upate pesa nyingi bashiri kuwa goli zote zitapatikana kipindi cha kwanza. Pesa nje nje, wataalamu wa betting mnisaidie , nikibeti kwa kutabiri yanga...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Baada ya Yanga kutinga fainali sasa ni mechi ya kuangalia nani anaenda kukutana na Yanga kwenye fainali Mchezo ni saa 4 usiku (EAT) Vikosi kwa timu zote mbili
10 Reactions
191 Replies
13K Views
Hata kama umefika Robo Fainali ya CAFCL mara Nne bado ni Kazi bure ( Work done Zero ) kwa yule aliyefika Fainali ya CAFCC. Kwangu Mimi GENTAMYCINE yule aliyefika Fainali ya CAFCC ndiyo Mwanamume...
10 Reactions
9 Replies
951 Views
Nawapongeza kwa miaka yote mlijaribu lakini baada ya miaka zaidi ya 80 mmefanikiwa. Kuna mtu mmoja anasema eti mwaka mmoja tu semi na hatuishii hapo. Nawakumbusha ninyi siyo Ihefu, ninyi ni Dar...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Yanga ndio huyo Fainali ya Shirikisho. Tambueni tu mtani anachuma alichopanda baada ya msoto mkali. Uwekezaji, mipango-mkakati na utawala bora, maandalizi mazuri ya msimu, kiu ya mafanikio n.k...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Tajiri maneno awapigia yanga saluti baada ya kutinga fainali
7 Reactions
11 Replies
955 Views
Back
Top Bottom