Nitasikitishwa sana Kama kombe la shirikisho litakwenda Algeria wakati Kuna kamati za ufundi za ufundi za Simba na Yanga huwa zinakesha kwa mkapa na muda mwingine huwa zinagombea kuulinda uwanja...
Yanga itachukua kombe la shirikisho mwaka huu natabiri na itakutana fainal na Rabat.
Yanga ndiye bingwa wa confederation cup.
Simba atatoka morocco na fainal. Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule...
Kuna msemo umekua maarufu sana kwa sasa, kwamba mpira ni mchezo wa hadharani watu wanacheza uwanjani na kila mmoja anatazama, kama kuna sehemu ambazo yanga wamefanikiwa sana ni kuwekeza kwenye...
Mafanikio hayana chama Kama wahenga wanavyosema.kitendo cha yanga kufikia fainali ya kombe ya shirikisho n Jambo kubwa kwa maendeleo ya soka la Tanzania lakini Kuna msemo unasema "Roma...
Habari!
Kuiga jambo si ujinga, cha muhimu ni kuangalia faida za jambo lenyewe.
US. hawana kuchelewachelewa kwenye suala la kutoa offer ya uraia wa kudumu kwa mgeni anayefanya vizuri. Wakiamini...
Usm Algiers haina ubavu wa kuifunga Yanga na kwa maana hiyo Yanga atabeba ndoo ya CAF Confederation of Losers.
Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Simba SC, Kanjibai mwaka huu atatimua hadi mesenja.
Pole sana Kipa Msheri vumilia hadi Yanga SC itinge Fainali ya CAFCC leo ichukue na Ubingwa utapona kabisa tatizo lako lisilotibika Hospitali huku Ugonjwa wako ukifichwa na Suala lako likifichwa...
Pamoja na Kumbeza sana, Mchezaji aliyepo kwa mkopo katika klabu ya Yanga, akitokea Berkane ya Morocco, Tuisila Rossein Kisinda, naona kila sababu kwake kushinda medali nyingine ya kombe la...
Yanga hawajaruhusu bao toka mwezi 2 kwenye michuano ya caf waliporuhusu bao dhidi ya bamako kule mali baada ya hapo wameshinda na kufunga mabao 9 ndani ya mechi 6 bila kuruhusu bao.
Wamecheza...
Mpira wa Tanzania umekua hili halina shaka, nadiriki kusema Tanzania ndiyo nchi inayoongoza kuwa na wapenzi na mashabiki wengi wa mpira afrika mashariki na Kati.
Kitu ambacho kilitushinda sisi na...
Mfano Yanga kuingia tu Fainali ina uhakika wa dola lake nane. Ikichukua ubingwa itakunja dola milioni mbili. Simba kuingia robo Fainali ya Champions League walikunja dola mia kadhaa.
Pesa hizi...
"Mfa maji aishi kutapatapa" hayo ni maneno machache yenye maana kubwa sana.
Nimewatazama vizuri sana marumo Fc, kwa kweli Wana mpira wakawaida tu Tena mpira unaochezwa na Yanga ni Bora zaidi...
Kampiga na kumtoa nje ya michuano Mwarabu (Club Africain), hakuna timu Tanzania imewahi kumfunga Mwarabu akiwa kwenye ardhi ya nyumbani kwake ndani ya dk. 90!
Kampiga Rivers nyumbani kwake...
Ubatizo ni kuzamishwa hadi usionekana, ndicho kilichofanyika kwa Real Madrid, amezamishwa! Ukiwauliza watakuambia huo moto waliobatizwa nao si wa kitoto.
Hongera Man City, ila chonde chjonde...
Marumo gallants ni pombe ya ngomani Kila mtu mlevi anajipigia ,
Nitawashangaa na kuwadharau wananchi kwa kujisifia kwa kumpiga marumo goli za kutosha
Marumo kufungwa ni asili Yao .Yan huwezi...
Bahlabani ba Ntwa ba Utopolo [emoji196][emoji196][emoji196]
Utopolo [emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
Mmeingia cha...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1] Mnawacheka Marumo kupigwa 4 na Yanga hawa Madrid vipi? Ukiingia kwenye mfumo wa timu bora haijalishi ukongwe wako watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.