Kweli ninakubaliana na hoja za Wanayanga kuwa wameweka Rekodi ya kufika Nusu Fainali na sasa wanaikaribia Fainali ya Mashindano CAF Confederation.
Nikiwa natumia ubongo huo huo kukubali hayo...
Yanga wako serious kumtaka Khama Billiat...Ni mchezaji mzuri sana!
Hakuna shaka juu ya uwezo wake, kama atafikia asilimia 50 tu ya uwezo wake ninaoujua atasumbua na kuimbwa sana!
Changamoto ya...
Habari ndio hivyo wanasimba wenzangu.
Sijui tukajifiche chaka lipi, hatuna tena la kuwaambia utopolo.
Sehemu pekee tulivyokuwa tumebakiza ni kuwa sisi ni miongoni mwa timu Bora 10 barani Afrika...
Hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la wadau wa mchezo wa mpira wa miguu ambao wanafanya kazi ya kutathmini na kuchambua michezo mbali mbali hapa nchini, hasa mchezo wa soka (gozi la ng’ombe...
Wallace Karia pamoja na mazuri unayojaribu kufanya ,yanaharibiwa na kukosa utu kwenye uongozi wako ..yaani umekuwa mungu.. unataka wote tukubaliane na Kila unachotaka? Ni kiongozi Gani duniani...
Inasemekana msimu ujao atachezea Simba SC huku jambo lake likiendelea kutafutiwa ufumbuzi.
Nimeumia sana, bora angeenda kuchezea hata Azam FC ila sio kwa Simba.
"Niliwaahidi mashabiki wa Simba kuwa msimu huu lazima tumfunge Yanga na tumemfunga tukafurahi wote, kwenye hilo mashabiki wa Simba Hawanidai"
Murtaza Mangungu Mwenyekiti wa Simba SC
Kuna...
Niwape hongera zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli.
Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za...
Naibu Waziri wa Utamaduni sana na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma usiku wa Mei 16, 2023 nchini Afrika Kusini, amepata nafasi ya kufikisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
Kesho naomba Kocha Mkuu wa Yanga aanze na kikosi hiki ili tuweze kuzuia na kupata ushindi;
1. Diara
2. Djuma Shabani
3. Kibwana Shomari
4. Bacca
5. Mwamnyeto
6. Sureboy
7. Mzize
8. Aucho
9...
Kama kuna sehemu ambayo GENTAMYCINE nilikuwa nakutamani ujilete Mwenyewe na nikuparure Kihasira kama Simba Mnyama afanyavyo Msituni ni hii uliyoingia ( uliyojiingiza ) Mwenyewe.
Mwenyekiti wa...
WIKI iliyopita, tukio lililotikisa anga za soka ni lile la kufungiwa maisha kwa Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Tabora, Yusuf Kitumbo akituhumiwa kujihusisha na kupanga matokeo ya mechi za...
Kutokana na uimara na umadhubuti wa Marumo gallants, ni wazi kuwa tunapaswa kuiombea dua njema Yanga ili iweze kufika fainali ya michuano hiyo mikubwa. Kwa mtazamo wangu, hii ni kama bahati kwetu...
Kupitia kipindi cha michezo cha efm, Wilson Oruma amekaririww akisema kwa kikosi cha Yanga ya sasa ukimtoa Fiston Kalala Mayele basi ubora wa Yanga unapungua kwa 50%
Akaongeza zaidi, Mayele pekee...
Simba timu yangu na tanga Azam na nyenginezo frusa imejitokeza pale Sudan Vita hii ni ya kutumia kupata wachezaji japo atupendi Vita na tunaomba ishee wakae kwa amani
Tunajua ulitumia Pesa zako nyingi ulizonazo na kumpa ili azitumie kupata Kura nyingi na awe pandikizi lako ( kama mwana Yanga SC) ili umtumie Kuihujumu Simba SC yetu.
Tunajua Ahadi uliyompa ni...
Kutoka kwa Mwenyekiti wa Simba.
“Niliwaahidi mashabiki wa Simba, msimu huu lazima tumfunge Yanga na tumemfunga tukafurahi wote. Kwenye hilo mashabiki hawanidai”.
[emoji2788] Murtaza Mangungu...
Wasalaam.
Ninaomba mwenye rekodi za Yanga akicheza na klabu za Afrika Kusini hasa mechi zinazochezwa ugenini Afrika Kusini kama hii ya kesho.
Nawasilisha.
GENTAMYCINE nimezoea kuona Rushwa na Makondakta wa Dala Dala kwa Matrafiki.
Ila hii Rushwa ya Kitaalam inayotolewa na Vilabu Viwili Police Tanzania na KMC vinavyopambana kutokushuka Daraja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.