Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Vigezo hivi hapa
2 Reactions
3 Replies
491 Views
Wawakilishi wa Mchezaji Pape Ousmane Sakho hawaridhishwi na kukosekana kwa muda wa kucheza kwa Mteja wao ndani ya Simba, wakiamini Msenegal huyo anastahili muda zaidi wa kucheza. Kutokana na hilo...
15 Reactions
173 Replies
7K Views
Mchezaji ni bidhaa Kama bidhaa zingine dukani, mchezaji anahitaji 'promo" ya Yule anayemsimamia lakini pia mchezaji anahitajika kufanya makubwa haswa pale anapoaminiwa na timu kwani kufanya kwake...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wahuni wamembatiza jina la The Lizard akiwa kwenye meza ya poker, wanasema mwana ni cold-blooded na hii ndio sababu ya wao kumbatiza jina la Mjusi. Antony Grant Bloom. Myahudi mmoja mwenye akili...
1 Reactions
3 Replies
641 Views
Mechi imeanza hapa muhamed 05 huku Wydad wakizidisha zaidi mashambulizi
7 Reactions
262 Replies
15K Views
Baada ya shirika la IFFHS kutoa takwimu za timu Bora ( miamba ya soka iliyofanya vizuri na Yanga kufanya vizuri kuwa nama 9 Africa nmetafakari ubora wa shirika hili. Mafanikio ni ya Yanga mpaka...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimepata pesa fulani hivi huku ikitosha kununua startimes vipi nitaangalia gem ligi zipi na zipi maana lengo nione man U Asenal, Liverpool, etc.. Nipo njiani naenda kufunga sasa
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Nipo hapa Johanesburg South Africa stand ya mabasi nimekutana na wapiga debe hapa wanamkubali mnoo Mayele na wanaikubali mnoo Yanga. Nimeshangaa sana nikatoka nikaenda Soweto kwa waliofika soweto...
22 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii ni list ya wachezaji ambao wanafanana kwa sura lakini hawana undugu wowote. 1. Andrea Barzagli & Javi Fuego Wawili hawa ukiwatazama unaeza kusema mapacha lakini hawana undugu wowote...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt. Hongera kwa...
5 Reactions
44 Replies
8K Views
Erik ten Hag anamuangalia Adrien Rabiot kama 'lengo muhimu' kwa majira ya joto, kulingana na L'Equipe. The Reds walihusishwa na Rabiot msimu uliopita wa joto, lakini hawakuweza kupata makubaliano...
0 Reactions
3 Replies
369 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo Ofisini kwake Mei 15, 2023 Mtumba jijini Dodoma na wawakilishi wa Kampuni za Limonta na Reen Line...
0 Reactions
2 Replies
493 Views
Bwana we! Kuna hizi sanaa za mapigano aina tofauti tofauti. Maswali yangu ni haya hapa yafuatayo: 1. Hivi kuna ambazo ni hatari zaidi kuliko nyingine ama inategemea na umahiri wa mtu? 2. Ile...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Yanga twende kuwapa marumo surprise ambayo hawakutegemea. Maana kwenye akili zao wanafikiri Yanga wataenda na mpira wa kuzuia tu na kupoteza dakika, lakini naamini tunaweza kuwapiga nje ndani...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo katika juhudi za hamasa kuendelea kuunga mkono michezo nchini hususani katika mashindano ya kimataifa, imeamua kugharamia jumla ya mashabiki...
14 Reactions
84 Replies
5K Views
Hii dhambi waliyoifanya Simba itawatafuna, inafahamika kuwa Simba wametumia ujanja wa kuweka pandikizi la huyu mdada kule CAF ili aweze kucheza kazi zote chafu ikiwemo hii ya kuisagia kunguni...
4 Reactions
63 Replies
5K Views
Wawakilishi wa Mchezaji Pape Ousmane Sakho hawaridhishwi na kukosekana kwa muda wa kucheza kwa Mteja wao ndani ya Simba, wakiamini Msenegal huyo anastahili muda zaidi wa kucheza. Kutokana na hilo...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Uchambuzi Kwa mpira niliouna Jana Kwa marumo gallants kama wangecheza na Simba (Makolo) basi taifa lingepata aibu kubwa mno Kwa sababu zifuatazo Spidi ya marumo gallants ni kubwa mno Kwa...
9 Reactions
83 Replies
4K Views
Ubingwa huu wa Yanga una mchango mkubwa wa mtukutu Fei Toto. Jasho lake ni jingi mno kwenye msimamo wa ligi. Aitwe ashiriki kuvaa medali sawa na wenzake.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom