Waaaaaarabuuuuuuu[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
Wameingia cha kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tarehe...
NBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji simba vs ruvu Shooting
Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea
Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting wataendelea...
Wananchi wanakipiga dhidi ya Dodoma FC leo! Wanahitaji point 3 tu watangaze Ubingwa! Unadhani kazi itakua rahisi kwa Yanga mbele ya wanaDodoma?
Wanangu wa mikeka ya Sokabet, Cheki Odds hapa👇
Jamaa wana spidi na wanafika hadi langoni na pasi ni za uhakika sana. Inatakiwa benchi la ufundi lije na muarobaini wa kuwazuia jamaa wasifike langoni.
Maana mechi ya Dar ilikuwa ni almanusura...
Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo......
1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania?
2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako...
MOHAMED HUSSEIN TRANSFER UPDATE🔴
- Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Simba, MO Hussein anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent)...
Huyu mshambuliaji wa Simba kidogo kidogo anapotea kwenye game kama ndugu zake Makambo, Kisinda, Miquisone, Moses Phiri, etc
Hii timu ya Ulaya inataka kumsajil akafanye nini kama hapa anashindwa?
Juzi zimetoka taarifa za upangaji matokeo kati ya mwenyekiti wa timu ya kitayose bw. Yusufu Kitumbo na baadhi ya wachezaji wa Fountain gate. Clip za maongezi hayo zimesambaa pamoja na miamala ya...
Hakika timu za Mwanza zinabahati ya mtende Sana japo sio wao waliopanga iwe hvyo
Mgagasiko wa upangaji wa matokeo kwa timu ya kitayose toka tabora utainufaisha pamba kupanda daraja
Kama...
Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.
Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na...
Leo Simba mnyama mkali mwituni (in Greatest Of All Time 's voice) anacheza na Marumo Gallants ya hapa Bongo, hivyo Mimi kama Afisa Ubashiri Mwandamizi Daraja D (Iwapo Mama akifanya kweli May hii...
◉ TP Mazembe imepokea ofa rasmi kutoka Ulaya kwa Jean Baleke, imethibitishwa 100%.
◉ Klabu iliyowasilisha ofa hiyo ilicheza hatua ya makundi ya Ligi ya Europa msimu huu na mwaka ujao, itacheza...
Timu ya Ruvu Shooting imeshuka daraja rasmi kutoka ligi kuu hadi Championship (ligi daraja la kwanza) msimu ujao baada ya kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Simba katika mchezo wake wa 28 msimu huu...
Hivi kwa nini sasa hivi kila media ina wachambuzi wengi wa soka? Kipindi kimoja wachambuzi 8?
Kuanzia asubuhi, mchana na usiku kote Kuna vipindi vya uchambuzi. Kuna redio moja kipindi cha lisaa...
Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) limewafungia kujihusisha na mpira Mwenyekiti wa Kitayosce FC inayoshiriki Ligi daraja la Kwanza (Championship), Yusuph Kitumbo na kocha wa soka, Ulimboka...
Habari wana jf
Pale Mwanzo wakati jezi za Simba Zina zinduliwa tukikutana na ndugu Mshana Jr kuzijadili kutokana na kujaa Kwa Makolo kolo mengi kwenye jezi hizo hivyo kuleta uzito watimu imagine...
Katika ulimwengu wa roho kinachotofautisha kati ya wanyama na mimea ni kitu kimoja tu nacho ni "Ini". Ndiyo, ini ndiyo kitu pekee kinachotofautisha kati ya wanyama na mimea (katika ulimwengu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.