Mwenendo wa Simba sio mzuri kwa hii miaka miwili sasa kutokana na Viongozi kutosimama imara. Pia Viongozi wa Simba kuruhusu Jeneza kuingia Uwanjani Siku ya Simba Day ilikuwa sio nzuri kwa...
Nawapongeza watani zetu, ingawa roho inauma kwa mafanikio ya soka lenu lilivyokua kwa kasi
Kwenye ushabiki nitasema nyinyi ni wabovu ila mbungi ikipigwa nakubari kuwa mlijifunza kutoka kwa 🦁 na...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameungana na Watanzania kuipongeza klabu ya Yanga kwa hatua ya nusu fainali waliyofikia katika mashindano ya kombe la Shirikisho...
Titizo kubwa la simba ni kujiita giant wa league Ya Tanzania na afrika mashariki
Wote mnajua giant ni mmoja tu wa Tanzania na afrika mashariki ambaye ni yanga pekee yake
Ndo timu pekee yenye...
Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya...
Hapa ni Dimba la kisiba Rungwe. Tungekuwa na serikali yenye maono ungejengwa uwanja mzuri sana hapo na hoteli kubwa sana hapo. Tungepata fedha mingi sana. Mpaka sasa hatuna uwanja unaoweza kupiga...
Awali ilidaiwa kuwa mchakato wa nyota huyo wa Paris Saint-Germain, Lionel Messi (35) kusaini mkataba wa Pauni Milioni 522 (Tsh. Trilioni 1.5) umekamilika na anaweza kujiunga na Klabu ya Al-Hilal...
Bernard Morrisson BM3, the gifted one, King of Football ni mchezaji mwenye kasi/pace/speed na jitihada ya dhati ambayo Yanga ilikuwa inaikosa kwa muda mrefu,Benard Morrisson anajua kucheza kikubwa...
Yanga baada ya kuonekana anaenda semi final simba wakatoka huko waliko wakasema washawahi cheza fainal ya Confederation Cup inachekeshesha sana.
Hivi niulize nani anauzi au ana taarfa inayosema...
Binafsi Ligi ya Bongo ninaona ni ligi dhaifu, kwa mfano mpira anaoupiga Raja Casablanca , ukija kwenye ligi yao anashika nafasi ya Tano. Nini Tafsiri yake?
Hapa kwetu Simba iwe mbovu vipi...
Salaam wakuu, hapa nataka mapendekezo ya wana michezo ni wachezaji gani SIMBA unahisi inawahitaji ili iwe bora zaidi msimu ujao,
Binafsi napendekeza
1. Feisal Salum (feitoto)
2. Singano claude...
Unaweza kuwa na timu Bora lakini rekodi mbaya za Kocha dhidi ya timu pinzani zikakuangusha.
Dylan Kerr hajawahi kuifunga Yanga SC. Msimu wa 2015/2016 akiwa Simba SC, Mchezo wa kwanza kafa 2-0...
Mayele ni mchezi mzuri sana ni mmoja wa wachezaji bora kabisa kuwahi kucheza ktk ligi yetu, katika top 3 ya washambuliaji bora zaidi kutoka nje ya nchi mayele ni mmoja wapo.
Kwa namna anavyocheza...
Timu inamilikiwa na anayesifiwa Tajiri Afrika halafu ndani yake kuna Uswahili Uliotukuka huku hata nae Tajiri akiwa ni Mswahili hivyo hivyo.
Timu inamilikiwa na Tajiri wa Kawaida tu GSM huku...
Yaani dakika ya 11 kashapigwa mbili za chap.
Iko wapi heshima ya nusu fainali jamani?
Hawa jamaa wamepenya vipi mpaka wakafika nusu?
Nawachukulia kama marumo gallants ya ulaya
Maana si kwa pira lile tulilopigiwa, tunaamini kabisa kule south tunaenda kukamilisha ratiba tu.
Kinachokwenda kuiua Yanga kule south ni hivi hapa chini...
1. Game plan yao, ukiwaangalia vizuri...
Huu ni ukweli Tanzania Hakuna timu ambayo inaweza kuleta kombe lolote la africa zaidi ya yanga
Yanga ndo timu kubwa Tanzania.
Kama real madrid alivyo timu kubwa Spain
Na wengine wengi
Apa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.