Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kocha mkuu wa club kubwa Tanzania(Simba SC) ndugu Robertinho, amesema kikosi kiko tayari kuikabili Ruvu Shooting ya Pwani. Akizungumza na Raia Mwema amesema wanatarajia kushinda kwa idadi kubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Kuchomekea shati au tu kochomekea tu ni ishara ya udhanifu na heshima duniani kote. Hilo linafahamika wazi. Ukiangalia wachezaji wa mpira kabla 2005 kurudi chini walikuwa na heshima, dhanifu sana...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya...
1 Reactions
1 Replies
265 Views
SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT), limetangaza Kamati mbalimbali kwa lengo la kuboresha utendaji wa shirikisho hilo. Kamati hizo zimetangazwa na Rais wa RT, Silas Isangi, mbele ya waandishi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ameandika Ahmed Ally === Mara kadhaa utasikia shabiki anasema sisi tunaumia kuliko Wacheza ji au Viongozi. Ndugu zangu ilimradi sote tuna damu ya Simba basi wote tunapitia maumivu, kinachotokea...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Ukipanda bangi siku zote usitegemee kuvuna Mahindi na ndivyo ilivyo kwenye maisha, ukichezea maisha ya ujana usitegemee kufanikiwa uzeeni. Kwenye mpira pia iko ivyo, Simba wamekuwa wakiishia robo...
1 Reactions
3 Replies
560 Views
SIMBA kwenye misimu tano ya ubora wake ameshindwa kupasua ukuta wa nusu fainali Afrika. YANGA msimu wa pili wa ubora wake yupo Nusu fainali ya michuano ya klabu barani Afrika. The sleeping...
1 Reactions
6 Replies
456 Views
Ukiwa tayari nikufanyie hii Kazi Tukuka nenda Ofisi za JamiiForums mtafute Kaka yangu na Mtani wangu mkubwa wa Kihaya JamiiForums Founder Maxence Melo mkabidhi huo Mzigo nitaukuta Kwake...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Milioni 300 Kwa ushindi wa jana, Yanga wanakaribia kuvuta bonasi ya Tsh. 300 milioni ambazo mabosi wa timu hiyo wamewaweka nyota wao endapo watafuzu fainali hizo[emoji383][emoji383].
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Mnyama aligonga sana mlango wa Nusu fainali zaidi ya mara nne ila Wahuni na Masela wakamwambia sogea tuvunje mlango tuingie, hakuna Masterkey kwenye kufuri la Solex ni tindo na mateke tuzame...
2 Reactions
5 Replies
392 Views
Kwa mpira uliochezwa na Kikosi Cha Yanga kilivyo Leo nimeamini kuwa sisi MAKOLO Bora tungehamia Zambia kama tulivyotaka kufanya enzi zile. Kwa kikosi Mahiri Cha wananchi aliyeko nje ni moto...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
"Ni kweli nimekaa Tanzania na Mimi sasa ni Mwanamchi mwana Yanga SC ila nawaonya Yanga SC kuwa wahakikishe katika Mechi yao ya Dar es Salaam dhidi ya Marumo Gallants FC wajitahidi wafunge Goli...
1 Reactions
64 Replies
4K Views
1. Kwao huwa hawafungiki na Wageni 2. Kwao hucheza kwa Spidi ya Kutukuka na isiyoelezeka 3. Uwanja wao wa Nyumbani ni mkubwa na mpana kuliko mbovu wa Jangwani na wa Watalii wa Kigamboni 4...
10 Reactions
92 Replies
7K Views
Katika sajili ambazo Yanga walizifanya na scouting ya maana ni uyu mzanzibari Ibrahim Bacca, ni beki ambaye anastahili maua yake Anajua kukaba mshambuliaji wa aina yeyote yule, anatumia akili...
43 Reactions
34 Replies
4K Views
KIKAO CHA TAKWIMU NA SIO HISIA, UKISHINDWA IN SHAA ALLAH. CLATOUS CHAMA ni Mchezaji wa mechi ndogo mmesema sio?? Tukiomba takwimu za CAF kwenye klabu bingwa msimu huu namwona ana mabao manne...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Nawashangaa Sana mnaoshabikia Yanga na watz Kwa ujumla. Hawa majamaa wanadidimiza wachezaji wazawa kabisaa. Hata mkisema mi mbaguzi Sawa tu.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Sina mengi ya kusema mtaa ninaokaa hapa jiji la Makala Panadol hazipatikani kwenye pharmacy na ukizipata basi kwa bei kubwa kidogo nilipododosa nikaambiwa toka mechi na Wydad vs Simba hali ya dawa...
10 Reactions
4 Replies
356 Views
Kwa mpunga anaoingiza kwenye biashara kwa sasa pesa zinatiririka mithiri ya mashine ya kutoa copy. Kipindi cha Kikwete mambo kwa GSM yalikuwa poa sana japo hakuwa kaingia kwenye mpira. Kipindi...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu nimeona mpira wa Yanga hakika nawaambieni Yanga anaenda kubeba mataji yote 4 aliyoshiriki msimu huu.
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza au kuuliza, naomba mwenye taarifa atujuze ni wakala gani pekee alifaulu mtihani wa FIFA wa uwakala wa wachezaji? Je, watanzania ni vilaza kiasi hiki...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom