Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Marumo Gallants FC ndiyo Timu pekee ambayo ikifungwa Ugenini hata Goli 4 Kwao Afrika Kusini wana Uwezo wa Kukufunga Goli 5 na 6. Kudadadeki. Kila la Kheri Marumo Gallants FC leo. ANGALIZO Kwa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
"Nimewaambia Wachezaji wangu kuwa Mechi hii ya leo ni ngumu Kwetu kwakuwa tunacheza na Timu ngumu na yenye Wachezaji mahiri hivyo tuache kufanya Makosa yasiyo ya lazima na tutumie nafasi zetu...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama leo umeshindwa Kuifunga Timu Dhaifu kutoka Nigeria (japo Ulibahatisha) Kumfunga Kwao (huku Wewe leo ukiwa Nyumbani) ndiyo uweze Kupambana na Klabu isiyotaka Masihara katika Hatua hii na...
10 Reactions
81 Replies
8K Views
"Simba ana point 64 amebakisha mechi 3 atashinda zote na kufikisha point 73 na magoli mengiiiiiii Yanga ana point 71 amebakisha mechi 3 ata droo 2 na atafungwa1 jumla anafikisha point 73 sawa na...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Hayawi hayawi yamekuwa , Leo ni siku nyingine tena tunakutana kuangalia mchezo wa papatupapatu kati ya UTO na Malumo, Leo utopolo watapata matokeo yatakayowashangaza ,ambayo hawajawahi kufikiria...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Tunatia aibu kama taifa kuwa na waandishi wa aina hii. TCRA iinue kiwango cha vyuo vinavyotoa taaluma ya habari, wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya habari na watu wanaofanya kazi za habari...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Unatuharibia image,hako kamchezo ulikuwa nako ukiwa Simba sasa umekakwta jangwani,Sisi tuna timu imara hatuitaji kupuliza dawa kwenye mabasi na dressing room za wapinzani. Unatuharibia sana
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello family, Hongereni Yanga na Mungu awape heri na fanaka kwenye haya mashindano ya CafCC. Inshallah nguvu moja na upendo For our country and for sports. Wadiz
2 Reactions
5 Replies
507 Views
Timu ya Marumo kutoka A. Kusini imewasili Asubui ya leo, na wamelikataa gari waliloandaliwa na wenyeji wao Yanga. Ikumbukwe siku chache mwenyej kapigwa faini kwa kosa la kupulizia sumu kweny gari...
13 Reactions
60 Replies
3K Views
Wakuu sitaki hata salamu, Kwa Hali ya mambo ilipofikia ni wazi kuwa ili Simba isonge mbele ni lazima maamuzi magumu yafanyike. Uamuzi wa kwanza ni mwekezaji wetu Mohamed Dewji anapaswa kukaa...
13 Reactions
64 Replies
3K Views
JINSI ambavyo maisha yanakwenda kasi. Niliwahi kusema mahala. Hatimaye tumefika Mei tukiwa na sakata la Fei Toto mkononi mwetu. Anaitwa mwanasoka lakini hachezi soka la ushindani tangu Desemba...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Nikiwa Kama shabiki mwandamizi wa Yanga sc ndani ya Jamii forum, naomba nichukue fursa/nafasi hii adhimu kuwa karibisha mashabiki wa Simba sc kuja kushuhudia yanga ikikata tiketi yake mapema...
2 Reactions
20 Replies
886 Views
Simple logic ni kuwa Watu wanasema Clatous Chama anacheza chini ya kiwango kwenye big games, niwaulize swali kuna mechi ambayo Simba wamecheza vizuri then Chama hajaperform? Timu kama imeshikwa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Yanga leo tuna jambo letu #PesaZaMama #YangaBingwa #CAFYanga
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Mwanachama Maarufu hapa JamiiForums anayeongoza kwa Kuchukiwa bila sababu yoyote ila amebarikiwa Vingi na Mwenyezi Mungu aitwae GENTAMYCINE akitoka BAN yake apewe Heshima yake ya Kipekee hapa...
20 Reactions
92 Replies
5K Views
Wiki hii ni wiki ya mashindano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu ikiwa ni hatua ya nusu fainali. Kama timu yako haijafanikiwa kufika hatua hii kwa msimu huu basi pole na kusubiria kujipanga kwa...
1 Reactions
1 Replies
375 Views
Naam kumekuwa na propaganda za hapa na pale, za chini chini na za juu juu, zikisambazwa na wanasimba Lia Lia. Hiyo inatokana baada yakuona timu yao aka chuo Cha wastaafu Simba ikiipunga mkono wa...
11 Reactions
58 Replies
2K Views
Picha: Vinicius Junior Picha: Ducapel Moloko Turejee kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Kabla ya yote acha kwanza nitumie neno ili la kifaransa ambao moise katumbi alipenda kutumia kwa mazembe Yake L’Imposible ce n’est pas à young africa Young africa tous puisant Na kuambia ivi...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Nayasubiri Maoni yenu ili niyawasilishe Kwake kupitia Demu wake wa Kitanzania anayempenda hakuna mfano aishiye Keko mita chache tu na Kiwanda cha Pombe Moja Kali ambayo Ukiinywa ni lazima Umkunjie...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Back
Top Bottom