Huu ni msimu wa mvunja rekodi, jini, shetani wa mpira Halaand, nawaza jinsi Inter itakavyoenda kuchakazwa na huyu Bwana.
Rekodi zake sihitaji kuziweka hapa maana zinafahamika
NB: siasa za mpira...
1. UBINGWA KOMBE LA KAGAME
Licha ya Yanga kujivunia rekodi ya kutwaa taji la Kagame nje ya Dar es Salaam, Simba ndiyo vinara wa kulitwaa taji hilo nchini. Simba imewahi kulitwaa taji hilo la...
Marumo Gallants wapo nyumbani kuwaalika Young Africans katika mchezo wa marudiano ya nusu fainali ya CAF Confederation Cup kwanzia saa 1:00 usiku kwa hapa nyumbani Tanzania.
Mechi ya kwanza...
Kikosi cha kilabu ya mnyama mkali mwituni Paka fc, Wakiwa katika mawindo ya kumuwinda Coastal union fc katika mchezo utakaochezwa hivi karibuni.
Watu hao wasiofahamika na wasiojulikana...
Tafadhali mkuu Wimborne wetu usibadilike siku ya JUMAPILI.
Wimbo wa hamasa uwe uleule wa Rivers United. Leo ndo leo leo kivumbi na jashooooooo!
Tafadhali usibadilishwe wakodishwe hata wasanii wa...
Saaaalam Wana JF....nawasalimu kwa jina la TFF
Msimu huu wa Ligi Kuu umeshuhudiwa kwa uwepo wa wachezaji wakali ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara maarufu Kama NBC PREMIER LIGUE....kutoka timu ya...
Tuendelee kufurahia mara ya mwisho mwisho Ushindi wa kumfunga Marumo Gallants FC Goli 2 za kindondocha kwani tarehe 17 Mei, 2023 tutakuwa na huzuni kubwa na kurejea kuendelea na Madafu NBC Rushwa...
Kuna uvaaji wa Jersey wameuleta hawa jamaa haunipendezi kabisa, ni hivi ukifuatilia vizuri uvaaji wao Azizi Ki, Akaminko na Moloko wanakunja kaptula kiasi ambacho mapaja yote huwa nje, kwa upande...
Itoshe kusema jamaa anatosha kabisa kukalia kiti cha CEO. Naamini huyu ndo atatusaidia kuleta kombe la CAFCL hapa bongo.
Nilianza kumuelewa kuanzia tulipopangwa na rivers and now tumepewa...
Hakuna msimu umewaumbua wachambuzi wa Tanzania kama msimu huu;
Knock Out Stade;
"Yanga habari yao imeishia hapo. Hawawezi kumtoa Club Africain aliyeshinda goli (7) kwake. Nabi hawezi mechi za...
Wa Nje
Dumbia
Morrison
Kisinda
Juma Shaban
Wa Ndani
Ngushi
Ambundo
Bryson
Zawadi Mauya
Johora
Yanga inahitaji kama wachezaji 4 wapya wenye quality wa nje. Pia wachezaji 5 wa ndani wenye quality!
Mara nyingi huwa ninaona watu wakijaribu kulinganisha vilabu hivi viwili vya Yanga na Simba, Ila kiuhalisia vilabu hivi vinatofautiana sana kiumri,mafanikio na hata kihistoria.
1.Kiumri Yanga...
Augburg vs Dortmund 38' Augsburg wanapata kadi nyekundu, mechi ijayo Dortmund atakua nyumbani vs Mainz ambayo haina cha kupoteza maana haigombei chochote na iko salama kutoka mstari wa kushuka...
Hawa Mwakarobo x 4, aka Kilo moja ni katimu kamoja kadogo, na kanachojifanya ni katimu ka kimataifa.
Hii Timu ya Simba inatumia kivuli Cha Robo fainali nne kujiita wao wakubwa, kiuhalisia Simba...
Mtanange wa kumtafuta mwanafainali atakayecheza na Azam pale mkwakwani Tanga.
Game itaanza itaanza saa Tisa na nusu.
Kikosi cha Singida
Kikosi cha Yanga
Mchezo huu ni wa Nusu Fainali
Mchezo...
Tshepo Gumede beki wa Marumo Gallants ambaye Mayele alimfanyia ukatili mkubwa akimuwekea mpira mbele kisha kuanza kumkimbiza na akampita na kuwahi mpira licha ya beki huyo kuwa mbele yake kabla ya...
FAINALI YA YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO hapa Tanzania, KAMA NCHI TUNAJIUZA VIPI? JE YANGA NYINYI MMEJIPANGAJE?
Nionavyo mimi tunatakiwa kuitengeneza hii fainali iwe ni PACKAGE. Isiwe tu kwenda...
Chapisho la Africa soccer zone kulingana na ubobezi wake limetoa % za timu zinazoweza kuchukua ubingwa wa CAFCL kama ifuatavyo MAKOLO ni WA mwisho Wana 3%
Probability of winning the CAF Champions...
Mara baada ya aliyekuwa mtendaji mkuu wa Simba Barbara Gonzalez kuzuiliwa kukaa jukwaa kuu na watoto wake alikuja na wazo la Simba ijenge uwanja wake.
Ninaomba Wana Simba wenzangu mnisaidie...
Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu.
Wangeweka hata saa 12:00...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.