Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Kama unaona wivu FISTON BINGWA JITU LA KUTISHA ZEE LA KUFAMANIA NYAVU KALALA MAYELE kuwa mfungaji bora,njooni niwagawie Asali niliyolambishwa wakati wa...
2 Reactions
3 Replies
755 Views
Nani mjinga asiyekua na akili kwani Nani asiyejua kuwa Kuna mpango unatengenezwa makusudi ili mchezaji wa Simba sc apate kiatu Cha ufungaji Bora? Kocha wa Polisi Tanzania hutufai katika ligi yetu...
13 Reactions
101 Replies
7K Views
Baada ya Bi Mkubwa kutoa tamko kuhusu Mtoto ilibid wananchi wawasiliane fasta na Mtoto wamwambie km vp ktk zile m110 ulizoleta ongeza 40m ili itimie 150m mambo yaishe. Jibu la dogo akawaambia...
28 Reactions
101 Replies
6K Views
Why Saidia Arabia Benzema: because it's a muslim country, I'm muslim and i alyways wanted to live in a muslim country Hawa watu wanakipaji cha unafiki Kwamba benzema pale saudi arabia ndio...
3 Reactions
4 Replies
915 Views
Azam fc wameamua msimu ujao kufanya makubwa kwenye mashindano yote watakayo shiriki. Baada ya kupata sain ya mchezaji nyota Feisal, sasa mmiliki wa azam fc tajiri yusuph bakhresa matamanio yake...
11 Reactions
61 Replies
4K Views
Wana Simba a.k.a Lunyasi kila kitabu na zama zake. Huu ni mwaka wa Yanga, wamefanya vizuri mno. Sisi ni Watanzania, kiu yetu nikuona timu zetu zinafanikiwa kwenye uso wa ndani na kimataifa...
4 Reactions
15 Replies
948 Views
"CHUKUENI KARATASI NA KALAMU Njooni mjifunze namna ya kushinda mechi popote, achaneni na Mpira wa kizamani eti Kila mtu ashinde kwake, Ndani ya msimu mmoja 2022-2023 Yanga wameshinda michezo...
15 Reactions
77 Replies
3K Views
Tulidanganywa hapa na Mhamasishaji wao na Msemaji wao Nugaz pamoja nae Bumbuli kuwa Kiungo Mshambuliaji wao wanayemtukuza kuliko hata Mtume Mohammed na Yesu Kristo ( Kiimani ) aitwae Bernard...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndivyo ninaona ule ubwabwa wa bure wamefurahi na wamemwachia. Hata ukimtaka mayele unaweza ukaanda biriani kabisa ukawapa na juice ya ukwaju au Pepsi bariidi. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ya...
4 Reactions
10 Replies
863 Views
Kimyaaa. Hakuna tena maneno maneno na wala hawafurahii usajili wake. Hii maana yake nm jaman
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu, nimekutana na post ya Fiston Mayele kwenda kwa Feisal Salum akimtakia kila la kheri baada ya kusaini kuchezea Azam. Mayele akaambatanisha video inayoonyesha assist...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
NI KWELI NILIMWAMBIA JEMEDARI APIGE WAKATI RAIS WA YANGA ANAPITA? Nilimwambia kwa sababu niliona amekaa kimya wakati ukumbi mzima unampongeza @caamil_88 Kimsingi alikosa heshima kwa Rais wa...
8 Reactions
101 Replies
6K Views
👏 👏 👏
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Mara baada ya kutambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa #AzamFC, Feisal Salum (Fei Toto) amesema fedha ambazo alichangiwa wakati wa sakata lake la kimkataba dhidi ya #Yanga, atazipeleka Msikitini...
11 Reactions
96 Replies
15K Views
Feisal: Nisaini wapi? Boss: Hapa! Saini hapa! Feisal: Hapa walipoandika 50,000$ per month? Yaani nisaini mkataba wa mwezi mmoja tu? Boss: We Fei, Saini hapa chini. Hiyo 50,000$ ndo mshahara...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kutoka Yanga official page Amekwenda Azam Sc. ----- Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha umefikia uamuzi wa kumuuza mchezaji Feisal Salum maarufu Feitoto kwa klabu ya Azam FC. Feitoto ameuzwa...
5 Reactions
111 Replies
12K Views
Kama mnavyojua Messi anajiunga na cub ya Inter Miami ya Marekani Kwenye msimamo wa ligi hiyo club hiyo ni ya 16 kati ya timu 16
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Sina maneno mengi ila tu kutoa appreciation kwa wataalam, wakongwe na wachambuzi wa soka hapa jf kama Greatest Of All Time ,Scars ,GENTAMYCIME na wengineo, sjui hasa ni nani ila nilicho na uhakika...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Yanga inao mlima wakupanda kuhakikisha inawafunga goli mbili kwa 0 USM Alger ili iweze kuibuka bingwa kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa. Hilo ni Jambo gumu kutokea lakini kila...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Back
Top Bottom