Katika uzi wangu wa leo ambao pia nilijaribu kupanga vikosi vyangu viwili tofauti ambavyo niliona vingetupa matokeo na mwishoni, nilisisitiza mno kuwa mechi ya leo kwa uchezaji wa kutumia nguvu...
Timu zote zimeshaingia uwanjani.
Mchezo umeanza
01' Yanga wanamiliki mpira wakipiga pasi kadhaa.
11' Kibu Denis anaachia mkwaju na kuishia kwenye nyevu za pembeni
15' ⚽Gooooooal, Pape Sakho...
Wakuu,
Kipute cha Kariakoo deby kimekaribia, mimi kama shabiki wa Lunyasi nina maoni yafuatayo kuelekea siku hiyo.
1) Ubora wa Yanga ni Nabi, Nabi amefanikiwa kusumbua makocha wengi kimbinu...
Habarini,naam nizame kwenye mada.
Mchezo wa leo SSC Vs YAC mashabiki mbalimbali humu jf walitoa ahadi mpaka wakazidi mipaka, Half american umeahidi Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe...
Natoa tu angalizo kwa sababu hii nchi tunaendeshwa kwa matukio.
Niliposoma Mabosi wa Simba na Yanga wamepiga picha ya pamoja futarini Ikulu nikajua tayari Wana jambo lao.
Hongera sana Makolo FC.
Yanga inafahamu kuwa kunguru Hana kibiongo, kama ukiona kibiongo basi ameinamatu anaokota kitu.
Wazazi, Ndugu, jamaa, marafiki na wapenda mpira wote lazima wafahamu hili. Yanga ni timu kubwa sana...
Baada ya mechi ya leo dhidi ya watani wa jadi Yanga, mechi kubwa na ngumu tunayoisubiri Ni dhidi ya mahasimu wetu kwenye bara la Africa Wydad Casablanca
Baada ya draw ya caf kuchezeshwa nadhani...
Alionekana kutokueleweka na ikapelekea mashabiki kuutaka uongozi umfungashie virago.
Tofauti na matarajio ya wengi kocha Robertinho amefanikiwa kuibadiri Simba SC kutoka kucheza possessive...
Yaani na katiza hapa jangwani maji kibao,mvua inanyesha ila hakuna kelele ya chura,imebidi nishushe kioo na kuchungulia,naona hata lile jengo taa haziwaki :D
:D :D :p :p
Kwa takribani misimu hii miwili na hasa huu unaoendelea kumeibuka wimbi la wajiitao wachambuzi ambao uchambuzi wao unasukumwa na mahaba ya timu zao ambao wamekuwa wakiiponda na kuibagaza simba...
Salaam wasalaam.
Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu..
KUSHINDA
KUFUNGWA
DROO
ukishajua hivi kamwe hautaumizwa na matokeo yeyote.
Ndo maana mpira nime ufanya ni starehe kama sterehe...
Karibuni katika mtanange mwingine wa NBC Premier League kati ya mabingwa watetezi Young Africans SC dhidi ya Kagera Sugar FC katika dimba la Estadio de Azam Complex muda wa saa moja kamili usiku...
Natoa nafasi ya pekee kwa Yanga kwa kupunguza idadi ya magoli, nadhani mmeijua Simba ni watu wa namna gani. Nimepata taarifa hapa kwamba Haji Manara amekamatwa akicheka chooni.
Simba nawapongeza...
JKT TANZANIA WAPANDA LIGI KUU
Ni Rasmi Sasa Timu ya Maafande wa JKT Tanzania kutoka Mkoani Pwani imekuwa Timu ya kwanza Kutoka Ligi ya Championship Kupanda Ligi Kuu Msimu ujao 2023/2024 Baada ya...
Shirikisho la Soka Africa, CAF,linaanzisha uchunguzu juu ya tuhuma za kuzimwa VAR kwenye match ya Simba vs Orlando Pirates iliyochezwa 17 April 2022. Match hiyo ilimalizika kwa Simba kushinda goal...
Mechi 10 zilizopita baina ya Simba dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu Bara tangu Msimu wa 2017/18, kila timu imeshinda mechi 2 huku sare zikiwa ni 6.
29/04/2018: Simba 1-0 Yanga
30/09/2018: Simba...
Ni logic ndogo tu na ya kawaida, Simba wamechezeshwa mechi SAA 4 usiku kwa SAA Morocco siyo kwamba wamefanyiwa figisu ila ni kuheshimu tu mfungo wa Ramadhani.
Je TFF hawajaliona hili? wachezaji...
Angalia walivyopost matokeo ya mchezo baina ya Yanga na TP Mazembe kule Lubumbashi wiki chache zilizopita kama siyo ubabaishaji huo.
Miafrika ndivyo tulivyo.
MECHI mbili zilizopita za Taifa Stars, Feisal Salum ‘Fei Toto’ alianzia benchi. Ilianzia pale Ismailia, Misri na Stars ilishinda na ikajirudia hapa Dar es Salaam, Stars iliondoka kichwa chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.