Safi sana.....
Watu ndo tunatoka Kazini asubuhi hii baada ya kukaa huko kwa siku 2. Ambazo ni ushindi wa bao 2 kwa Yanga. Na ustaadhi katuambia kuna bonus ikiwa tutafanya jambo moja zito zaidi...
Wasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90.
1. Farid Musa
2. Aziz Ki
3. Bernard Morisson
4...
Ikitogea mgomo katika timu, wachezaji wakagoma maamuzi huwa ni yapi?
Ama wachezaji wakasambaratika kambinu, timu ikakimbiwa na wachezaji wote.
Timu itaruhusiwa kusajiri upya na kuendelea na...
Katika kila mechi za dabi Yanga imekuwa ni timu ya kupigwa faini kwa tabia za kugoma kupitia geti kuu. Ni wazi hayo yamekuwa maelekezo ya waganga mbalimbali wa Yanga.
Mchezo uliopita Yanga...
Ni Derby ya Kariakoo kwenye dimba la Mkapa Jumapili hii na kama kawaida yangu mzee wa mikeka haiwezi nipita hii😂😂Mapema kabisa naweka mkeka wangu pale Sokabet Nampa YANGA ashinde au adroo...
Ili kuendana na mazingira ya uwanja wa Ihefu (pitch) uliojaa nyasi kiasi kwamba hata mpira hauonekani ikabidi Simba wafanye zoezi kwenye shamba la mpunga.
JamiiForums mobile app
Mtanzania Shaban Mwanga anawakaribisha wanahai wote kwenye finali ya Ramadhani Cup leo tarehe 15.4.2023.
Jimbo la Hai, leo watapata furaha kubwa iwapo kuna kijana mmoja roho itamuuma sana ila...
Baada ya Bocco kusema na Mungu wake alipopitia nyakati ngumu zilizotokana na kunyang'anywa namba na Phiri, maombi yalijibiwa na wote tu mashahidi wa nini kiliendelea. Phiri sasa anamuogopa na...
Uamuzi huo umetokana na tukio lililotokea vyumba vya kubadilisha nguo wakati timu hiyo ikifungwa 3-0 na Manchester City, ikidaiwa kutokana na wawili hao kupishana kauli ndipo Mane akampiga ngumi...
Kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' alifika mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji leo Aprili 12, 2023 kujua hatma ya barua yake ya kuomba kuvunja mkataba na klabu ya Yanga,
Fei Toto...
Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limetoa orodha ya Jezi 15 za msimu wa 2022/23 kutoka Vilabu tofauti zinaoongoza kwa mauzo hadi sasa.
Jezi namba 6 ya LeBron James kutoka LA Lakers...
Picha: Mamadou Doumbia
TANZIA: Klabu ya Yanga imepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Baba mzazi wa mchezaji wake beki, Mamadou Doumbia, kilichotokea jana, nchini Mali.
Mamadou Doumbia...
Moja kwa moja,
Barabarani na kwenye nimekutana na Jezi tofauti za Taifa stars Og zaidi ya ishirini na kitu ndani ya msimu mmoja za aina tofauti tofauti kinyume na zile rasmi zilizotambulishwa na...
Kuna kitu kimepita hapa katikati halafu tunaona kawaida. Jonas Mkude hakuitwa katika kikosi cha timu ya taifa. Tumeona kawaida kumbe ni jambo ambalo kama ingekuwa kwa Waingereza wangelichambua kwa...
Polisi Tanzania na Ruvu Shooting wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kuokoa nafasi zao katika Ligi Kuu Bara.
Kila timu imebakiza mechi nne kabla ya msimu kumalizika na zinaonekana kutegemea...
Msifieni tena Jumapili ijayo ( tarehe 16 April, 2023 ) akikutana na Wanamume.
Na kuna ( Wanangu ) Wachezaji Rafiki Wawili wazawa wa Simba SC ( Waandamizi ) kabisa nimeshawapa Kazi Maalum kwa Aziz...
Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga.
Sote tunafaham kuwa binadam...
Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) ndo wenye haki ya matangazo ya Radio kwa hatua ya makundi na hatua ya mtoano Ligi ya Mabingwa (CAFCL) na Kombe la Shirikisho (CAFCC)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.