Naona Fei kila ikikaribia game ngumu anaibuka kutoka mafichoni na kuwahadaa Yanga kwa kesi isiyo na mashiko wala haimpi faida yeye zaidi ya anguko lake kimpira.
Na sisi wana lunyasi ikitokea Fei...
NALIA NGWENA the informer nipo hapa katika tawi moja wapo la Simba maarufu na pendwa sana haswa viongozi wakubwa wa Simba sc,
Nimevalia msuli wangu mzigo upunge upepo, shati kubwa kubwa na...
Hivi ikitokea Yanga kuchukuwa kombe la shirikisho na huku Simba wameanguka kwenye robo final ya club bingwa,bado CAF watawaita simba giant wa Tanzania?
Ni suala la muda tu admin wa CAF...
Haya leo tuangazie namna gani marefarii katika ligibza wenzetu wanavyolipwa. Sijajua kwa huku kwetu wanalipwaje lakini kwa wenzetu malipo yao ni kila mechi.
Katika ligi kuu ya Uingereza, mwamuzi...
" Sisi Simba tunaamini mara zote ambazo Yanga ameshinda dhidi yetu huwa wanabahatisha bahatisha tu.
Hii ni kwasababu Yanga hajawahi kuwa na ubora kama wa Simba, Yanga hawajawahi kufika Level na...
Tunataka tutoe Salamu kwa Wydad Casablanca FC na Mitambo yetu yote na Mbinu zetu zote za Kimafia na Kiuchawi tutazijaribia Kwenu Jumapili tarehe 16 April, 2023 kwa Mkapa.
Tukiwakosa GENTAMYCINE...
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi aka Sugu amesema atanunua kila goli la Mbeya City watakalofunga kwenye Michezo 4 ya Ligi Kuu iliyobaki kwa Tsh. Milioni 1.
Sugu amesema fedha...
Kuna nyuzi nyingi sana zimeandikwa kumuhusu Jean Baleke, kiufupi zimeandikwa kiudaku pasipo kuwa na evidence yakupush agenda Kama baleke alishawahi kuwa mfungaji Bora pale kongo.
Nakataa, nakataa...
Ameandika tom cruz
Nimefanya utafiti mdogo kwa baadhi ya wachambuzi ambao wanalaumiwa na baadhi ya viongozi na mashabiki wa Yanga kuwa wanatumika kuichafua klabu hiyo na kuibua migogoro mara kwa...
Naam, ile siku pendwa/siku madhubuti siku ya watani wa jadi/maacha wa kariakoo/sunche na kapeto au pingu na denso watakichafua, kambumbu itapigwa haswa maana timu zote mbili zinahitahi heshima na...
Mpira wetu ukiwa unajikongoja kupiga hatua mdogo mdogo kimataifa na kuongeza viwango ligi, bado kuna jinamizi linatudisha nyuma huu mpira wetu na si jingine jinamizi la "Ushirikina."
Kuelekea...
Naam, wakati real Madrid, Manchester city , wydad Casablanca, Rajacasablanca ,Al ahly n.k, zikipiga hatua kwa kuwekeza pakubwa katika kununua wachezaji nakuboresha mishahara na masilahi ya...
Rais wa klabu ya #Ghardimaou, Jamil Meftahi, amesema wameshindwa kulipa wachezaji wao kwa sababu #Tunisia iko katika mgogoro wa kiuchumi hali iliyosababisha Wachezaji hao kuzamia Ulaya
Nchi hiyo...
1. Tumewaachia ili msiparurane
2. Tumewaachia ili mjifariji
3. Tumeshakuwa Mabingwa kwa 90% hivyo hatutaki kutumia Nguvu Kubwa
4. Tumechezesha Kikosi cha Watoto
5. Uchovu umetugharimu
6...
Inasemekana Yanga wanataka kumuuza feitoto thamani ya pesa walizotumia kumnunua Aziz ki. Yani dola 200,000+ ambayo Ni karibu m 500. Sasa Cha kujiuliza Sasa
1. Je Kama thamani ya feitoto na Aziz...
Na mndengereko
Ni kawaida siku hizi waandishi wengi wa habari huandika kuhusiana na matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii,hasa ya kitaifa na yanayohusisha public figure,mfano rais au makamu...
Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya TFF itakutana kesho tarehe 12. April.2023 saa 4:00 asubuhi. Kamati pamoja na mashauri mengine itajadili shauri la FEISALI SALUM ABDALLAH (Feitoto)...
Kiwango kinachoonyeshwa na Waamuzi baada ya wenzao kufungiwa kinaonyesha waliofungiwa wameonewa. Mechi Tatu zilizopita zimechezeshwa Kwa butua butua ya Waamuzi na Leo Mdoe kafanya hitimisho la...
Huyo / Huyu ndiyo Jean GENTAMYCINE Baleke ambaye kwa Taarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli.
Hapa kaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.