Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Walisema wanataka kuiuza Klab, lakini kila akitokea mnunuzi wanaanza kumzungusha, tatizo nini??
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna hili jambo niliwahi kuambiwa ila sikulitilia maanani siku za nyuma ila wiki hii nalishuhudia tena. Pale timu mojawapo inapokuwa mwenyeji wa mechi hii ya "dabi", hiyo timu mwenyeji kwa kuwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Tangazo la Yanga la March 6 ambalo lilikuwa very clear katika option ambazo tumetoa, tumesema kama Feisal anataka kuondoka aje Yanga aondoke kama Kuna klabu inamuhitaji aje klabuni tumpe mkono wa...
2 Reactions
7 Replies
573 Views
Timu ya Manispaa ya Kinondoni imetangaza kuvunja Benchi lake la Ufundi kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wake na kumtangaza Kocha Jamhuri Kihwelo 'Julio' kuchukua mikoba ya Thiery Hitimana...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said kesho saa 05:00 asubuhi ataongea na Wanahabari kwenye ukumbi wa Wizara TACAIDS Posta. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
1 Reactions
11 Replies
1K Views
SIMBA SC ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA Klabu ya Simba Sc kutoka Tanzania imetinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia linaloendele kwenye mtandao wa Twitter likiendeshwa na mtandao wa Deportes...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Simba tufanye mambo haya; 1. Kudhibiti kambi yetu. 2. Kuhakikisha uchawi wa Yanga tunautegua. 3. Viongozi wa Simba wawe na ushirikiano. Mwisho, Simba tukifanikiwa kudhibiti katikati na pembeni...
0 Reactions
12 Replies
866 Views
Unakumbuka nini ukisikia jina Djemba Djemba. M Cameroon aliye lamba deal la kusajiliwa Manchester united na Alex Ferguson at his age of 21 Alisajiliwa akitokea Nandes ya ufaransa. Alipo sign...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Nadhani Kila mtu anaelewa kuwa hawa wananchi wakituwahi kuvaa jezi nyeusi ......basi tumekwisha Nini kifanyike Japo hatuna jadi ya kuwa na jezi nyeusi ila naomba uongozi ulifanyie hili uwepesi...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Leo katika pita pita zangu katika mtandao wa YouTube nikakutana na vipande vinavyoonesha mechi mbalimbali za Simba na Yanga. Nikiwa kama mdau ma mfuatiliaji wa soka la nyumbani...
2 Reactions
66 Replies
10K Views
“Ukitaka kuona taifa letu lina nuksi wakati tunalilia wazawa wawe katika ubora wao, rafiki yetu Fei Toto amegoma kuichezea timu yake. Katikati ya msimu ameanzisha vurugu za mkataba matokeo yake...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Imekua kawaida kila mechi unapoibuka mjadala wa Feisal Yanga imekua ikipata ushindi wa kishindo Mechi ya Azam na mechi za CAFCC zote zilizotanguliwa na mijadala hii zimekua za neema nyingi...
5 Reactions
7 Replies
707 Views
Mnaiona kama vile Simba haina fowadi wa kueleweka, lakini ndiyo inayoongoza kwa kufunga magoli mengi kwenye Ligi kuu Tanzania. Mnaiona simba kama vile ni timu dhaifu lakini Simba na Yanga zote...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari kuhusu mshambuliaji Jean Baleke wa Simba imewaacha mashabiki wa Yanga wakishangaa kutokana na ubora wa mchezaji huyo katika kupiga mabao. Baleke amekuwa akifunga mabao kwa wingi na kwa sasa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Yanga Ligi kuu --28 Muungano--6 Kagame(cecafa)-5 Fa--6 Nyerere cup--3 Mapinduzi--2 Mtaani jembe--0 Tusker---2 Hadex--1 Cafcc---0 Cafcl--0 Ngao ya jamii--7 Banc ABE super8-0 Jumla--61 Simba...
3 Reactions
23 Replies
12K Views
Klabu ya Simba SC Kutoka Tanzania Inatinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwenye Mtandao wa Twitter Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza kutoka...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Uongozi wa Timu ya KMC umefika makubaliano ya kuvunja benchi la ufundi lililokuwa chini ya Kocha Mkuu, Thiery Hitimana kutokana na muenendo usioridhisha wa timu hiyo kwenye NBC Premier League...
0 Reactions
3 Replies
672 Views
FUJO NA VITISHO NI NINI? Ni mara atoke Mayele aingie Starboy Mzize, mara atoke Farid aingie Morrison, mara atoke Nondo aingie Doumbia, mara atoke Mauya aingie Mudathir, mara atoke Kisinda aingie...
16 Reactions
42 Replies
2K Views
Najua jukwaa lenu lina mashabiki kindaki ndaki wa either simba au yanga. Yaani yeye na simba au yeye na Yanga. Haya hebu tutajane hapa ili tujuane. kuna watu wanaojulikana kabisa na wengine...
12 Reactions
252 Replies
13K Views
Si mbaya mkapitia hii record angalau mjue kinachoenda kutokea Jumapili, kujiandaa ni bora zaid kuliko kushtukizwa.
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom