Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa hiki nilichokiona leo mimi kama mwanalunyasi nashauri tusipeleke timu uwanjani ni bora wapewe ushindi wa mezani.
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Nathibitisha kwamba nimeanza taratibu za kisheria kutafuta haki ya Kikatiba kuhusiana na utata wa vigezo vya John Gilbert Bayo kuendelea kuhodhi nafasi ya Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naaam, mwamba atabaki kuwa mwamba tu, na so mwingine namuongelea fiston kalala mayele aka the robot aka the goal mashine. Hakuna kocha au timu Tanzania asiyetaka huduma ya mayele au striker Kama...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Nataka kujua hivi simba wamewahi kukutana na huu moto wa jezi nyeusi ya yanga? Kama juma pili ndo itakuwa mara yao ya kwanza basi acha ni fumbe macho yangu alafu niandike RIP simba
2 Reactions
2 Replies
450 Views
Hawa TANESCO yamekata umeme tuko tunaenjoy game ya Man city na Bayern.
1 Reactions
5 Replies
856 Views
Naona comments nyingi za kupeana moyo ; tena kutoka kwa waandishi wa habari wakubwa. Watu wanaandika magazeti na story za half lela ulela . Hii yote ni kwa sababu tunajua kuwa tuna poor...
22 Reactions
98 Replies
5K Views
Nawauluza nyie mashabiki oya oya wa Utopolo. Mnyama aliwahi kuwafumua marinda kwa goli 4, 5,Hadi Kuna mechi mliwahi kuchanwa 6 mlipokea shilingi ngapi kuuza mechi? Ktk ligi tofauti ya magoli ya...
1 Reactions
7 Replies
752 Views
Tff fikiri, timu zetu zinaenda kimataifa, ambapo zikishinda Tanzania imeshinda na pia rank za vilabu kimataifa zinapanda. Hivyo ili kuepusha majeruhi na uchovu tunaomba TFF mlifikirie hili, Yaani...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
1. Argentina 2. France 3. Brazil 4. Belgium 5. England 6. Netherlands 7. Croatia 8. Italy 9. Portugal 10. Spain 11. Morocco 12. Switzerland 13. USA 14. Germany 15. Mexico 16. Uruguay 17. Colombia...
1 Reactions
7 Replies
17K Views
Wawakilishi pekee wa Tanzania na Afrika Mashariki katika mashindano ya shule za Sekondari Afrika "Fountain Gate Dodoma High School" wamefanikiwa kushinda mchezo wa Fainali dhidi ya timu ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Tukiwa tunausubiri derby kubwa hapa East Africa acha tujikumbushe Kwa kuipitia baadhi ya takwimu zilizopo tangu mwaka 1965 Simba. Yanga 106. Played. 106 31. Won...
2 Reactions
6 Replies
659 Views
Naam, kambumbu itapigwa pale Mbalali kwenye Uwanja wa Mpunga, Ihefu akimualika Simba SC. NALIA NGWENA the big thinker natabili kadi za njano zakutosha na ikiwezekana kadi nyekundu inaweza kutokea...
2 Reactions
50 Replies
2K Views
Mchezaji Bora wa mwezi Jean Baleke super finisher ameonesha kiwango kikubwa kwenye mechi za karibuni,Ile acrobatics ya Jana waooh what a player wazungu wanasema. Baleke ukitaka nyota yako ing'ae...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Sina muda wakutoa salamu Wala kuwajulia hali, kutokana na namna gani nilivyochafukwa kwa kuona mtani akisimangwa waziwazi na kanjibahi Mo dewji. Wiki imekua ngumu sana kwa wanasimba kutokana na...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Haiwezekani Mchezaji wetu Yanga SC Kennedy Musonda tuliyemsajili kwa Mbwembwe zote huku tukiwacheka Simba SC kwa Kumsajili Mchezaji tuliyeona ni Garasa (Kapi) Jean Baleke hafungi na...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanaomwita Jini hawako mbali na ukweli. Tazama alipiga mgoli wa kichwa akipokea krosi toka kwa Kibu Denga. Hilo lilikuwa goli tayari. Mara nyingi majini hayana huruma maana. Jini likaona litoe...
14 Reactions
43 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Kocha wa zamani wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu hiyo haijafungiwa kusajili madirisha matatu na Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kwa kosa la kuchelewa kumlipa madai...
2 Reactions
10 Replies
871 Views
Hakika ni Jambo la kushangaza sana katika huu mpira wet wakibongo bongo Feisal salumu ameikataa yanga, nakupotelea kusikojulikana akidai kuwa yanga haimlipi vizuri . Hakuishia hapo feisali salumu...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Hivi zishafika bandarini au ilikua danganya toto tuliambiwa viwanja kumi watavikarabati na kuviweka nyasi bandia je hela hakuna au ndio uongo wa kila siku.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimecheki mechi ya leo na iliyopita huyu wa kuitwa Baleke ni surprise na si kitu kizuri akitumiwa effectively mechi ya jumapili. Bado hajaweza kusomeka vizuri na huenda ana vitu extra ambavyo...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom