Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tanzania tuna vijana wazuri wanaojua Mpira ila tu hatuwazingatii kwakuwa wanacheza timu za daraja la kati. Kuna huyu dogo kiungo wa coastal union wa chini Saimoni Likomb ni anajua ball kweli...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Yaani kama vile jamii ya Tz kwa sasa ilivyokumbwa na wimbi la kutisha la machawa pro max basi kuna hawa viumbe wanaojiita wachambuzi , kwa kweli ile sheria ya degree ianze tu hiyo December labda...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Mechi mbili za Wydad Casablanca dhidi ya As vita ya Congo limepatikana bao 1 tu , tena bao hilo lilifungwa pale MOHAMED V STADIUM . As vita amemaliza akishika mkia kwenye kundi A , yani ina...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Pambano ni Jumapili tarehe 9 April, 2023. 5:00 AM GMT Israel Adesanya aka The Last Stylebender Record: 23-2-0 HEIGHT: 6' 4" WEIGHT: 185 lbs REACH 80" STANCE: Switch DATE OF BIRTH: Jul 22...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Asernal wasahau kabisa kuhusu kuchukua kikombe, mechi zidi ya man city atapigwa wima, goals difference zinampa ubingwa city, kikombe ambacho mtabeba arsenal labda ya uji wakati wa kufuturu😅😅😅😅
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Sikumuona Profesa Nabi Lubumbashi mechi na TP Mazembe, na leo simuoni mechi na Geita bado Kaze ndio anaongoza timu. Sina mashaka yoyote na Kocha Kaze maana kwa hadhi yuko hadhi sawa na Nabi kocha...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
📝 "Nilikua siijui Simba, nimekuja kuijui baada ya kupangwa na Raja Casablanca kwenye makundi,Kwa jinsi nilivyoiona mechi mbili na Raja,inabidi mashabiki wao wazidishe maombi" Juan Carlos Garrido...
17 Reactions
34 Replies
5K Views
Kwa wale Watu wa Mpira Wenzangu hasa mnaokuja kucheza Ndodo na Mechi za Veteran Kinesi na Barafu ni matumaini mnamjua huyu Mchezaji wa Geita Gold FC ni Mnazi tukuka wa Klabu gani Kubwa hapa...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Haya wale wazee wa outfits ukiitaka mzigo usikae dukani. Watu wengi wanavaa jezi kama mtoko na jezi zinazotamba sana kwa sasa ni; 1. Barcelona (ule uzi rangi ya gold na poster ya spotfy ni...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
CAF champions league ndo kilele Cha Mpira wa Vilabu Barani Africa :- Au kwa Watasha unasema CAF champions league is the Pinnacle of Club football in AFRICA :- Ni kama shule tu.Mnaweza kuanza...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Klabu ya Jskabylie ya nchini Algelia imekamilisha uwanja wake wenye uwezo wa kuheba watazamaji 50,766 ujenzi uwo umechukua takriban miaka 10.
15 Reactions
45 Replies
3K Views
Wananchi na viongozi wao wa Wilaya ya Nyasa wameamua kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha ujenzi wa uwanja huo wa Michezo unakamilika kwa wakati. Ukanda wa ziwa Nyasa umebarikiwa kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
595 Views
Naaaam, baada yakumaliza ubishi Kati ya Kennedy musonda na Jean claud van Damme wa kongo yaani baleke. Sasa tutizamie Nani fundi wa mpira Kati ya Sawadogo na Mudathiri pale dimba la Kati? Simba...
1 Reactions
5 Replies
590 Views
"Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko...
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Utashangaa vitimu vidogo vinavyokamia timu kubwa.Huwa inafika wakati kukamia kwao kunajibu. Naifananisha hii timu na vitimu vidogo jinsi vinavyokamia mechi. Ndivyo hata inavyoonekana nchi...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwa wale ambao ni watazamaji wa mchezo wa mpira wa miguu wanajua kuna vitu vidogo sana ambavyo vinaweza kubadilisha mwelekeo wa mchezo na kubadili na matokeo moja kwa moja Kitu ambacho kimebadili...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Always soka la wanawake Huwa linatutoa kimasomaso sana.. Hongera sana Fountain Gate
8 Reactions
15 Replies
1K Views
MOROGORO: Kocha na mchezaji wa zamani wa Pamba SC, Simba SC na Taifa Stars, Amri Ibrahim amekutwa amefariki jioni ya jana Jumamosi Aprili 08, 2023 baada ya majirani kuona hajatoka nje kwa muda...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Salam Wana jf Katika harakati za Uchambuzi wangu Leo nilikuwa naangalia baadhi ya mechi za kimataifa walizocheza Yanga vs mechi za kimataifa walizocheza wydadi Casablanca Nimegundua yafuatayo...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom