Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwema wadau? Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nilikutana na picha hii chini ya huyo mwamba aliyeshinda Milioni 10 kwenye kampuni moja ya kubetti mtandaoni, Sokabet. Nilibaki najiuliza tu huyo...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kujua nawezaje kuipata app ya kuwa na angalia mpira ya Ulaya kwenye simu yangu.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ihefu maarufu kama Mbogo Maji wamekula za uso 5 kwa 1 jana usiku ktk mchezo wa robo fainal ya kombe la azam, hata hivyo Mbogo Maji imetamba kulipiza kisasi katk mchezo wa marudiano wa ligi ya NBC...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Just thinking from unbeaten utopolo mindset ninaona kabisa iwapo Yanga tukimchukua Sopu acheze nyuma ya Mayele pembeni yao Musonda hata Barcelona wanakaa! Huu utakuwa utatu kama MSN wa Barca au...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayehusika na uhamasishaji, ufuatiliaji , utaratibu na uratibu wa kusimamisha, upatikanaji wa uwanja, uboreshaji wa uwanja huo na upatikanaji wa timu. Mafunzo ya timu hizo, mpaka...
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Manara katika mengine sikubaliani nae ila hili la kusema kuwa huko aliko sasa wenye Akili timamu ni Wawili tu Babaake na Mstaafu wa Msoga na waliobakia Wote ni Majuha ( Fools ) nakubaliana nae...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwahii taarifa inayotrend ya viongozi wa Simba eti kutaka game dhidi ya Yanga isogezwe mbele kisa tu kuwepo kwa mechi ngumu wiki moja, yaani siku 7 mbele dhidi ya Bingwa Mtetezi wa Champions...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Kumbe majamaa hayajawahi kugusa robo fainali toka dunia iumbwe ndio mara yao ya kwanza,ndio maana yanavua mpaka nguo kwa kushangilia robo ya luzaz[emoji23][emoji23][emoji23] UTOPOLO Performance...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Simba SC ina Kikosi kipana, hii mechi ya tarehe 16 hakuna kuairishwa kwa kisingizio cha Waydad! Kuna watu kuanzia tarehe 16 watakuwa na wiki ngumu sana, huku Yanga, siku nne mbele Waarabu...
2 Reactions
7 Replies
687 Views
ukipata pesa atahitaji kujua kuwa umezitoa wapi, ukijaribu kumweleza wapi umezitoa atauliza ilikuwaje... ukijieleza sana atahitaji kujua mbona hukupata nyingi zaidi ya hizi 😂 Haya upande wa pili...
1 Reactions
1 Replies
499 Views
Yanga wapo kwenye nyakati bora sana hivi sasa, walipokuwa wanakosea walisemwa sana na wakabeba kama changamoto, wamebadilika na wapo mbali sana. Juhudi za kuwasifia ziwe kama zile ambazo...
3 Reactions
4 Replies
358 Views
Mtu mmoja aliwahi kusema huwezi kuwa Shujaa kama sio mhuni, Huenda usinielewe yaani kua mhuni ndo kua Shujaa? sizungumzii uhuni kama ule wanaofanya wapiga ngeta mitaa ya chanika na keko. Hapa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kumekuwa na ibuko la Threads nyingi zikiongelea Arsenal na kuiombea mabaya kutokana na mwendelezo wake katika ligi kuu ya England (EPL). Mashabiki wengi wa Team pinzani kama vile Man u, Chelsea...
12 Reactions
11 Replies
2K Views
Karibu kwenye uchambuzi huu, utakuwa nami Heparin , dawa kiboko ya damu inayoganda mwilini. Twende pamoja kutoka uwanja wa Chamazi, Mbagala. Kikosi cha Simba SC Kikosi cha Ihefu SC Dk 1’...
12 Reactions
217 Replies
12K Views
Kuna tetesi mjini kwamba simba wametuma barua TFF ili game yao na Yanga isogezwe mbele zaidi. Haijajulikana sababu za kutaka game isogezwe mbele ni nini ila wajuvi wa mambo mjini wanasema ni...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, kwanza nianze kusema mie ni Mkristu Mkatoliki wa Roma na jana ilikuwa Ijumaa Kuu. Samahani kwa utangulizi huu kwani jana palikuwa na mechi ya ligi yetu saa kumi jioni wakati Wakristu...
0 Reactions
2 Replies
571 Views
Anayefuata anajielewa, aanze tu kutia maji asije kunyolewa kavu kavu, ohoooo!!!!
2 Reactions
11 Replies
755 Views
NUSU FAINALI ASFC [emoji471] ⌾ AZAM FC [emoji739] SIMBA SC ⌾ SINGIDA BS [emoji739] YANGA/GEITA
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kipunje: Mwamuzi anayechezesha mechi akiwa na panga, shoka Dar Refa Kipunje akiwa kazini Summary Pia hata mechi ngumu za Ligi Kuu England au Ligi ya Mabingwa Ulaya amekuwa akipangwa kuchezesha...
1 Reactions
6 Replies
952 Views
KOCHA msaidizi wa timu ya taifa, Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco', amefichua jambo akisema amezungumza na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' aliyeikaushia kambi ya Yanga akimtaka arejee klabuni...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom