Kitendo cha mashabiki, wachambuzi na wajinga fulani kuidharau Simba eti haiwezi kufua dafu mbele ya Wydad kitawaponza na hamtoamini!
Pia, kitendo cha mashabiki na wapenzi wa Young Africans...
Katika kundi hili gumu miamba ya Afrika Young Africans wanaongoza kundi D,Kwa tofauti ya goli moja huku ikimuacha nyama Monastir aliye nafasi ya pili
Yanga na Monastir wameachana goili moja huku...
Meneja Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amefunguka baada ta droo ya robo fainali kumalizika na kupangwa kucheza dhidi ya Wydad Casablanca [emoji3596]
"Ni lazima tukiri kuwa tumepata mpinzani...
NAMNA maisha yanavyokwenda kasi. Ijumaa usiku wa manane dunia ilikuwa imemwangukia mlinzi wa kati wa kimataifa, Josh Onyango mara baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Simba na Raja pale...
Wazee mimi ni shabiki wa Simba Na mwanachama nimeangalia clip za hawa wydad Casablanca aisee nahisi goli si chini ya tano tunakula taifa,nataka iki kikombe kiniepuke nahitaji kukimbia nchi Kwa...
Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku.
Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi
• ES Tunis 🇹🇳
• Mamelodi Sundowns...
Rivers United wana advantage ya kisaikologia dhidi ya Yanga! Hiyo hutoa nguvu sana zisizo za kawaida kwenye mchuano wowote! "Wananchi" jiandaeni kisaikologia kuangukia pua!
BRUNO GOMES NI ZAIDI YA CHAMA
Hadi sasa Kiugo bora katika ligi Kuu ya NBC ni Bruno Gomes wa Singida Big Stars.
Kuwa kwa namna ambavyo Bruno ameisaidia Singida Big Stars anamzidi hata Clatous...
Agosti ya mwaka 1991 Jemedari na kiongozi shupavu wa iliyokuwa USSR Mikhail Gorbachev alishuhudia zama za mwisho za umoja ule, katika yale majaribio ya mapinduzi dhidi yake yalimpa dalili mbaya na...
Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dodoma
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa mradi wa uwanja wa kupumzikia wananchi lililopo...
Wakuu,
Beki kisiki Josh Onyango amekuwa ni mhimili wa ulinzi Simba lakini amekuwa akifanya makosa yanayofanana mara nyingi. Josh akiachwa kwenye kasi akili yake ni kucheza rafu bila kuangalia...
Baada ya anguko la klabu za Enyimba, Enugu Rangers na Heartland klabu bora za Nigeria, Ndipo zilipoibuka klabu za Kano Pillars, Plateau United na Rivers United. Ni timu za kiazi kipya kwenye...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mohamed Mwinjuma amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), Veron Mosengo-Omba...
Baada ya draw ya Kombe la Shirikisho Afrika na Yanga kupangwa na Rivers United ya Nigeria, mashabiki wa Yanga wameonekana wenye matumaini makubwa ya kufuzu Nusu Fainali kwa kuona Rivers pengine ni...
Ikitokea kweli Fiston Mayele kwenda al hilal ya soudan na fikiri siku hiyo mashabiki wa al hilal watajaa airport kumpokea huyu mwamba sio kwa mapenzi haya kwa fiston
Mwisho kabisa ibenge kajua...
Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara...
Salaam,
Nimeona taarifa mtandaoni kwamba timu inayoshika mkia kwenye ligi kuu ya soka Afrika Kusini, Marumo Gallants, ndio vinara wa kundi lake kwenye CAFCC nikachoka kabisa.
Hapa sitaki kusikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.