Mimi sio mpenzi sana wa kufatilia mpira, huwa nacheki games muhimu tu ambazo zinazungumzwa sana mitandaoni. Sasa kuna baadhi ya vitu natamani kuvijua. Kwa sababu humu kuwa wakongwe wa haya mambo...
Hizi timu ni za watanzania wote
Mwanasimba ni mtanzania na mwanayanga ni mtanzania pia
Utimu usituvuruge
Sasa hivi nini jamani!?
Hata kama huipendi timu pinzani ndo ufanye hivi kweli!?
Let...
Kuna timu tangu maisha ya soka yaanze hapa bongo wameishia kugota hatua ya Robo Fainali.
Asikuambie mtu!
Hakuna kitu wanalingia kama hiyo hatua year in year out. Ningependa Leo nionyeshwe medali...
Klabu ya Yanga ilikuwa jijini Lubumbashi kwa mechi yao ya mwisho na TP Mazembe na walitarajiwa kurejea nchini Tanzania juzi usiku.
Hata hivyo, kulikuwa na vita ya kifamilia kati ya matajiri...
Baada ya Simba kufika QF msimu huu kuna kitu kimoja nimekiona na Mchambuzi wa AZAM SPORTS amekiongelea sana Ndugu Ramadhan Mwaduke.
SIMBA inatatizo hili kwa muda mrefu sasa at least YANGA...
Leo CAF wametoa orodha ya wachezaji wanne wanaowania tuzo ya goli bora hatua ya makundi CAFCC, Hadi kufikia sasa Mudathiri Yahya wa Young Africans anaongoza kwa kura na kura hizo zinachukua masaa...
MAENDELEO HAYANA CHAMA [emoji119][emoji119][emoji119]
MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA SC WAUNGANA NA MASHABIKI WA YANGA KUPIGIA KURA @mudathir_yahya27
Goli lake dhidi ya TP Mazembe liweze kishinda...
Jamani msemaji wa timu sio MC kuwa unaweza kusema chochote. Ally Kamwe alisikika akisema wachezaji wa akiba wa timu ya Yanga ndio waliocheza na kupata ushindi dhidi ya TP Mazembe kule DR Congo...
Timu zilizoingia robo fainali kombe la CAF CC ni:
1)Asec Mimosa-Cote d'Ivore
2)Rivers United-Nigeria
3)Marumo Gallants-South Africa
4)Young Africans-Tanzania
5)AS Far Club-Morocco...
Habari wakuu
Jana asubuhi niliangalia kipindi cha Viwanjani kinachorushwa kwenye chaneli ya Azam sports 1HD na binafsi nimesikitishwa sana kwa niliyo yaona.
Sijui kama nitakuwa sahihi nikisema...
Mambo yanazidi kua matamu huku asfc,kinachosubiriwa ni mechi za ijumaa na jumamosi.
Nb-endapo makolo yatapita basi tutawaomba sana azam watuachie my wetu,na nyie madunduka mjiakaze msitolewe...
Uwezekano wa klabu ya Simba kukutana na moja ya timu zifuatazo yaani Mamelodi Sundowns, Wydad AC, na Esperance ni sawa Tu na mfungwa aliyehukumiwa kifo yaani Death row inmate ambae anasubiri...
#MICHEZO Baada ya hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika kukamilika, kocha wa Esperance de Tunis, Nabil Maalou amesema kuwa singependa kupangwa na Simba kutokana na umbali baina yao pamoja na hali...
Hakika huwa nafurahi sana vituko vya simba katika michuano ya kimataifa.
Viongozi na mashabiki wanaamini hakuna football bila ya uchawi kiukweli ushirikina ndiyo kipao mbele Cha timu.
Baadhi ya...
Young Africans yawa timu ya kwanza ku expand nchi za Africa mashariki
Rasmi Tawi la Yanga Wakali Kwanza limezinduliwa Lubumbashi, Congo na Rais wa Yanga SC Hersi Ally Said, Makamu wa Rais Arafat...
Imagine if you, like Franck Kessie, were responsible for the winning goals in the past two Clasicos for Barcelona in your first season at the club.
You would feel like the king of the world...
Yanga ni mwanafunzi aliefeli form two baada ya kushindwa kufikisha "D" mbili katika masomo yake,na ikabidi arudie darasa Tena kwa Mara ya pili, hii inajidhihirisha baada ya kufeli vibaya kweny lig...
Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu.
Simba sc vs mamelodi
Pyramid vs young Africans.
Yaani Wanafunzi Wote mmefaulu kwa kupata Division I halafu kwa Upumbavu wako usio hata na Aibu unajiona Wewe ni Bora kuliko Wengine.
Kuna Watu mnaugua Akili sana tu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.