Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huyu mzee kila siku kuipendelea Real madrid,chuki kibao kwa barcelona na kuzusha uongo kila uchao dhidi ya barcelona Ameipakazia barcelona ilikuwa inawalainisha waamuzi kitu ambacho ni cha...
0 Reactions
2 Replies
617 Views
𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜 Goli la Mudathir Yahya dhidi ya TP Mazembe limechaguliwa kuwania goli bora kwenye hatua ya makundi #CAFCC Unaweza kumpigia Kura kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF -...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
Huu ni utaratibu mzuri ambao unatumika UEFA Champios League, ambapo timu iliyoshika nafasi ya 3 kombe la UEFA Champions League hucheza play offs na timu zilizoshika nafasi ya pili kombe la Europa...
4 Reactions
13 Replies
943 Views
"Wakitaka tuwasaidie kuleta Hamasa kwa Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) huwa wanatunyenyekea ila tukimaliza tu Kuwatangaza na Kuhamasisha Watanzania na Kujikita katika Majukumu yetu ya Habari...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Yani baada ya Yanga kushindwa kabisa kukutana na Feitoto Licha ya TFF kuwaita kwenye kesi pamoja ili iwakutanishe. Sasa mbinu ya mwisho waliyoitumia ni kumwita Feitoto timu ya Taifa. Huko pia...
3 Reactions
8 Replies
955 Views
Haji manara wakati yupo Simba aliwahi kusema pale Yanga mashabiki wenye akiri ni baba yake na mzee kikwete. Wakati anasema hayo nadhani hakufikiria ya mbele au ndo mropokaji,raisi wa Tanzania...
1 Reactions
3 Replies
524 Views
Chei chei! Timu ya Yanga inakwenda kuumaliza mwendo katika kombe la waliofeli kwani wanakwenda kukutana na miamba mitatu ambayo isingependa kukutana nayo. Yanga amemaliza kama kinara wa kundi...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Yuko wapi Moses Phiri? Mbona siku hizi hasikiki tena. Bado ni majeruhi au. Nimecheka kwa uzuni kabisa [emoji12][emoji2][emoji14][emoji28] Tulipo wambia acheni kumlinganisha Mayele na Moses Phiri...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukipanga timu ishirini Bora Afrika kwenye rank za CAF ni timu 2 tu ndizo zinacheza shirikisho, Piramid 10 na Asec ya 20 wengine wote hawamo ata moja ivi mnapata wapi nguvu ya kuelezea ubora wa...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
Ukisikia madaraka ya kulevya kweli bwana mdogo kayaonesha. Nimeangalia short clip videp dogo aki block mipira mazoezini isimfikie Messi kwa kuipiga nje, kila anapotaka kupasiwa Messi anawahi...
3 Reactions
13 Replies
936 Views
Huu ni mwanzo tu wa rekodi nyingi zitakazowekwa na Yanga msimu huu. Ndani ya msimu mmoja tu wa mashindano ya CaF, timu imepanda viwango kwa zaidi ya nafasi 47, wakati kuna timu inayojiita ina...
13 Reactions
103 Replies
5K Views
"Waliofuzu CAFCL wanamuona Simba ndio Underdog wao na ukiangalia karibia wote wameshacheza Fainali lakini pia uwekezaji wao ni mkubwa kuizidi Simba, hii inanifanya niamini kwamba wote wanamtamani...
1 Reactions
4 Replies
306 Views
Hakuna asiejua msoto aliopitia yanga miaka ya nyuma kwenye michuano ya kimataifa, mafanikio pekee aliyokuwa nayo ilikuwa ni kuingia hatua ya makundi kombe la shirikisho na akavuta mkia kwenye...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Ukitazama kwa jicho la kimpira utakubaliana na mimi ya kuwa klabu ya Yanga itafika mbali zaidi ya ilipofikia Simba kwenye michuano hii ya CAF. Ikumbukwe Yanga inashiriki kombe la shirikisho...
21 Reactions
245 Replies
13K Views
Raisi wa club ya Young Africans Eng. Hersi Ally Said akiwa Congo alijitahidi sana kuwa na wakati mzuri na mashabiki pamoja na wanachama wa klabu pale Lubumbashi. Matukio yalokuwa mengi sana ila...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila nikiliangalia hili goli na nikikumbuka tarehe 16 mwezi huu natamani tusiingize timu uwanjani. Yasijekutokea ya mwaka 1991, Tukaweka mpira kwapani.
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Wale waliokuwa wanabishana nan mkubwa
1 Reactions
9 Replies
2K Views
MO: TUKIMTAKA MAYELE, TUTAMBEBA. “Sifuatilii sana mechi za Yanga...Sijamuona Mayele kwenye mechi namsikia, namuona kwenye mitandao naona clip zake anavyofunga magoli nampongeza ni mchezaji mzuri...
6 Reactions
80 Replies
9K Views
Note 📝 NAHODHA wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema uwepo wachezaji wa kigeni Championship, umeisaidia kuipa thamani kubwa ligi hiyo na inakuwa rahisi kwao kuonekana na timu za Ligi Kuu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom