Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Uamuzi huo umefikiwa baada ya kocha huyo kushuhudia timu yake ikifungwa mechi ya 5 kati ya 6 zilizopita za Premier League. Rodgers aliyeteuliwa kuifundisha timu hiyo FebruarI 2019 na kuiongoza...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Klabu ya Chelsea imetangaza kufikia maamuzi ya kumfukuza kocha Graham Potter. Nafasi ya kocha huyo itachukuliwa na Bruno Salter. Klabu hiyo ya jijini London imemshukuru kocha huyo kwa mchango...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika kipindi cha miaka 5 Simba ndio klabu bora Afrika Mashariki kwa hatua walizopiga michuano ya Kimataifa ya CAF. Hatua ya makundi na Robo Fainali mara 4. Yanga itawachukua miaka 4 hadi 5...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kesho ndo kesho asemaye Leo ni mwongo, Hapo kesho ndaani ya dimba la Stade de TP Mazembe linaenda kupigwa mbugi la karne huku miamba ya Tanzania iliyoshindikanika Kwa mpira,fedha na kamati za...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Pablo: hello kaka. robertinyo: habar gan kaka, naamin unanisikia. pablo: nakusikia kaka. robertinyo: mi mzima wa afya mungu anasaidia. pablo: mi pia mzima kaka, nipe habar za uena fc...
1 Reactions
0 Replies
465 Views
Jana kulikua na mechi ya Kuwania kupanda daraja Mwanza, ambapo Pamba fc walikua wakicheza na Kitayose fc, huo mchezo ulimalizika kwa Pamba kutoka sare ya bila kufungana na Kitayose ya Tabora...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hifadhi huu uzi utakuja kuniambia. Ipo hivi:- -Simba siku ya jumamosi tarehe 18/03/2023 atacheza na Horoya, Simba atashinda 3-1 na kutinga moja kwa moja robo fainal huku akiwa amebaki na mechi...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Katika timu zote kwenye mashindano ya CAF, jina la Young Africans ndiyo tamu zaidi.
16 Reactions
75 Replies
3K Views
Nilikuwa naangalia thamani ya wachezaji walio huru kwenye mtandao wa "Transfermarkt" na kukuta kuwa mchezaji wa zamani wa Simba Dejan Georgijevic kwa sasa thamani yake ni Kati ya shilingi za...
0 Reactions
0 Replies
485 Views
Kesho kuna mechi ya Raja usiku saa saba, ikumbukwe mwarabu alishamvurumisha Simba tatu kwa mkapa, Kesho Simba wasipokuwa makini watabanikwa wazima wazima kuweka rekodi ya aina yake Robo fainali...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna watu wamedandia mtumbwi wa vibwengo[emoji84][emoji84][emoji83][emoji83][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uchambuzi utafata baadae Stay...
20 Reactions
512 Replies
30K Views
Salaam wakuu. Mimi nilikuwa Nanjilinji kulima ufuta ila wakati natoka niliicha Yanga ipo klabu bingwa sasa jana wakati naangalia ratiba ya klabu bingwa nikastaajabu timu yangu pendwa MMBWA FC...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Wale wazee wa kubet, msitumie tena kampuni hii, ipo hivi; Unaweka mkeka pesa inakubali. Ukila mkeka pesa haitoki. Wanakupa jibu wapo kwenye matengenezo. Ila kuweka pesa na kubeti wanapokea...
30 Reactions
176 Replies
20K Views
Bila shaka 18. Notingham forest 19. Bounermouth 20. Southampton Hawa watashuka daraja Kwa Notingham forest anaweza akadumbukia everton asipobadilika mapema. Na itakuwa kwa mara ya kwanza klabu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nabi rasimi kathibitisha kuwa hatakuwa pamoja na kilabu ya Yanga kwenye mechi yao dhidi ya TP-Mazembe nchini Kongo katika mchezo wa marudiano wa shirikisho la Afrika. Kumekuwa na...
1 Reactions
3 Replies
694 Views
Wapenzi wa kabumbu naombeni jibu, aliyepo pembeni ya nabii na mtume wa mwisho kwnye soka(Ronaldinho Gaucho) ni nani?
8 Reactions
42 Replies
3K Views
... Onyango klabu bingwa msimu huu ! [emoji849] Kasababisha penati vs Horoya [emoji849] Kasababisha penati vs Raja [emoji849] Kasababisha penati vs Raja Amesababisha perfect hat-trick ya penati...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Arsenal ina miaka saba haijashiriki mechi za Klabu Bingwa Ulaya chini ya Kocha Mikel Arteta. Timu kubwa hata isipochukua ubingwa wa EPL haiwezi kukaa miaka saba bila kucheza UEFA, hii inamaanisha...
9 Reactions
125 Replies
3K Views
Weka ubashiri wako, unaona kabisa Mnyama akifa ngapi huko Morocco?
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kocha Mecky Mexime alipoulizwa kuhusu mchezaji wa taifa stars luhende alikuwa anatetemeka uwanjani Kama hana confidence hivi.👇 Jibu la kocha Mecky Mexime luhende ni mchezaji mkubwa ameshacheza...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom