Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Record Ya Taifa [emoji122] Record Ya Tanzania[emoji120] Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kumfunga MAZEMBE nje ndani RECORD Ni Timu tatu pekee Afrika zilizomfunga TP...
18 Reactions
157 Replies
8K Views
Jamani hawa Simba hamna timu, kinachofuata ni aibu kubwa huko robo fainali, Raja wamepumzisha wachezaji 15 wa kikosi cha kwanza pamoja na wale wa kikosi cha pili lakini bado Hawa ndugu zetu...
13 Reactions
39 Replies
3K Views
Simba tukifanya mabadiliko kwa beki yetu tunaweza kufika mbali. Mimi naombea tupewe mamelodi. Kama Al Hilal waliweza kufungwa goli moja na mamelodi pia wakatoa sare nyumbani why not Simba?. Simba...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA. I am a SImba Fan lakini SIMBA mwaka Jana kulikuwa na timu kama BERKANE ORLANDO. This Time CAFCC kuna timu nyingi lakini za...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Maana sasahivi imezuka kasumba kwa Wana Simba waliyo wengi, kuwa sisi tunashiriki ligi ya mabingwa mara sisi tunashiriki super league, je niwaulize hivi mnaenda kushiriki au kushindana? Nyinyi...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna katabia fulani hivi kameanzishwa na mashabiki wale wafuasi wa Mangungu na Mhindi wa bombay kuwa kila yanga inaposhinda mechi wao wanasema timu ni mbovu iliyokutana na yanga, Ni lugha fulani...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Take it! Yanga @yangasc1935 imelipa kisasi cha 2016 kwa TP Mazembe. Mazembe ilishinda bao 1-0 Ugenini (Dar) ikashibda 3-1 nyumbani (DRC). Yanga imeshinda 3-1 nyumbani (Dar) na 1-0 ugenini (DRC)...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Mnyama simba ameliwa usiku usiku kimya kimya , baada ya kukubali kichapo cha 3-1 kutoka kwa waarabu wa morocco Raja casablanca😂😂, ila simba heshima yake apewe tu kwa hatua hiyo aliyopo, swali la...
3 Reactions
7 Replies
837 Views
Take it🔥 Ipo hivi, Yanga sc imevuna alama zote 6 kwa Tp Mazembe. Imekomba alama 4 kati ya 6 kwa Real Bamako. Imechukua alama 3 kati ya 6 kwa Us monastir Kifupi Yanga sc kwa sasa ndio timu...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Duh naona Michuzi anatoa nyepesi kwamba Yanga tumeingia mitini.... Nimetokea sipo mjini na kila ninayempigia naye ni amezima simu!! Asalale, hii ni kuwapa wanyama cha kuongea manake si utani hii...
1 Reactions
66 Replies
11K Views
Nimepenyezewa za chini ya kapeti. Zile timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinapishana pale HQ za CAF. Lengo lao eti CAF ichengeshe draw Ili wasikutane na miamba hii ya hapa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
MARA ya mwisho Yanga kutinga robo fainali michuano inayoandaliwa na CAF, Clement Mzize alikuwa hajazaliwa. Kelvin John alikuwa hajazaliwa. Ilikuwa mwaka 1998. Yanga walistahili furaha waliyoipata...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwaka ujao Yanga tutaimba lam Lam set heee. Nguvu ya soda mwaka huu. Ni kama mvua za msimu
0 Reactions
3 Replies
841 Views
Nawaambieni kweli, hawa wanaoropoka humu Juwaani sio watu wadogo. Baadhi ni viongozi kule Utopolo
2 Reactions
14 Replies
1K Views
WanaCCM na wanasiasa walishaandaa mabango na Mapambio ya kupeleka Sifa na Utukufu kwa Mama... Ingesemwa, "TUNAMSHUKURU MAMA KWA USHINDI WA LEO...NA MILIONI KUMI TAYARI TUNAZO KIBINDONI...NANI...
33 Reactions
63 Replies
4K Views
Mchezo mwingine wa kundi D michuano ya shirikisho barani Afrika unapigwa mida ya saa 5 usiku Kwa muda wa Afrika Mashariki. Mchezo huu unasubiliwa kwa hamu hasa na wapenzi wa soka hapa nchini Kwa...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Ama kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Mwenye kujua anisaidie maana naona muda unaenda na sioni dalili ya hii mechi kuonyeshwa. Mwenye majibu tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
891 Views
Nchini Uganda 1990's katika daladala 10 za kubeba abiria basi 5 kati ya hizo zilikua na picha/jina LUNYAMILA. Moja kati ya vipaji vikubwa kuwahi kutokea katika historia ya mpira. Kuna show...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza hili swali. Timu hii inasemwa kuw haina mafanikio, siyo timu kubwa, lkn inaweza kuwa inaongoza kwa kuchukiwa na mashabiki wa tumu za Man Utd, Chelsea na hata...
2 Reactions
17 Replies
543 Views
Back
Top Bottom