Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

🚨HAKUNA KAMA FISTON MAYELE FISTON MAYELE tangu alipojiunga Yanga amecheza michezo 35 na kufunga mabao 43 katika michuano yote yakiushindani Tangu MAYELE alipotua Tanzania hakuna mchezaji...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameipokea rasmi timu ya wasichana ya mpira wa miguu ya Fountain Gate, mabingwa wa Afrika kwa Shule za Sekondari walioiwakilisha...
0 Reactions
1 Replies
465 Views
Majira ya Saa 10:00 Alasiri kwa masaa ya Afrika Mashariki, Ihefu Fc itawakaribisha Simba Sc katika dimba lao la Highland Estates katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Habari kubwa leo, nani wa...
10 Reactions
424 Replies
28K Views
Ni kweli isiyokuwa na shaka Jean Baleke ni moto wa kutisha, wanaobisha ni wivu tu Lakini pia tusisahau Jean Baleke sio mchezaji wetu, ni mchezaji wa TP Mazembe na yupo Simba kwa mkopo Kuringa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Tukiachana na ushabiki wa uyanga wangu, huyu Baleke Simba wamepata mtu mwenye shabaha na nyavu zilipo. Huyu jamaa kaja katikati ya msimu ila alichokionesha uwanjani kitakwimu zinaogopesha sana...
16 Reactions
30 Replies
2K Views
Baleke yupo kwenye kiwango bora sana, lakini kwa mifumo ya Nabi pale Yanga hachezi! Chama mwenyewe chini ya Nabi ananzia benchi. Ni inonga tu, anaweza kuingia kwenye kikosi cha Nabi moja kwa...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
SUPER LEAGUE TIMU 24 "Tukiwa Afrika Kusini, April 5 tulifanya kikao na kamati tendaji ya (CAF), tukapendekeza mashindano ya Africa super league badala ya kuanza na timu (8) yaanze na timu (24)."...
12 Reactions
98 Replies
6K Views
Huyu Mchezaji sijawai ona tangia amejiunga na Simba Sc hakuna Mechi hata Moja aliyo perform kwa kiwango cha kuthibitisha kwamba huyu ni international professional player. Ni kheri sasa huyu...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Hakuna taarifa mpya kwenye Ligi Kuu ya Afrika kutoka kwa niliyotoa mara ya mwisho. Timu 8 pekee ndizo zitaanzisha mashindano na sio 24 katika msimu wa kwanza. Mazungumzo yanaendelea kwa Enyimba...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Humu nakumbuka kuna watu waliona timu zilizopo klabu bingwa timu bora haswa, Habari ziwafikie kuwa ile timu ambayo kwasasa inaimbwa kuwa ni moja ya timu bora sana katika klabu bingwa, wana sifiwa...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Unapokosea siyo vibaya kuomba radhi na maisha mengine yaendelee huku mkono unakwenda kinywani, bila kujali makelele ya wafua vyuma. Ndiyoooo, nimemuona Feisal wa Taifa Stars ni tofauti kabisa na...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
JEAN BALEKE NI MCHEZAJI WA TP MAZEMBE "Jean Baleke ni mchezaji halali wa TP Mazembe ambaye kwa sasa anacheza Simba kwa Mkopo wa makubaliano ya misimu miwili "Simba haikumnunua moja kwa moja...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Kama kawaida yenu.... Mnapenda Okota lose balls. Hamna kitu kwa huyo mchezaji. Nimekaa hapa. Mtakuja niambia. Huyo patupu kabisa. Hakuna mfungaji hapo. Labda mumuache Bocco. Mnahangaika sana.
5 Reactions
64 Replies
5K Views
April 16, 1983 katika Derby ya Kariakoo @yangasc1935 ilishinda mabao 3-1. Charles Boniface Mkwasa aliswazisha bao Mussa Kihwelo, Juma Mkambi na Omar Hussein wakaongeza mawili. Miaka 40 Derby...
2 Reactions
5 Replies
381 Views
Baada shangwe za Jana ( wananchi kuliokoa taifa na kuweka rekodi ya kuwa timu pekee kumpiga mazembe nje ndani) Najua makolo mmesahau Leo Baada ya kutulia na kuanza kufuatilia historia ya soka...
7 Reactions
92 Replies
3K Views
Huwa nina mawazo wakati mwingine nakaa nayo muda mrefu hadi wakati sahihi wa kuyatoa. Niwie radhi kwa uzi mrefu kidogo. Katika miaka ambayo nimeangalia performances za timu za Africa katika Kombe...
0 Reactions
5 Replies
635 Views
KOCHA mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametua nchini akitokea Tunisia alipokwenda kwa ajili ya kushughulikia matatizo yake ya kifamilia. Akizungumza baada ya kutua, Nabi alisema: “Tuna ratiba ngumu...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Just for your information Afrika ina maelfu ya timu zenye viwango tofauti tofauti. Kuna zenye viwango duni, viwango vya kati na vigogo. Nikikazia neno Vigogo namaanisha timu mfano wa Simba Sc...
16 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom