Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Serikali imejipanga vema kusimamia na kuendeleza michezo sita ya kipaumbele ya kimkakati ikiwemo mpira wa kikapu ili kuleta tija katika sekta ya michezo nchini. Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Vipers SC ya Uganda imetangaza kusitisha mkataba wa kocha mkuu, Beto Bianchi. Raia huyo wa Brazil alianza kuifundisha Vipers Januari 2023 akichukua nafasi ya Roberto Oliviera aliyejiunga Simba SC...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
1. Hii timu ya Yanga haina cha friends of Simba wala nini, ni GSM tu 2.Hii timu ya Yanga kwa namna ilivyojipanga itachukua miaka 10 mfululizo ubingwa wa bongo 3. Hii timu ya Yanga kwa namna...
19 Reactions
44 Replies
2K Views
Kuamka Alfajiri, au nyakati za jioni kuvaa kiatu, kwenda uwanjani, kuifuata barabara nyoofu. RUNNERS. Uzi huu naomba uwe maalum kutukutanisha wakimbiaji, tupeane dondoo za ukimbiaji, takwimu za...
1 Reactions
10 Replies
383 Views
Hizi ni baadhi za facts kuonyesha kuwa sisi mashabiki wa Simba El de colo ni mbumbumbu; 1. Kuamini kuwa timu yao itavuka Robo Fainali kwa hili pira butua butua - tunashinda ila hatuna furaha. 2...
7 Reactions
47 Replies
1K Views
Wakubwa wenzangu tuache kujadili ulimbukeni wa jamaa zetu kwenye mashindano ya CAF, tujadili mambo ya msingi. Clatous Chama amekuwa akipangwa winga huku Saido Ntibazonkiza akitumika kama kiungo...
14 Reactions
66 Replies
4K Views
Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia, hapa nawazungumzia Young Africans leo mida ya saa 1.00 usiku watashuka...
20 Reactions
801 Replies
33K Views
Baada ya mechi ya kibabe Jana kuisha Kwa mnyama kuchukua point 3 za nguvu pale Kwa mkapa hatoki mtu ( isipokuwa Raja Casablanca na Young Africans). Na kujihakikishia mguu ndani vs nje kwenda robo...
9 Reactions
68 Replies
4K Views
Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani. Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu. Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja...
3 Reactions
106 Replies
5K Views
ALIPOOMBA au tuseme walipoomba marejeo kuhusu kesi yake ya kujaribu kuvunja mkataba, upande wa Feisal Salum ‘Fei Toto’ umepigwa chini tena. Inaonekana kwamba uamuzi wa awali wa kamati iliyokaa...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo majira ya saa 1:00 usiku, katika dimba la Benjamin Mkapa, Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika watakuwa wanawakaribisha Vipers Sc katika mchezo muhimu sana. Huu...
19 Reactions
745 Replies
29K Views
Wakuu maajabu huwa hayaishi Bunju. Baada ya majina kadhaa kupita Msimbazi kama makolo FC, mbumbumbu FC, mikia FC. Leo timu kubwa ya Uganda, Vipers sc kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Huu ni mpango wa ukarabati wa Old Trafford kutoka Qatari Royal uliowasilishwa kwa Glazers. "Old Trafford" mpya itakuwa na viti vyenye joto katika sehemu maalum, na kutakuwa na viti 100,000 kwa...
2 Reactions
1 Replies
354 Views
Mtu yeyote atakaye bisha kuhusu kushuka kwa ubora wa simba basi sio mwana michezo bali ni shabiki maandazi. Ila tatizo ni pale watu wanapo zidisha chumvi kupita kiasi juu ya ubovu wa kikosi cha...
1 Reactions
7 Replies
591 Views
Najaribu kupitapita mitandao mbalimbali, naona kila mtu anasema Simba itatinga hatua ya robo fainali, huku wakikubali kuwa timu yao ni dhaifu lakini bado wanang'ang'ania eti watafika huko. Mimi...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Mo...mmoja wa matajiri lialia wa simba kuwahi kutokea pale msimbazi. Ni very rare kupata watu wa hivyo. Si mfadhili tu bali ni mshabiki anayeumia simba ikipoteza. Yapo majungu juu yake ili akate...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, (Mb) akikabidhi zawadi ya Shilingi Milioni 10 zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
0 Reactions
0 Replies
464 Views
A WAKATI vigogo waliowahi kuongoza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wakifichua kwamba sakata la Feisal Salum ‘Fei Toto’ linacheleweshwa na mchezaji mwenyewe na TFF haiwezi kulimaliza bila kuwepo...
0 Reactions
2 Replies
785 Views
Aliondoka kwao akiwa kijana mwenye ndoto njema. Ndoto ya kutokuwa tapeli wala kibaka. Ndoto ya kucheza soka. Naamini aliondoka kwao akiwa hajaenda sana shule. Usishangae, hata wanasoka wa Ulaya...
2 Reactions
3 Replies
828 Views
Ama kwa hakika kwenye nchi hii we jitendee wema ujiondokee ! kifo cha Ramnik Patel maarufu kama KAKA , aliyewezesha timu ya Tukuyu Stars ya mjini Tukuyu , Wilaya ya Rungwe , mkoani Mbeya kutikisa...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom