Najaribu kulisikiliza semaji la CAF hapa, huwezi amini lina sound kama Robot hata anachoongea hakisikiki, na mbaya zaidi hii ni press muhimu sana kuelekea mchezo wetu wa jumamosi wa kufuzu Robo...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameiaga rasmi timu ya ngumi ya Wanawake ya Tanzania inayokwenda kushiriki mashindano ya Ubingwa wa Dunia kwa upande wa Wanawake...
Ni kwa wapenda kikapu cha Majuu NBA
EASTERN CONFERENCE
Boston Celtics
New Jersey Nets
New York Knicks
Philadelphia 76ers
Toronto Raptors
Chicago Bulls
Cleveland Cavaliers
Detroit Pistons...
Klabu ya wydad AC imejadili uwezekano wa kumteua kocha mkuu wa Yanga SC Nasreddine Nabi kuinoa timu yao katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao baada ya Walid Regragui kujiuzulu...
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Africa, Simba na Yanga mchana huu watakuwa wakifuatilia droo ambapo makundi yatapangwa.
Droo hii itaanza saa 8:00...
Machampioni watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans S.C almaarufu Yanga leo wanashuka dimbani kuzisaka alama 3 dhidi ya Geita Gold kutoka mkoani Geita katika mwendelezo wa ligi kuu ya...
Kwanza nitoe kongole kwa mh Raisi Dr mama Samia suluhu kwa hamasa anayoifanya kwa timu zetu zinapokuwa zimefunga goli nakutoa zawadi ya mil 5 kwa kila goli hakika hii si yakubeza anasitahili...
Jifunzeni kuheshimu Watu waliobarikiwa Tunu ( Shani ) nyingi na Mwenyezi Mungu halafu na hata Soka la Tanzania ( Bongo ) wana PhD ( Doctorate ) nalo sawa?
Kama tu ndani ya Mechi Nane walituacha...
Je unahisi huyu mwandishi atakua nani vile, binafsi nimependa majibu ya huyu kocha wa Timu ya Taifa Muisrael Avram Grant akili kubwa, kuna cha kujifunza makocha wa kibongo.
GENTAMYCINE zaidi ya mara Tatu (tena hapa hapa) JamiiForums na Threads zangu zipo niliwaonyeni (niliwatahadharisheni) kuwa mkikaribia Kucheza Mechi Kubwa za Kimataifa na Kitaifa msiwe mnajiandaa...
Leo tuwakumbuke wachezaji ambao wapo underrated, wanajituma sana kwa maslahi ya timu lakini huwezi kusikia wakiimbwa sana au kusifiwa na mashabiki au wachambuzi.
List yangu iko hivi;
Pierre...
Hawa ndugu zetu wa Simba Wana pitia kipindi kigumu sana, ukitazama nyusi zao hazina Tena Nuru kama zamani yaani zimefubaa, Wamejaa msongo mwingi wa mawazo, wanatembea wanaongea wenyewe kama...
Baada ya kufanya uchambuzi wa mechi za CAF zinazoendelea nimekuja kupata swali hili
Japo kolo anacheza CAF champions ( wanasema Kuna ugumu) lkn sio kigezo Cha timu kubwa kupata point zote Kwa...
Wakuu Mimi ni mwana Simba kindaki ndaki nimepata masononeko sana[emoji24][emoji24] Baada kuutafuta msimamo wa ligi kuu ya Nbc wakati Simba akiwa kileleni[emoji772] mwa msimamo ligi ya Nbc bila...
Hovyo kabisa mbona huu Mpira wa leo Wachezaji wetu hawakuucheza Mechi kama Nne zilizopita na tukawa tunashinda kwa Taabu huku Sisi Mashabiki wenu GENTAMYCINE nikiwepo tukiwa tunajituliza kwa Dawa...
Habari za mda huu wakubwa
Leo itakuwa mechi ya ki historia apo BONDENI
ALAHALY CAIRO watakuwa wageni wa mamelody sundown MASANDAWANA
ikimbukwe mechi ya kwanza al ahaly alilazimisha sare akiwa...
Mpira wa miguu mara zote unatakiwa kushinda Mechi zako halafu unasonga mbele. Haya mambo ya kushindwa kushinda mechi zakot halafu uanze kuombea wengine wafungwe ni uchawi tosha.
Ushauri wangu...
Nimemuangalia Harry Kane kwa miaka saba mfululizo hajawahi kushuka kiwango ni mshambuliaji hatari, ni mchezesha timu kwa kifupi anacheza namba yeyote pale mbele. Ana displine ya hali ya juu kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.