Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kila siku humu JF tukiwaambia mbu mbu mbu kuwa wanakikosi tia maji tia maji wanabisha Sasa nadhani wameelewa ...Yanga imetoa wachezaji Saba dhidi ya 3 kutoka mbumbumbu FC imagine mzize, sure boy...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Naombeni kujua hacks or any tricks za kushinda angalau kidogo zile casino games za parimatch. Hasa aviator na Ile balloon game na football game. Any tricks kwa anaejua. Niplay vipi ili lile...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanini alimtoa Halland jana wakati alihitaji goli moja kuvunja rekodi ya Messi? Au Pep ni mshabiki wa messi ambaye anajaribu kuzuia rekodi zake zisivujwe? Jamaa kwa kweli anazingua sana. Jamaa...
0 Reactions
3 Replies
604 Views
Hassan Dilunga amerejea tena Simba Sc mara baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu. Picha zimemuonesha HD akiwa mazoezini huku akitupia jezi mpya za mazoezi za Simba SC. Hii itakuwa habari...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni muda sasa umepita tangu warudi kikosini Ki Aziz, Bangala na Super BM, cha ajabu hawa wawili kila mechi wapo, jamani Morisson vipi?
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Naona sikuhizi anapigika vizuri tu,tatizo sielewi nini,msimu huu akijitahidi sana hatua ya 16 bora,na mikeka yetu ndio usiseme kabisa
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Niwaombe Caf, chonde chonde watupangie Masandawana au Mamelodi sundowns. Naona wanajitapa sana huko mitandaoni na mbaya zaidi wanasema wakikutana na sisi watatugeuza kama kitoto cha simba mbele...
9 Reactions
68 Replies
5K Views
CAF inaona gharama kutumia VAR katika kila mechi, na imeona ni vyema kwa sasa timu zitakazoingia robo fainali ya Klabu za Afrika ndio ziwe zinacheza huku mitambo ya VAR ikiwa imefungwa. Sioni...
11 Reactions
44 Replies
2K Views
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemteua Kiungo wa Simba SC Clatous Chama kuwa miongoni wa wachezaji wanne ambao wapo kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuwa mchezaji bora wa wiki kwa round...
14 Reactions
45 Replies
5K Views
Mchezaji wa Manchester City Erling Halaand atupia magori matano ⚽ kwenye hatua ya 16 Bora UEFA. Manchester city 7 -0 Rb Leipzg. Manchester City mabingwa wa UEFA 2022/2023🥇🏆save hii.
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Sharom wapendwa, Hivi timu zetu pendwa za Kariakoo zina hao maafisa wa video analysis au sisi tunaangalia wasemaje wa timu ndo watatusaidia kutuvusha kimpira sasa hivi mambo yamebadilika sana kwa...
0 Reactions
5 Replies
512 Views
Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho? Halafu unaita Wachezaji wa Yanga SC Sita huku wa Timu inayoshiriki Klabu Bingwa...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Al Ahly Egypt (Makombe 24) Vikombe vya klabu bingwa Africa 10 Vikombe vya klabu bingwa wanawake 4 Kombe la shirikisho 1 Super cup 8 Afro-asian cup 1 Zamalek Egypt (Makombe 13) Vikombe vya klabu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca. NB: Ni ndoto tu, No guarantee.
1 Reactions
11 Replies
544 Views
Huu uzi ni maalumu kwa wapenzi na mashabiki wa Horoya popote pale walipo hapa Duniani. Pia watu wote wenye mapenzi mema na hii timu yetu ya Horoya karibuni. Jumamosi tuna jambo letu.
3 Reactions
62 Replies
2K Views
Yaani leo ndio nimejua kumbe mpira wetu nikama siasa zetu tu hatupoki professional kabisa. Wasemaji wote wa simba na yanga wameongea kuhusu mechi za kimataifa zinazokuja. Ajabu wapo bize kwenye...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kinara wa magori katika timu ya taifa Mrisho halfan Ngasa ambaye ana magori 25 katika timu ya taifa(taifa stars). amesema anatamani kupewa thamani ya kustaafu soka la kimataifa kutokana na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
NDIVYO ukweli wa maisha ulivyo, hasa katika dunia ya kibepari. Nani anajali alipo Hassan Dilunga maarufu kwa watangazaji wa Azam kama ‘HD’ ? Miezi 24 iliyopita alikuwa wa moto hasa. Halafu baadaye...
14 Reactions
36 Replies
3K Views
Yaani wao wanakuwa na magoli ya kufunga 13, wakati wenzao woote wana magoli mawili mawili dah hii siyo haki.
7 Reactions
12 Replies
777 Views
Ingawa huu usemi umetamalaki kwenye sekta mbalimbali hasa za michezo hapa Tanzania, ila kama ulikuwa hujui basi chukua hii Leo. Mwaka 1993 klabu ya Simba ilifika fainali ya michuano iliyoitwa...
21 Reactions
91 Replies
5K Views
Back
Top Bottom