Simba SC haijawahi Kumkosa Mchezaji yoyote mkubwa Afrika hii na ukiona haimtaki jua huyo Mchezaji ana Majeraha au hana Kiwango cha Kuwazidi walioko.
Simba SC waliachana nae mapema tu baada ya...
Salaam,
Binafsi nimeshangazwa sana na uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, ambapo nimeona wachezaji ambao wapo kikosi cha kwanza kwenye timu zao (regular players) wameachwa haswa niliotaja hapo juu...
Leo mnyama yuko uwanjani na Mtibwa sugar kule Manungu complex, msimu huu Mtibwa amekuwa akipata ushindi mwingi katika uwanja wa nyumbani so matokeo yoyote yanaweza kutokea, ndio maana leo nataka...
Alikamwe kesho tunaenda kwenye matawi yetu makubwa kabisa ya Yanga pale kwa Mtogole kuna tawi kubwa, Kariakoo hapa kuna tawi kubwa.
Tutawaambia viongozi wa matawi kuwa kama kuna lolote wanaweza...
Wakuu
Nimeshindwa kabisa kuwa na amani, hii mechi ya marudiano na Raja pale kwenye dimba la Mohammed V Morocco inaninyima kabisa usingizi.
Kila nikikumbuka zile thalatha walizotupiga tukiwa...
Yaan ina tia hasira na pia inahuzinisha, mnashindwa ingia ubia na wamiliki wa Ccm wanaomiliki viwanja vingi mapato yakaenda halmashauri kwenye mgawanyo? hao waarabu wanaotunyanyasa ubora wa...
Simba na Yanga walimsajili Bernard Morrison wote walikiona cha mtema kuni. Faisal anaonekana kuwa ana kipaji kama Morrison lakini hana akili timamu na hatakuwa na akili timamu hata aendako. Timu...
Kama umefuatilia uchezaji wa Shomary Kapombe toka amepona majeraha yake amekuwa anacheza kwa kiwango kikubwa na kujituma kuliko mchezaji yoyote pale Simba.
Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, ni...
Kwa sasa premier league imebakia kwa Manchester United na Liverpool watu wakiangalia nani atamaliza msimu kwenye Too Four.
Kwa mechi zilizobakia sasa kubashiri muue tu Manchester utanishukuru...
Mchezaji wa Yanga Kennedy Musonda leo ametunukiwa medali aliyopewa na mtoto wa kutoka huko Spain aitwaye Lucas Gomez. Medali hiyo ilikabidhiwa kwa Musonda na Balozi wa Spain kwa niaba ya mtoto...
Papa Zahera ba mutu ba Kongo kocha wa timu ya Polisi baada ya jana kumalizika kwa gemu dhidi ya Dodoma jiji na kupoteza 2-1 akihojiwa na mtangazaji wa Azam ‘Papaa vipi huogopi kushuka daraja Papaa...
Wanasiasa ni watu wabaya sana, wakitaka kukufadhili kitu bora ukatae, ni fursa ya kuwatangaza kisiasa hiyo.
Yaani mama akaona atazungumziwaje kwenye soka. Akajifanya ananunua kila goli, sasa...
Senegal mji mkuu Dakar hawa jamaa wapo serious sana na mpira tangia wajifunze makosa yao kupitia kizazi ya kina Tony Silva, Ferdinand Coly, Fadiga, Diof...nk chini ya Kocha fundi Bruno Metsu(Rip)...
Kwa ajili ya maendeleo ya soka la nchi hii na kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za kukuza soka la nchi hii
Nashawishika kuamini kwamba serikali haitimizi wajibu wake Kwa soka la Mbeya.
Pamoja na...
Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo. Mnacheza faulo refa anapeta, mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano, wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeumia Sana
Yanga kutoa wachezaji 7 huku Simba ikitoa wachezaji 3 Hii siyo fair kisoka. Yaani Kagera sugar inatoa wachezaji 4 huku Simba ikitoa 3?? Unamuachaje Sure...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga, Machi 12, 2023 Wilayani Rungwe amefunga mashindano ya mpira wa miguu yaliyojulikana kwa jina la Polisi Jamii Super Cup 2023.
Akifunga...
Sikuwa naangalia mpira dakika za mwanzo ambapo Geita Gold wamefunga bao safi la kudhalilisha.
Kutokana na tabia ya waamuzi kuua move ya timu pinzani wa Yanga, imekuwaje leo akawaacha Geita Gold...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.