SIJAMUELEWA kocha wa Taifa Stars. Sijamuelewa kabisa Adel Amrouche. Nimeshangaa sana kuona timu yetu ya Taifa ‘Taifa Stars’ inaitwa bila kuwa na majina ya Mohammed Hussein, Aboubakary Salum na...
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundowns Khayelihle Shozi kwa sasa anapitia tatizo la ugonjwa wa akili.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipitia Katika timu za vijana ya Mamelod...
Kwa mujibu wa @FARPostZA, FIFA imeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji kwa madirisha matatu (3) mfululizo baada ya kushindwa kumlipa fidia ya kuvunja mkataba aliyewahi kuwa Kocha wao Luc...
Kwa wale tunaofatilia Sana mpira wa Ulaya mtakua mnajua jinsi wenzetu wana mifumo wa kuruhusu wachezaji wa Academy kucheza mechi yeyote wakati wowote na timu kubwa.
Mchezaji wa academy anakuwa...
Km mnakumbuka wakati tetesi za Feitoto kuondoka Yanga zinaibuka hakikupita kipindi kirefu baadhi ya wachambuzi wengi waliripoti feisal to Azam deal done [emoji736]
lkn mpk sasa bado...
Habari wanajukwaa kabla sijaja na Uzi wa kutoa kero zangu na kuuelimisha Umma wa wapenda soka Nchini naomba nipate mawazo tu kwa unavyotambua wewe hapo ni kweli mashabiki wa mpira wanafanana kote...
Ingekuwa poa sana kama mngefuatilia mwenendo wake. Maana katika michezo 19 ya Ligi yao pale Kenya mpaka sasa, tayari ameshatupia goli 19!! What a striker katika umri wake huo wa miaka 21 tu...
Timu ya Taifa baada ya kuchukua kombe la Challenge, Syllersaid Salimin Kahema Kangero MZIRAY aka Super Coach akiwa Kocha.
ilikuwa 1994 sina hakika na mwaka. Rest in Peace SillaMziray, toto la...
Mshambuliaji wa @yangasc1935 Fiston Mayele ameushukuru uongozi wa timu hiyo pamoja na benchi la ufundi kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kudhihirisha kipaji alichokuwa nacho.
Kinara huyo wa mabao...
"Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali ...
Morocco ikifanikiwa katika mchakato huo wa Kombe la Dunia 2030 itakuwa Nchi ya pili kwa Afrika kuandaa michuano hiyo baada ya Afrika Kusini Mwaka 2010.
Hiyo ni mara ya 6 kwa Morocco kuomba kuwa...
SIMBA walipomsajili kiungo anayeitwa Ismael Sawadogo nilikuwa na uhakika walikuwa wanajua jambo wanalofanya. Hapa katikati kulikuwa na malalamiko mengi kwamba Simba walikuwa hawajafanya vyema...
Paris Saint-Germain vs Bayern Munich
Inter Milan vs FC Porto
Borussia Dortmund vs Chelsea
Eintracht Frankfurt vs Napoli!
AC Milan vs Tottenham
Liverpool vs Real Madrid
Club Brugge vs Benfica
RB...
Sio kwa mpira ule, tulijua feitoto akiwavuruga yanga watadondosha point Lakin wapi. Kombe letu ni feitoto tu kutokurudi yanga.
Kwanini tunaitwa mandunduka, zuwena fc?
Ni vigezo gani hutumika kuchagua kocha bora wa mwezi kwa ligi yetu pendwa ya NBC?
Rekodi zinaonyesha kocha wa Yanga amekuwa na muendelezo bora kuliko makocha wote wa ligi kuu kwenye kila mechi...
Mchezaji wa Simba Clatos Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa mashindano ya CAF Champions League.
Hii ni baada ya mashabiki wa soka barani Afrika kumpigia kura kwa kishindo kati...
Bondia maarufu wa Tanzania, Mandonga, amepata bahati ya kukutana na Mwanasiasa Mashuhuri mwenye koneksheni kubwa Duniani, Godbless Lema.
Wawili hao wamebadilishana mawili matatu na bila shaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.