Wanachokifanya Mamelodi leo hata wanavyocheza ni wazi kabisa wanataka kuipa Matokea mazuri Al Hilal.
Goli la kwanza la Mamelodi ni la bahati mbaya tu lakini wakaamua kuwazawadia wasuda goli la...
Kocha wa timu ya taifa Taifa Stars, Adel Mrouche amepewa nafasi ya kuchagua wataalamu 4 atakaoambatana nao kwenye timu ya taifa kama sehemu ya benchi lake la ufundi, Kocha huyo amependekeza jina...
GENTAMYCINE nitafurahi mno nikiwaona wana Simba SC Wenzangu wa hapa JamiiForums.
Nitakuwa nimekaa na Wachezaji Wastaafu ( wa zamani ) wa Simba SC ambao Fainali ya 1993 Uhuru Stadium mbele ya Rais...
Hawa ndio makinda wanaotabiriwa kufanya makubwa mbeleni
1. CYPRIAN KACHWELE
Amezaliwa November 2007 ana miaka 15 ni mshambuliaji aliyekulia kwenye academy ya Azam na anayefanya vizuri kwenye...
Simba kesho wanatupa karata muhimu itwayo Do or Die dhidi ya Horoya ya Guinea ambao nao wanajua kabisa kesho kwao ni final, Horoya ambao kusema kweli kama sio uzembe wetu Simba kwenye mchezo wa...
Habari wana jamvi,
Baada ya call up ya squad ya kikosi cha lions of Teranga, Senegal,imeifanya nikumbuke maneno ya mtangazaji anayejiona ni mkongwe kwaiyo anajua kila kitu.
Huyu bwana mwaka...
Kama kuna jambo limevuruga ustawi wa Simba msimu huu ilikuwa ni majeraha ya Moses Phiri. Ilichukua muda Simba kujijenga bila uwepo wake ukichukulia tayari alikuwa tegemeo la kwanza katika timu...
Aisee hatuitaji ubishani kwa sasa Africa hakuna number 9 kumzidi Peter Shalulile
Huyu MNAMIBIA anajua kufunga sana kwakweli, Number 9 natural huyu anafunga kila aina ya magoli
Ananikumbusha...
Siujui mpira vizuri na betting za mpira sizijui vizuri ila naona wanapigwa tu kila siku.
Mtu anachakazwa wiki tatu anapewa siku moja elfu 50 basi hiyo siku mpaka mkewe atajua kuwa baba kapiga...
Team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii.
Naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1...
Yanga wanahaha kusaka ushindi j2 dhidi ya mwarabu, mara wametoa damu, mara wamesaidia yatima, mara wamekusanya watoto na kuwapa zawadi baada ya kuwauliza maswali hiyo yote ni kutapatapa tu...
Tusijenge tabia ya kupeana sifa za kij8nga ambazo hazina msaada wowote kukuza timu.kusifia viongozi mchana kutwa usiku kucha.tujenge timu ki mbinu,kiufundi na kwa stamina,tujenge viwanja,tuwekeze...
Naam Habarini za Jumamosi Wanajukwaa.
Leo ni siku Murua kabisa kwetu sisi wapenda soka tena lile soka zuri lisilo na Makolokolo,Soka lisilo na Mara Refa kafanya hiki Mara shirikisho limependelea...
Baada ya kuona droo ya robo fainal kupangwa Jana sis Kama Chelsea tumefurahi kupangiwa na real Madrid.tunaenda kumpiga Madrid nje ndani afu tunakuja kwa city nae tunampiga nusu fainail na fainali...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino amezindua KigaliPeleStadium, wenye uwezo wa kuchukua watu 22,000 kwa heshima ya aliyekuwa nguli wa soka kutoka Brazil Edson...
Simba na Yanga wakizifunga timu za nje ya nchi furaha Yao isiwe kweñye madirisha ya nyumba za washabiki wa Simba au Yanga. Wafurahie bila kuitaja Yanga au Simba. Hii itaukata mnyororo wa timu hizi...
Barcelona iliyoundwa na Valdes golini.
Mabeki kama Dani Alves, Puyol, Mascherano na Eric Abidal.
Viungo walikuwepo Sergio Busquets, Xavi na Mtaalam Iniesta.
Safu ya ushambuliaji ikiongozwa na...
Baadhi ya mashabiki wa Chelsea wamekasirishwa na kitendo cha straika wao, Romelu Lukaku kudaiwa kuwa alimpigia simu Kocha wa Inter Milan, Simone Inzaghi akimuomba amrejeshe kikosini hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.