Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kipindi kama cha wiki mbili zilizopita, nilileta uzi juu ya tuwatahadharisha wachambuzi uchwara kuwa ni kweli Simba yaweza kuwa mbovu ukilinganisha na Simba ya miaka 2 iliyo pita, ila ubovu wake...
27 Reactions
30 Replies
1K Views
Horoya kwa namna wanavyocheza ilikuwa halali wapigwe nyingi, kwanza hawakumuheshimu mpinzani ambaye yuko nyumbani kwake, wameingia kwenye mchezo wakafunguka kuanzia dk ya kwanza ya mchezo, na hapo...
4 Reactions
65 Replies
3K Views
Salaam wana Msimbazi, Niwapongeze wote kwa ushindi mzito na mnene tulioupata leo dhidi ya timu ya Horoya kutoka Guinea. Muhimu ushindi huu mzito tulioupata nyumbani, tutambue utaamsha ari ya...
11 Reactions
21 Replies
1K Views
Mimi nimeona kupitia page zao.
9 Reactions
3 Replies
688 Views
Ushindi huu mkubwa walioupata Simba ni furaha kubwa kwao leo hiii, ila huko Morroco unaweza kuwagharimu. Sababu moja kubwa ni kuwa, kama Raja walikuwa wanaichukulia poa Simba , sasa watalazimika...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Hifadhi huu uzi utakuja kuniambia. Ipo hivi:- -Simba siku ya jumamosi tarehe 18/03/2023 atacheza na Horoya, Simba atatoa sare 1-1 na kufikisha point 7 huku Horoya akifikisha point 5. Simba...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Kitendo cha ZlatanI Ibrahimovic kucheka na nyavu akiwa na AC Milan kimeweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi katika historia ya Ligi Kuu ya Italia ‘Serie A’ kufunga goli. Akiwa na...
1 Reactions
5 Replies
943 Views
Hii klabu ya Simba tangu zamani imeundwa kwa mifumo ya kishirikina shirikina, jana walitakiwa wafunge goli 3-0, nikiwa na maana ya yanga leo naye kushinda bao 4-0. Tatizo linaanza mchezo wa jana...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Leo mke wa balozi wa nyumba kumi wa mtaa wa CHIMBA UNYE kapata umbea wa mkazi mmoja mgeni aliyekuja kuwatembelea nyumbani kwao. Pamoja na udhaifu wa mgeni hasa katika kuficha siri zake, mwenyeji...
1 Reactions
4 Replies
319 Views
Raisi wa klabu ya Horoya ya nchini Guinea bwana Soufiane Antonio Souaré ameshtushwa na habari alizokutana nazo hapa nchini kuwa klabu ya Simba ni klabu kubwa barani Afrika. Raisi huyo amesema...
31 Reactions
144 Replies
13K Views
CLUB YETU YA JAMUHURI YA WAPAMBANAJI FC INAYOUNDWA NA WATOTO PAMOJA NA VIJANA WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI (MTAANI) IKIWA MAZOEZINI KWENYE UWANJA WAKE WA NYUMBANI MAKONGO JUU, WILAYA YA KINONDONI -...
2 Reactions
1 Replies
326 Views
Simba anacheza na Horoya ambayo inakuja kutafuta draw kwa Mkapa, kwa forward za Simba zilivyo, Horoya ana uwezekano wa 80% ambao ni mkubwa sana wa kupata draw Mechi ya mwisho anacheza nyumbani...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Sema watu wa ulaya wanajipendelea sana kwann hakuna mchezaji aliyewahi kushinda hiyo tuzo anayecheza katika ligi za bara la Asia America na Afrika .
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Daikka hizi za mwanzo kabisa zinanifanya niamini hawa Horoya hawawezi kushinda hii mechi zaidi ya kupoteza tena kwa kufungwa magoli mawili na kuendelea Makolo hii mechi ni yenu unless Horoya...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Inasemekana kuwa Shabiki ni mchezaji 12 wa timu wakati wa mechi, hivyo Ally Kamwe na Ahmed Ally wasemaji wa Yanga na Simba wanafanya kila jitihada ya kuwataka wanachama na mashabiki wa timu hizo...
3 Reactions
10 Replies
6K Views
Je unafahamu mtu aliyejulikana kama mvunja taya? Kama unamfahamu, hebu elezea alikuwa mtu wa namna gani, kama humfahamu, basi tembelea uzi huu tena siku zijazo. Nilianzisha hii thread jana...
0 Reactions
2 Replies
302 Views
Nisiulizwe kwanini na nini, na vyura mkae kimya! Ila kisasi sasa rasmi kinaenda kulipwa huko kwa akina Raja huko Casa Blankaketi , kwenye boxing tunasema unaweza fumaniwa za Chemba kidevu ila...
0 Reactions
6 Replies
592 Views
Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita...
28 Reactions
2K Replies
83K Views
Habarini wanajukwaa. Nianze kwa kusema Mimi ni Muumini mzuri kabisa wa Historia na napenda sana Historia..na katika mpira Historia ni moja ya kitu kinaamua sana Matokeo angalia mfano Manchester...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom