Good morning Tanganyika!
Leo sisi ni shangwe tu Maana akishinda SIMBA limeshinda taifa na huu sio ushindi wa kawaida ni ushindi wa kumfunga mgeni goli nyingi kwenye mechi ya kimataifa. Na si mechi...
Simba inaruhusiwa kuongeza wachezaji kwenye hatua ya Robo Fainal, kupata wachezaji wazuri hatua hiyo ni ngumu sana kwa sababu timu zimekwishasajili wachezaji wazuri wote, Simba iliwahi kufanya...
Imefika hatua huyu kiumbe apewe heshima yake, na atambuliwe kwa mchango wake mkubwa katika soka la Tanzania.
Huyu kijana alipaswa awepo Barcelona, Madrid au PSG akishindwa kabisa Liverpool au Man...
Kinachochelewesha tu Taarifa yao kutolewa ni jinsi gani Waliowaacha watahimili aibu na chuki zao Binafsi dhidi ya hawa Mabeki Wawili wa pembeni Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala.
No...
Wakurungwa wapenda soka namleta kwenu mwamba, chinja chinja Sadio Kanoute a.k.a PUTIN. Jina la Putin alipewa kutokana na soka lake la roho mbaya, hacheki wala kutabasamu hizi ni tabia za mwenye...
Mimi kwa kuwa ni mpenzi wa dhati wa soka, nimewahi kukaa na kuangalia mechi na wachezaji wa zamani na kujua kwa kina historia mbalimbali za soka maana bila kujua ulipotoka hauwezi kujua...
Mchambuzi Nguli wa Michezo Edo Kumwembe aliahidi Kuacha Kazi Wasafifm Ikitokea Mchezaji Pape Ousman Sakho ataitwa Timu ya Taifa
Edo alisema Senegal imesheheni wachezaji Wengi na Bora wanaocheza...
Nasubiri jibu lako Mheshimiwa Rais hasa nikijua kuwa huwa Unanisoma GENTAMYCINE na Wengineo hapa JamiiForums na Kuburudika nasi vile vile.
Hongereni pia Vilabu vya Simba na Yanga kwa ama...
Huyu mama ni mwanasheria nguli kabisa nchini anaeheshimika lakini kwenye hili la Faisal anakaribia kuipoteza heshima yake.
Anadai kuwa Faisal sio mtumwa hivyo hawezi kulazimishwa kufanya kazi...
Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sintowapongeza wachezaji na benchi zima la ufundi kwa kazi kubwa mliyoifanya mpaka kutinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho, timu kwa sasa inajiamini...
Baada ya kuona kuwa in kikosi kibovu kuliko wakato wowote ule klabu ya Simba ilipoona imepangwa kundi moja na Raja, Horoya na Vipers wakaamua kuibomoa Vipers ili angalau wapate point 6...
Shujaa muongoza njia alishatahadharisha kuwa tuogope sana Mungu na teknolojia.
Kauli ya kombe la shirikisho ni kombe la walioshindwa na vilaza ni kauli iliyo tolewa na msemaji wa utopolo na...
Baaada ya jana Mnyama mfalme wa nyika mwenye pori lake kuwatafuna na kuwavulumisha timu nguri ya Horoya kwa magori saba kwa nunge, na kuipa nchi sifa kedekede hatimae leo Taifa litapokea aibu toka...
Habari wakuu
Kwanza niwape pole wanasimba wenzangu kwa kilicho tokea jana, itoshe tu kusema kwamba Raja wametuzidi mno, ni maji marefu sana kwetu hivyo kukaa na kuhuzunika haitosaidia wala...
Baada ya kupata point sita kwa vibonde Vipers mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri.
Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa
Tukutane...
Yanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8...
Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha...
Pongezi kwa timu ya Simba kwa ushindi mnono walio upata Jana dhidi ya timu ya Horoya.
Lakini pongezi za kipekee kwa Rais Dkt Samia kwa kuchochea ari kwa wachezaji kwa ahadi ya 5million kwa kila...
Hii ni rekodi ya vipigo vikali kuwahi kutolewa katika mashindano ya klabu bingwa Afrika.
Tulichofanya leo ni kuvunja rekodi ya Raja kumchapa Utopolo goli 6.
1998: 🇲🇦Raja [6-0] 🇹🇿Yanga
2001...
Jana nimefurahi sana, sana, sana tena baada ya kuwaona friends of Simba wakiwepo uwanjani na kuunganisha umoja wetu, tumeshinda bao 7 0 dhidi y Horoya ambayo tangu kwao walionyesha uwezo mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.