Kwa wenye macho makini ya kiuchambuzi najua watakua wameona Jana kilichofanyika ni kuwa horoya walikuwa less motivated, hivyo kupelekea kuwa wazito mchezoni. Sababu ya kuwa less motivated ni...
Tayari Yanga SC ina Alama 3 hivyo akitoka tu sare/suluhu huko nchini Mali dhidi ya Real Bamako FC atakuwa na alama 4 au 6 kama akishinda.
Mechi yao ya marudiano Dar es Salaam nchini Tanzania...
Ninawapa hongera kubwa sana kwa kutufurahisha sisi Watanzania kwa ushindi mlioupata katika mzunguko wa kufuzu Robo Fainali.
Juhudi zenu zisikome hapo mlipofikia, ila tunaomba safari hii mfike...
Narudia ukishindwa kujenga kiwango chako chini ya Prof. Nabi hakika kama mchezaji utakuwa na shida, wachezaji wote wa Yanga wapo fiti, wachezaji wote wa Yanga wapo kamili, viwango vyao vipo juu...
Kiwango cha Yanga kimebezwa humu kwa maneno mengi mno mara bahasha mara Tp Mazembe na Real Bamako ni timu mbovu subirini muone kitakachowakuta kwa Monastir. Leo ndio siku yenu mliyotaka kujua...
Tunategemea mechi nzuri sana na yenye ushindani mkali leo hii kwakuwa zinakutana timu ambazo zote ziko vizuri kiufundi na zikiwa na wachezaji bora kwenye vikosi vyao, Monastir walimfunga yanga...
Ukiacha mukimbio ambayo tulimbeza nayo jamaa ana kasi ya kufika kwenye njia na kama si kuwa kwenye kivuli cha Fiston, mzambia ana MAMBO MENGI YA KUoFFER KWA WANANCHI.
Anapenda kuassist (si...
⚽️ US Monastir🆚Young Africans SC
🗓 12 February 2023
⏱ 11:00 Jioni TUN | 01:00 Usiku TZ
🏟 Uwanja wa Rades, Tunis
🏆 CAFCC
Kikosi cha Yanga
Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku...
Alianza kwa kupuuzwa sana na kudhihakiwa kwa neno 'mikimbio'. Sasa amekuwa regular starter na ameisaidia sana Yanga ktk mechi mfululizo alizocheza. Yanga v TP Mazembe alifunga goli muhimu la...
Tulikua tunabishana hapa kuhusu uwezo v osimhen vs erling haalan nani mkali zaidi?
Mfano umepewa nafasi ya kumsajili mchezaji mmoja kati yao utamchukua nani na kwasababu gani?
Mimi namchukua...
Klabu ya Soka ya CrystalPalace imemfuta kazi Patrick Vieira baada ya kuhudumu kwa miezi 20 kufuatia kipigo chao cha 1-0 dhidi ya Timu ya Brighton
Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Steve Parish amesema...
Wakuu huwa tunaongea kimasihara hapa na kuiponda Simba, kumponda mwekezaji Mo Dewji na kimuita majina ya ajabu.
Wacha-mbuzi uchwara nao utawasikia wakiiponda Simba na kuiita timu ya hovyo...
Naomba mwenye kujua Mechi ya Real Bamako FC na TP Mazembe FC ni Saa ngapi anitaarifu tafadhali.
Nitakuwa na Mzuka wa Kuiangalia Mechi ya Yanga FC na Monastir pale tu nikisikia TP Mazembe FC...
Tuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa.
Wakaitwa watu wanachezea benchi...
Kuna ubishani mwingine huwa nauita wa kijinga, na huwa naishia kucheka tu. Tangu mwanzo niliamini muda utaongea huko tuendako nani ni mkali haswaa; Stephano Aziz-Ki au Chama?
Huu ubishani wa...
Baada ya jana Mnyama mkali kuwakilisha vema na kuipeperusha bendera ya Mama Samia barani Afrika, duru za kimataifa zinasema furaha ya jana inaenda kutiwa doa leo pale kwa Ben.
Wazee wa...
Mimi kama shabiki wa US MONASTIR tawi la al hilal upande wa Rivers united nasema hvi UTO tunamnyoosha hapo hapo kwa uchezaji wake ule kama wanacheza upatu.
Mashabiki wa UTO njooni na panadol...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.