Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Golikipa wa Chelsea, Edouard Mendy anamfananisha mshambuliaji mpya wa Man City sawa na Mshambualiaji wa Crystal Palace, Christian Benteke. Kwamba Haaland hana tofauti yoyote na Benteke hii...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Naombeni mnijibu wakuu! Maana hapa mabishano ni makali...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Haya ni maneno ya fofana,sio mimi wala OKWI BOBAN SUNZU
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho. Kutokana na...
8 Reactions
138 Replies
5K Views
Mimi nikiwa shabiki wa damu wa Horoya Football Club nakiri hadharani kuwa hapa hakuna timu. Japo tupo klabu bingwa lakini klabu yetu imejichokea sana, hatuna wachezaji wowote wa maana wanaojua...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari wadau wa JF. Naomba mupokee na kuendelea kuboresha hili bandiko linalohusu mashindano ya CAF kwa vilabu kwa msimu wa mwaka 2022/2023. Kwa kuanzia nitaweka misimamo kwa mashindano tajwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati wanasajiliwa kuja Yanga Hawakuwa maarufu sana na mechi nyingi walikuwa wanatokea benchi kiasi wachambuzi uchwara kama kawaida yao wakaanza kuwaponda na kuwapa majina ya ajabu kama mzee wa...
5 Reactions
8 Replies
647 Views
Saidoo aliachwa na Yanga kwa mazingira sawa na yale aliyoachwa Morrison Simba. Ila Saido anaonekana kuwa tegemeo kwa club yake tofauti na Morisson. Ilikuwaje Morrison kupewa tena mkataba wakati...
17 Reactions
66 Replies
4K Views
Kuna swali? Kutoka kudhihakiwa hadi kuibeba timu kuipeleka robo fainali. Leo kafunga (goli dume) na kisha katengeneza goli dume jingine kwa Mayele. DJ leta 'mikimbioooo'. Sent from my SM-A307FN...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC. Saa moja jioni mbivu...
33 Reactions
2K Replies
55K Views
Leo kuna jambo nilikuwa nafuatilia na katika kupekuapekua huko mitandaoni, nikawa napitia kanuni na sheria za mashindano ya CAF nikakutana na kitu kilichonifanya nijiulize maswali kuhusiana na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 3-3(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana)...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Huyo ndiyo triple C Mwamba wa Lusaka, akionyesha vitu kwa vitendo. Amesemekana sana ni mchezaji wa mechi ndogo. Ilivuka mipaka mpaka wachambuzi wa soka waliamua kuweka unazi na kumkosea heshima...
40 Reactions
105 Replies
5K Views
Kocha anawauliza hawa jamaa. Kati yenu nyie wawili, yupi ni Lomalisa Mutambala? Nataka nimuongeze Timu ya Taifa [emoji23].
13 Reactions
19 Replies
2K Views
Hongereni Yanga na Simba kuipeperusha bendera ya nchi vizuri, kwa sasa kila nchi ipo na shauku ya kufahamu kipi special sana kwenye soka letu. Huu moto tuliouanza tuuendeleze kwa timu zote pia...
3 Reactions
8 Replies
814 Views
Hatimaye Leo ndio siku ya utoaji Tuzo za mpira wa miguu chini ya usimamizi wa shirikisho la soka duniani (FIFA). Goalkeeper Bora. Emily Martinez wa Argentina amechukua Tuzo hii kwa mchango wake...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Soon wanakutana na manchester united. United tayari imewachapa kaka zake.
0 Reactions
1 Replies
383 Views
Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa...
4 Reactions
22 Replies
946 Views
Nimeangalia baadhi ya mechi fulani za Shirikisho. Nimegundua Yanga wana timu nzuri, sio kuliko timu zote za shirikisho hapana. Ila wana baadhi ya wachezaji wazuri kuliko timu zote za Shirikisho...
21 Reactions
31 Replies
2K Views
Pesa haijawahi kushinda mechi hata siku moja, kama pesa ingekuwa kigezo cha kufanya vizuri kwenye mechi basi marekani ingekuwa na timu bora sana duniani. Mpira ni mbinu na ubora wa wachezaji...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom