Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw.
Nadhani...
Sisemi mengi:
Kwa uwekezaji tunaofanya kwa vilabu vyetu vya Yanga na Simba kulinganisha na miamba ya soka Afrika kwa upande wa vilabu, ni kujidanganga kuwaza kuchukua kombe la club bingwa barani...
Takribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji...
1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.
2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.
3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.
4. Monastir...
Wadau naomba Ufafanuzi kidogo juu ya hiyo kwanini YANGA ambao ndio Bingwa wa Ligi Kuu anacheza Shirikisho Kombe la Washindwa na SIMBA ambao Sio Bingwa wa Ligi anacheza KOMBE la MABINGWA kwani...
Kaka never won a liberators. - Ronaldo (R9) never won a Champions League.
Ibrahimovic never won a golden ball.
Cristiano Ronaldo and Messi have never won a World Cup. - Ronaldinho won it all...
Dunia nzima bado inajadili tetemeko la Samba Loketo lililotokea siku ya Jumamosi mjini Dar es Salaam.
Moja wa mahasimu wakubwa wa Simba SC barani Afrika, Raja AC nao wameonekana kushtushwa na...
"Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah.
Nilipofungiwa waliandaa hadi Party...
Wahenga walisema tuwe na akiba ya maneno. Hii ni kauli ya msemaji wa klabu ambaye jukumu lake ni kusemea klabu na uongozi wa klabu.
Hoja yangu ni kwamba, Yanga bado mnalitambua kama kombe la...
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo baada ya Simba kushinda magoli 7-0 dhidi ya Horoya katika mchezo wa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Mkapa.
Note 📝
“Tutaweka chumba maalum cha Video za Marejeo (VAR) kitakachotumika wakati wote wa mashindano” sehemu ya maneno ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Pindi Chanda akizungumzia...
[emoji599] Tanzania imepaa hadi namba saba !
Taifa lipo mikono salama kisoka
Baada ya klabu ya Yanga kufuzu robo fainali CAF Confederations cup, Nchi ya Tanzania imeongeza point 7.5 na kuwa na...
Wakuu, nazipongeza timu zetu kwa matokeo mazuri ya mechi za CAF zilizochezwa hspa nyumbani.
Naomba mnisaidie utaratibu wa timu ya Yanga wachezaji kuingia uwanjani.
Nimezowea kuona timu zinapoingia...
Nawatakia ushindi timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) watakapocheza na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars).
Sikutegemea kitendo kilichofanywa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kumwita...
Ile dhana ya hakuna mchezaji mkubwa kwenye timu ya Yanga inainufaisha Yanga leo na hata kesho. Kumchezesha mchezaji huyohuyo kwenye mechi zote timu inapopata matokeo mazuri na timu kupata matoke...
Wananchi wana jambo lao mapema mwezi huu dhidi ya Al Hilal ya Sudan, wenyewe wanasema iwe mvua iwe jua hatoki mtu kwa Mkapa.
Licha ya hamasa kubwa waliyonayo kuelekea mchezo huo Yanga SC kwa...
Chama yupo kwenye daraja la pekee yake, ni dhambi kumfananisha na Aziz Ki.
Sasa nimeona ni bora tumlinganishe na Mzee wa ICC Kanoute, bila kujali maeneo yao wanayocheza, tuangalie mchango wao...
Ukiachana na wale ambao ni Team Kamati ya roho mbaya, kila shabiki wa soka Tanzania anajua kwamba timu ya Simba kwa mwaka 2023 ndiyo timu bora Tanzania!!
Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyojieleza hapo, ni kuwa, kila mtu anajua mwisho wa Simba kimataifa ni Robo Fainali. Hata wenyewe wana Simba ukiwauliza huwa wanasema wao mafanikio yao huwa ni kufika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.