Mie Sina mengi Ila tunaoweka comments humu mtandaoni tukibeza kuitwa kwa Sakho timu ya taifa, Mara anaenda kukaa Benchi, Mara hata Benchi hakai tuwe na akiba ya maneno yule mtoto anaweza kupewa...
Salamu humu.
Michuano ya kimataifa inayoendelea sasa hivi kwa Simba na Yanga ambayo inaangaliwa na afrika nzima ilikuwa ni sehemu muhimu Sana kwa dogo Fei kuonyesha dunia kiwango chake na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu amejipambanua kuwa mpenda michezo na amekuwa mara kadhaa akiunga mkono sekta hii kwa vitendo akitoa hamasa na zawadi mbalimbali kwa michezo...
@yangasc1935 @CLEMENTINHO49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu...
KLABU ya Yanga imepokea mualiko wa mshambuliaji wake kinda, Clement Mzize ambaye anatakiwa na klabu kubwa ya Olympic Marseille ya Ufaransa.
Mkurugenzi wa ufundi wa Yanga Mwinyi Zahera amesema...
Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya MobiAd kwa ajili ya kusaidia ukuzaji wa maendeleo ya soka la Vijana huku Mkataba huo ukiwa na Thamani ya 500M huku kukiwa na nafasi ya...
YANGA FAMILY DAY CARNIVAL, MTOKO WA MABINGWA
Uendeshaji wa kisasa wa mpira wa miguu, haushii kwenye timu kusajili vizuri na kupata matokeo uwanjani. Matukio ya nje ya uwanja yanayofanywa na timu...
Mchezaji maachachari wa Al Ahly Mahmod Kahraba amemgaragaza Chama katika kuwania nafasi ya Uchezaji bora ya wiki. Ambapo Raia wa misri ambao wanashabikia timu hiyo walipiga kura na kumuwezesha...
Mesut Ozil, mchezaji wa zamani wa Arsenal, Real Madrid na kiungo wa timu ya taifa ya Ujerumani ametangaza rasmi kustaafu mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka 34.
Akiandika katika page yake ya...
Ukweli ni kwamba, kampuni za METL inayoongozwa na Mohamed Dewji na ile ya GSM inayoo na Ghalib Said Mohd ndio kampuni zinazoipa jeuri Yanga akia Utopolo na Simba, aka Madunduka FC; Makofi...
Kylian Mbappe ndiye mshambuliaji aliyechaguliwa kuwa mbadala wa Hugo Lloris ambaye alistaafu kuchezea timu ya taifa Januari 2023, mwezi mmoja baada ya Ufaransa kupoteza Kombe la Dunia kwa...
Kabla ya Yanga kutinga hatua ya makundi na sasa kutinga robo fainali, hoja kuu ya makolo ilikuwa ni Yanga hawawezi kimataifa isipokuwa wao tu.
Sasa baada ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali...
Haruna Niyonzima “Fabrigas” moja ya mchezaji aliyekuwa ananivutia kwa aina ya uchezaji wake.
Je akiwa Simba au Yanga Niyonzima yupi alikiwasha haswa?
1. Yanga
2. Simba
Twende kazi______!
Nimeangalia kwa umakini gemu ya Simba na Horoya huku Simba akiibuka na ushindi wa mchongo wa goli 7 ndio nasema ni ushindi wa mchongo kwa sababu kama hizi.
Magoli mengi ya Simba yalikua magoli ya...
Hayo ni mafanikio tunayojivunia wana Simba na hakuna timu yoyote Tanzania na Africa kwa ujumla inaweza fikia.
1) Kucheza robo fainali cc na cl
2) Kubeba tuzo la goli bora la msimu (goli la Sakho)...
Mlilkuwa mnasema kwamba kuingia robo fainali ya Klabu Bingwa ama Shirikisho si mafanikio kwa timu ya Mpira Afrika bali kuchukua kombe ndiyo mafanikio. Mlikuwa mnasema hakuna kitu Simba imepata kwa...
Refa asimamishwa kazi kwa kutumia simu ya shabaki kukataa goli
Mwamuzi wa Misri Mohamed Farouk amesimamishwa kazi kwa kutumia simu ya mtazamaji kukataa bao katika mechi ya ligi.
Al-Nasr...
Habari wakuu.
Huwa ninasikia tu hii kilabu inasajili wachezaji, inashiriki michuano na ligi mbali mbali lakini mbona sijawahi kusikia imeshinda taji/kombe lolote? Ina maana wamekuwa washiriki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.