Ndugu zangu Wanayanga pamoja ya kuwa tumemfunga Geita Gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi wa Geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI...
Kila Siku Mo Dewji husema anapata hasara katika Uwekezaji wake binafsi huwa simuelewi cha Msingi ni kuwa mashabiki wa Simba huwa wanamuelewa anapiwaambia hivyo.
Nina imani kwa sasa kila moenda...
Ushindi usitunyamazishe huyu kocha tumhoji kikosi aliita yeye?
Je anauhakika gani wa viwango vya wachezaji aliowaita Kama vile Beno kakolanya alimuona wapi kwenye ushindani? Hivyo hivyo kwa...
KOCHA Mkuu wa Simba Robert Oliveira ‘Robertinho’ amepania kuongeza idadi ya mastar katika kilabu ya Simba huku akitazamia zaidi katika mechi za kimataifa, kwa sasa kwa kila mchezo anaocheza uwe...
Akiulizwa na mwandishi wa Grobal online Tv juu ya mapenzi yake kwa Simba, Mohamedi Dewji amejibu.
"Mimi naipenda sana Simba, Mimi ni shabiki wa Simba na huwa naumia sana pindi timu ikipata...
Pale tunaposema Mayele ni mchezaji maarufu Tanzania na mchezaji mkubwa Tanzania tunamaanisha sio kwamba tunasemea ushabiki
Wote ambao wamecheki game ya Kongo leo na Mauritania
Watakubali ila...
DRC walikua wanakipiga dhidi ya Mauritania leo na kuibuka na jumla ya magoli 3-1 huku mzee wa kutetema na mkali wa kuzifumania nyavu kutoka timu ya Yanga Fiston Kalala Mayele akianzia benchi na...
Chama cha Mpira barani Ulaya UEFA, inaichunguza timu ya Barcelona juu ya madai ya kuilipa kampuni ya Jose Mara Enriquez Negreira ambaye ni Makamu wa Raisi mstaafu wa chama cha marefa Hispania...
Hii ni rekodi inayoshikiliwa na Yanga hadi sasa. Ni timu iliyowahi kufungwa magoli mengi zaidi kuliko timu yoyote kwenye hatua ya makundi kwenye ligi nya mabingwa CAF. Ilifungwa magoli 19 kwenye...
Nimeangalia mechi ya Uganda na Taifa Stars timu imecheza vizuri sana hasa eneo la kati. Dickson Job leo alikuwa anacheza kwa kurelax.
~ Muzamir well done japo una pass za nyuma na uchelewa...
Naweka pembeni kabisa usimba na yanga Sasa nazungumza Kama mdau wa mpira nikiwa na nia ya dhati kabisa nakulitakia mafanikio taifa langu kwenye tasnia ya mpira.
Naam, hakika tunawachezaji wa...
Bojan Krkic Perez, mzaliwa wa Catalunya, Spain miaka 32 iliyopita hatmaye ametangaza kusatafu kabumbu.
Bojan ambaye akiwa katika shule ya soka (akademi) ya Barcelona (La Masia) alikuwa anatajwa...
Mchezo wa soka (mpira wa miguu) ni mchezo unaopendwa na watu wengi sana Duniani. Kwa hapa Bongo ni kama ndo epicenter ya soka! Soka linapendwa hapa Bongo balaa!
Kuna wakati niliwahi kumwambia...
Sakho asipoangalia ataozea kwenye benchi la simba. Anapenda sana kucheza na jukwaa kwa hiyo mara nyingi hupoteza mpira akiwa kwenye harakati zake za kucheza na jukwaa!!! Uwezo wake wa kupaka...
Timu zetu zilikuwa hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya Kimataifa. Vilabu na timu za taifa zilikuwa zinafungwa na hata vinchi vidogo na vyenye vurugu kila siku kama Burundi na Rwanda. Hii...
Leo nimepata fursa ya kushuhudia huyu Kijana akicheza dakika zake 13 hapa Misri.
Kwa jicho langu la kiufundi huyu dogo ili acheze vizuri anahitaji hamasa sana hasa kutoka kwa mashabiki. Pia ni...
Moja kwa moja kwenye uzi,
Siku za hivi karibuni huyu kijana amekuwa ni tegemeo kubwa kwenye timu anazocheza (klabu na taifa) lakini binafsi naona kama hapewi heshima anayostahili.
Ofcoz...
Sakho uko kambini na timu ya taifa kila muda ni kumfuata Sadio Mane, nimeona video yake akicheza ili aonekane kwa Mane.
Acheze mpira aache shobo, na nyie mashabiki wa Simba mnafurahia tu mchezaji...
Mfano Jana msuva ana 7.3 Samata pia ana 7.3 Ila watu wanamsifu msuva na kumlaumu Samata..
Bacca ana 7.8 afu Dismas ana 8.0 lakini watu wanamsifu zaidi bacca.
Hivyo hivyo kwenye kiungo Himid ana...
Mo anasema kuwa mwaka jana katika dirisha kubwa la Usajili alitoa kiasi cha bilion 1.5 ili kisaidie kufanya usajili wa wachezaji wapya.
Kwenye usajili wa Simba, hivi kwa kutazama wachezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.