Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Vijana Wana kesho nyingi sana waacheni watembee polepole kuepuka kujikwaa. Timu kubwa zina Zina mabenchi Bora ya ufundi na vitendekeakazi vingi, hivyo vina jukumu la kuibua vipaji vipya kwenye...
1 Reactions
4 Replies
398 Views
Ni hatari aiseeeeh ======= Mechi ya ligi ya daraja la kwanza Colombia iliahirishwa baada ya shabiki kuingia uwanjani na kumshambulia mchezaji ambapo mchezaji huyo alimkimbiza shabiki na...
2 Reactions
9 Replies
934 Views
Nasikia kuna offa hii. Hizi jezi zinaptkana wapi tukasapoti timu yetu ya taifa. Wajuzi naombeni chimbo
0 Reactions
3 Replies
763 Views
Ni wazi kabisa kuwa Taifa Stars haivutii wengi, hivyo ni mkakati wa kulazimisha uwanja ujae. Ndiyo maana unaona tiketi zinagawiwa bure bure tu nadhani had saivi zimefika 30,000 hivi za bure+15000...
0 Reactions
8 Replies
486 Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema Serikali kwa kushirikiana na Wadau itahakikisha inapaza sauti kuhusu mchezo wa Gofu ili umma upate uelewa kuhusu umuhimu wa...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
SIMBA KUCHEZESHWA SAA NANE USIKU NA MWARABU. KWA Mjibu wa ratiba iliyopo Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) inaonesha kuwa Mchezo wa Mwisho wa Mechi ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya...
5 Reactions
71 Replies
7K Views
Mpira wetu haukui kwa sababu ya ushirikina, hiki ni kitu ambacho tunatakiwa kupiga vita dhidi ya hizi Imani potofu katika hii tasnia ya mpira wetu. Nimeshangazwa sana na shabiki wa mpira...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Uyu bwana mdogo toka amekuwa promoted first team ya Azam FC anaupiga sana tena nadhani mwaka huu yuko bora kuliko mwaka jana Toka mechi ya Zesco dogo anaonekana anauhai sana uwanjani na anacheza...
13 Reactions
69 Replies
5K Views
Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Sports, Mohammed Dewji Mo, kwa mara ya kwanza amezungumzia mahusiano yake na aliyekuwa msemaji wa klabu hiyo Haji Manara na kudai kuwa Manara amekuwa akimtukana...
5 Reactions
54 Replies
3K Views
Internet haijawahi kusahau😂😂
3 Reactions
17 Replies
779 Views
Makocha wa yanga na simba wamegeuka kuwa lulu sasa vilabuni mwao baada ya kupitia misukosuko ya kutakiwa kufukuzwa. Ukweli kabisaa nabi aliponea chupuchupu pale yanga iliotoka sare nyumbani...
1 Reactions
2 Replies
622 Views
Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE niliandika Uzi wa kuhusu urejeo Wao Kikosini na nikasema kuwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars ikirejea tu kutoka nchini Misri watajumuishwa na hatimaye kweli imekuwa...
1 Reactions
12 Replies
684 Views
SERIKALI YAKABIDHI TIKETI ELFU 20 KWA TFF Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Ndg. Saidi Yakubu amekabidhi tiketi Elfu 20 Kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)kwa ajili...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Naaaam, natoa kongole kwa uongozi wa yanga kwa kumuona Nabi nakumleta jangwani hivi Sasa tunaona matunda yake. Nabi anaweza akapanga kikosi mpaka ukasema huyu kocha anataka kuingia na mfumo gani...
12 Reactions
41 Replies
3K Views
Nauliza Azam tv kwanini mnatuwekea matangazo kuwa mtaonesha mechi za kufuzu AFCON lakini hamuoneshi?? kwanini?? nawauliza swali? cc PNC
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amesema tiketi hizo ni kwa ajili ya motisha ili kuhakikisha timu yetu ya...
0 Reactions
5 Replies
648 Views
Mlinzi wa Timu ya Taifa Stars, Dickson Job amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo kati ya Tanzania dhidi ya wenyeji Uganda The Cranes uliopigwa katika dimba la Suez Canal, Ismailia Misri...
7 Reactions
69 Replies
4K Views
Baada ya Real Madrid kuonesha nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji huyo, Manchester City inataka kuboresha mshahara huo ili kumshawishi abaki. Haaland (22) ambaye amefunga magoli 42 katika...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Afcon 1980 Pan Afrika ilitoa wachezaji wengi kwny kikosi sababu ya uwekezaji kwny soka la vijana uliofanya klabu Young Africans!! Katikati ya miaka 70 Yanga ilikua na timu ya vijana yenye vipaji...
1 Reactions
0 Replies
329 Views
Nimekua nikifuatilia sana hili sakata la Feitoto kwa pande zote mbili, lakini nimegundua bwana mdogo kuna mtu nyuma yake akimrubuni na kumvimbisha kichwa bwana mdogo Feisal Salum. Ukitazama clip...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom