Bondia wa Kitanzania Hassan Mwakinyo anatarajiwa kuingia ulingoni tarehe 23 Aprili 2023 katika Uwanja wa Jamhuri huko Dodoma kupambana na mpinzani wake kutoka Kongo, Kuvesa Katembo. Pambano hilo...
Kama title inavyosema hapo juu kulingana na performance ya Leo mechi ya Taifa stars vs uganda nmegundua yafuatayo:
1. Ile fighting spirit waliyonayo wachezaji wa Yanga bado imeonekana katika...
Joshua anayetarajia kuzichapa na Bondia Jermaine Franklin Aprili 1, 2023 ndani ya O2 Arena, jijini London ametoa kauli hiyo baada ya kuwa na matokeo mabaya ulingoni kwa muda mrefu.
Bingwa huyo...
Mungu awatie nguvu wapambanaji wenzangu katika kutafuta mkate wa kila siku hakika amani ya bwana iwe nanyi.
Naaam twende kwenye lengo kuu lakuandika huu uzi maridhawa kabisa katika sekta yetu...
Mafanikio ni nini?
Mafanikio ni hatua ya kufikia au kuzidi malengo uliyojiwekea. Kwa lugha ya kigeni tunaita Goal Achievement.
Simba tumekuwa na malengo kadhaa kila mwaka. Moja ya malengo...
Baada ya salamu Sina budi kwenda moja kwa moja kwenye point ya kichwa Cha habari hapo juu.
Baada ya sub ya kutoka Mudathiri nakuingia feisal salumu, hakika bwana mdogo kawa mzito hata kwenye...
Taribo West mchezaji wa zamani wa Nigeria kwa sasa ameokoka na ni mchungaji kanisani kwake. Kanisa lake ni la miujiza na limeanza kuwa na waumini wengi siku baada ya siku.
Taribo alijipatia...
Huyu jamaa toka Hispania ndiyo kocha pekee ambae hajawahi kufukuzwa kazi team zote alizopitia.
Identity ya mpira wake inajulikana kocha pekee anaefundisha kitu kinakonekana na kueleweka.
KABLA...
"Huu ni Mwaka wa Tano na mchakato wa mabadiliko haujaisha na Bahati mbaya kuna watu ndani ya Simba wanakwamisha huu mchakato, angekuwa mwekezaji mwingine ambaye hana mapenzi na Simba siku nyingi...
Kila mara inapocheza Taifa stars huwa nashangaa jinsi watu wazima wenye akili wakiwa busy kusubiri kuvuna sehemu ambapo hatujawahi kupanda kabisa.
Binafsi huwa sifatilii kabisa mechi za stars na...
Mzamiru hana ball control kumzidi Aziz Andambwile.
Kelvin john hana skills kumzidi clement msize labda kilichomfanya aitwe timu ya taifa ni vile ligi ya ubelgiji wanachezea mpira wa chuma.
Job...
Japo Kibu hana akili ya mpira lakini anakupatia kitu kinaitwa work rate. Yaani akiwepo uwanjani anakuwa na pilikapilika nyingi ambazo zinaweza kuleta matokeo chanya.
Huyu Samatta ameshapitwa na...
Nimekudharau sana bwana mdogo kwa kurubuniwa kizembe sana na kukubali kuingia mkenge wa kutua ndani ya bunge la Tanzania, umebugi sana!
Bunge la Tanzania halijawahi kusaidia mwanamichezo yeyote...
Anaandika KENGE,
Mamlaka ya kutunga sheria za mpira wa miguu IFAB imetunga sheria mpya baada ya maboresho na malalamiko kwa wachezaji kwa baadhi magoli kipa kuwavuruga kisaikolojia kabla ya...
Uzi huu ni mahususi kwa waganda wenzangu waliopo humu jamii forum na pia kwa mashabiki na watu wote wenye mapenzi mema na Uganda.
Kesho tunacheza na kibonde wetu Tanzania( Taifa stars) huko...
Imeandikwa kwenye ukurasa wa Shaffih Dauda.
Muda mwingine nikikaa nikifikiria natamani nikae kimya, ila ndani ya moyo wangu kuna sauti inaniambia,
"Dauda Sema Baba, Sema tu, Chungu siku zote ndio...
Kwenye hili suala la usajili wa wachezaji, Simba wameingia mtego wa kifikra na kihisia ambao itakuwa vigumu sana kutoka.
Hakuna timu duniani ambayo wachezaji wote 20+ wa kikosi wana viwango sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.