Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu...
Kwanza nikiri timu yangu inahitaji kusajili sana wakati wa dirisha dogo.
Lakini kitu cha kushangaza ni kwa nini Peter Banda anaanzia benchi mechi nyingi?
Nashukuru Mungu leo tayari gepu la point...
Hujui tu mdogo wangu hauna match fitness unakubalije kwenda national team bila kuelewa kua ni kampeni ya Yanga kukudhalilisha.
Achana na misifa ya kuitwa Stars ukajiona we unafaa dogo tafuta...
Kipindi cha kwanza timu ilikuwa kwenye balance nzuri lakini baada ya kutoka Mzamiru Yassin na Himid Mao ndipo kocha wa Uganda Micho aliona gap na yeye kuingiza wachezaji wenye Mindset za...
Ndani ya dk 90 Kocha bora anapimwa kwa upangaji wa kikosi,kusoma vzri mbinu za timu pinzani na kufanya mabadiliko sahihi( Substitution).
Kocha wetu alianza kulikoroga kwenye kupanga kikosi cha...
Huyu kocha mpya wa Taifa stars alimuona wapi Fei Toto akicheza mpira hadi amuite timu ya Taifa na kumpa nafasi ya kucheza mechi ya ushindani kama Ile?
Kapombe na Shabalala waliongezwa kwenye...
Wakuu,
Mchezo dhidi ya Uganda kesho ni mgumu mno. Uganda wamekuwa na trend ya kutufunga mfululizo na yumkini hata mchezo uliopita hawakutegemea surprises za kocha wetu mpya na hawakutegemea...
Sikupata wasaa wa kuangalia game ya marudiano ya Zambia vs Lesotho katika mashindano ya kutafuta kufuzu AFCON. Katika mechi hiyo Zambia walishinda 2-0.
Katika mechi hiyo, kiungo wa Simba, Clatous...
Anaandia haji manara [emoji3578]
Ajira Ajira Ajira
Vigezo vya kuwa mchambuzi wa Soka Tanzania. Unatakiwa ujue misamiati hii
1. Box to Box
2. Kukabia High-line
3. Half-Space
4. Zonal Marking
5...
Licha ya ushindi bado mapengo yao yalionekana Sasa aibu imewatoka wamewarudisha kundini fullbacks bora afrika nzima.
======
Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa TFF, Wallace Karia wakati...
Majira ya Saa 2:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki, Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itashuka dimbani Benjamin Mkapa kuwaalika Uganda (The Cranes) katika mchezo wa nne wa kundi F...
Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga, mwamuzi wa mchezo amesimamisha mechi akifanya mawasiliano na meneja wa mchezo kuona ni mamuzi gani...
Mandonga alishinda tena pambano lake huko Nairobi Kenya kwa kumpiga Keneth Lukwamuzi, juzi Jumapili.
Nimeona nipost hii habari japo kwa kuchelewa ikizingatiwa jamaa alikuwa anaiwakilisha nchi...
Tazama taifa la Morocco, tazama timu ya taifa ya Senegal na utazame timu ya taifa ya Cameroon.
Sasa ifikie hatua tuseme makocha wa kizungu ndani ya timu yetu ya taifa basi, Maana toka tuanze...
Kupitia Wasafi fm namsikia Paul mkai mtangazaji wa kipindi Cha sport arena Cha asbh hii amesema kiingilio n bure kabisaaaa.
Shime wana dsm nendeni mkaujaze uwanja na mkashangilie.
Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar (@zffzanzibar), Hashim Salum ametangaza kuwa Ligi Kuu ya Zanzibar itasimama kwa muda wa mwezi mmoja kupisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kuanzia...
Afisa habari mkuu wa mabingwa mara 28 wa tanzania na mabingwa watarajiwa wa kombe la shirikisho Africa Ali kamwe amenukuriwa akiwataka Simba Kwa vile unapata ugumu kushinda mbele ya waarabu basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.