Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa...
Kikosi cha SIMBA kinaondoka leo nchini saa 9 Alasiri kuelekea Morocco 🇲🇦 tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa Machi 31 saa nne usiku kwa muda wa Morocco ambapo huku...
Uongozi wa Klabu ya Yanga umethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya Wanawake @yangascprincess, Sebastian Nkoma kwa makubaliano ya pande zote mbili .
Uongozi wa...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma alikuwa mgeni rasmi katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya Ramadhan Cup 2023, tarehe 27 Machi, 2023.
Kwenye mchezo wa ufunguzi...
Kachukua Kombe la Ligi, Ngao mara mbili na FA, si mwingine ni yule yule mwamba kutoka Tunisia hakika huyu ni kocha wa mpira hapa Yanga wamelamba dume.
Ipo hivi mpira wetu wa bongo, wachezaji...
Kila siku mnapiga kelele humu kwamba Fowadi ya simba ni mbovu. Simba imewazidi Yanga Magoli 14 mpaka sasa, hayo magoli yote mliozidiwa yalifungwa na Mayele?
Mchezaji wenu wa kawaida sana...
Tutaje fist eleven ya EPL...
1. Alison
2. Tripier
3. Silva
4. Botman
5. Dias.
6. Caicedo
7. Salah
8. Debrune
9. Halland
10. Kane
11. Ivan Toney...
Ukiweza weka na mfumo kama ni 44 2 au 433..nk.
Kilichomtokea Fiston Mayele jana sio kigeni kwenye ulimwengu wa soka hasa ukiwa mchezaji no 9 asilia. Siku hazifanani na jana siku nzuri iligoma kuwa upande wa Fiston.
Wakati Congo wanaongoza...
Ukimsikiliza anapozungumza utajua kabisa mpira wetu una safari ndefu sana ya mafanikio. Huyu ni kielelezo halisi cha watu waliopo kwenye tasnia ya habari wanavyotumia nafasi zao kwa ajili ya...
Kocha Antonio Conte ameachana na klabu ya Tottenham akisema ni kwa makubaliano na pande zote mbili ambazo zimefikia haki.
Hata hivyo, ni wazi kuwa mdomo ndio uliomkumba Conte klabuni hapo kwa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Wizara ya Habari itawalipia Maafisa Habari wote viingilio vya kwenda kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa Mkapa (Jumanne Machi 27...
Baada ya siku kadhaa za presha na tetesi hatimaye pande mbili baina ya klabu na kocha huyo zimeafikiana kuvunja mkataba na sasa timu itakuwa chini ya uangalizi wa kocha wa muda ambaye ni Cristian...
Jamani timu ya Arsenal haijaanza kuteseka leo
Tarehe ya jana mwezi huu arsenal alitobolewa misumari sita na chelsea
Tuwaombee wachukue EPL mateso yamewaanza muda mrefu
Respect kwa kocha...
Kila la kheri kwa Jini, Predator.... mchezaji bora Afrika na katika ligi kuu ya Tanzania Bara.Tunashukuru kwa makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa ndani ya Tanzania na Afrika, sasa ni wakati wa...
Mashabiki wa bayern munich wanalalamika Sadio Mane haonyeshi kile alichokifanya Liverpool kwa miaka mitano
Ila kwa watu wa mpira tulimuona Sadio Mane msimu wa mwisho akiwa Liverpool alikuwa hoi...
WAKATI ligi mbalimbali zikielekea ukingoni, kuna rundo la wachezaji wapo nje ya uwanja wakiuguza majeraha waliyoyapata katika majukumu yao msimu huu na wengine hawajatumikia kabisa hata mchezo...
Sijui timu za DRC zimekumbwa na nini, zote ziko hoi taabani zikivuta mkia kwenye makundi yake!! Hakuna cha TP Mazembe wala Vita!! Hata zikikutana na Ihefu zitaambulia kipigo cha mbwa mwizi!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.