"Habari brother!!!!
Habari za leo Edo Kumwembe? Pole sana na majukumu mazito sana ya Uchambuzi hapo Wasafi!!!Pole na kazi nzuri sana ambazo umekuwa ukizifanya kwa nyakati tofauti tofauti zinazowa...
Tukiitwa mipang'ang'a mbumbumbu ndunduka ngada fc tusiwe wakali kwa haya yanayoendelea.
Sasa hivi tunaparamia kila tawi ila yote yanateleza. Tumetoka kwa fei toto tumehamia kwa master K ilimradi...
Karibuni hapa tuone jezi mbalimbali kwa timu tofauti tofauti kwa msimu ujao wa soka 23/24, kama mjuavyo msimu wa 22/23 unakaribia kuisha.
Zifuatazo ni baadhi ya Jezi/Uzi za Club mbalimbali...
Horoya AC ya Guinea walichapika haswa juzi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa pale Temeke. Walipigika hasa. Unapoona kiungo wa chini, Sadio Kanoute akiondoka uwanjani na mabao mawili ujue wapinzani...
Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns...
Kikosi cha simba kinazidi kupepea na kuitangaza Tanzania vizuri kimatafita ukiachana na kuwa vijana wengi pesa kwenye game yao dhidi ya horoya maana najua wengi waliweka Simba “Win”.
Sasa...
Kuna huu upuuzi ambao umeibuka hivi sasa hapa Bongo.
Nadhani umeanzhishwa ili kufanya watu wajione wamefanikiwa.
Binafsi ninaishikuru klabu yangu, Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu kwa kuuona...
Leo kuna mpambano wa wanawake wa Boxing. Ilipangwa wapigane siku ya wanawake duniani ipa imebidi wapigane leo.
Kaa tayari kupata mtanange.
Tune Azam
Pambano la kwanza,
Sophia Hamis Vs Warda...
Bondia Mtanzania Stumai Muki amefanikiwa kushinda dhidi ya Chimwemwe Banda raia wa #Malawi kwa pointi katika pambano la Raundi 8 uzito wa kati Super Fly jijini Dar es Salaam.
Mara baada ya...
Mimi nikiwa ni mdau wa soka, Nashangazwa na sifa ,majigambo na majivuno wanayojipatia mashabiki , wapenzi , viongozi na waandishi wa habari za michezo kuwa HATUA YA ROBO FAINALI YA MASHINDANO YA...
Upigaji kura wa mchezaji wa wiki bado unaendelea na yamebaki masaa kama 6 hivi. Mwisho wa kupiga kura ni saa 12 jioni. Gap kati ya Chama na Kahraba ni asilimia 4 tu sasa.
Kupiga kura ni rahisi...
Kwa Uganda Taifa langu la Pili Kiuraia (kutokana na Kunilea na Kuishi huko Kimasomo) na ninavyojua Uwekezaji wao katika Michezo na Seriousness yao hata Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)...
My Take
Hii ni heshima ya nchi na ligi yetu. Wadau wote bila kujali itikadi tukampigie kura Chama tumalize kazi.
Sasa wamelingana kura mwarabu. Tulichobakisha ni kupiga kura za hasira na kumpita...
KINARA wa mabao wa Ligi Kuu Bara kwa msimu uliopita, George Mpole anayekipiga FC Lupopo ya DR Congo kwa sasa amesema kutinga kwa Simba katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
Nyota wa zamani wa Real Madrid, Arsenal na timu ya Taifa Ujerumani, Mesut Özil ametangaza kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 34.
“Nataka kuwashukuru Schalke, Werder, Real Madrid...
Kiungo huyo wa zamani wa Real Madrid, Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani amechukua uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 34, timu yake ya mwisho kuitumikia ikiwa ni Istanbul Basaksehir ya Uturuki...
Pambano limepangwa kufanyika kwenye Uwanja wa Wembley, Aprili 29, 2023 lakini halitakuwepo baada ya Oleksandr Usyk kumtupia lawama Fury.
Timu ya Usyk imedai licha ya Fury kunufaika katika...
Nashukuru kwamba mimi ni shabiki wa Barca na wamenikosha sana roho. Wasi wasi unaanza pale ninapo waza hasira ya madrid.
Watakuwa na uchu sana wa kulipiza sasa sijui kama hiyo mechi iliyobakia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.