Nawaambia wadau wa soka hasa mashabiki wa Simba, msiende na matokeo mfukoni kwenye gemu na Vipers, mm ninawahofia sana hao marafiki wa Simba, hao wakiamua lao hawashindwi.
Kama uongozi...
1. Kwa hali ilipofikia hakuna namna mchezaji kuendelea kuichezea yanga
2. Hawezi chezea timu yoyote mpaka mkataba wake uishe
3. Waliomrubuni hawawezi kujitokeza hadharani
4. Kijana bado mdogo...
Kwa upande wa vilabu hii ni miongoni mwa mechi mbili zenye hadhi zenye hadhi zaidi duniani ngazi ya klabu
Timu hizi zote zilicheza english football (mpira wa nguvu na kasi) kabla ya ujio wa...
Kifupi kwa sasa watu pekee wanaoweza kumtetea mchezaji mwenzao kwa vitendo ni wachezaji wa utopolo.
Hata hivyo hakuna dalili ya wachezaji hao kufanya chochote kumsaidia.Ni sawa na nyati...
Kama wachezaji wana haki ya kuvunja mikataba wakati wowote, kuna uwezekano wa kutokea kitu cha ajabu sana. Swali ni je pale Yanga ikitokea wachezaji zaidi ya 20 wamepata deals nzuri na wameamua...
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeanza kutekeleza maagizo ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ya kuanza ukarabati wa Uwanja wa Benjamin...
Kwenye sakata la Fei toto TFF imedhibitisha kuwa FEI ni mchezaji halali wa Yanga. Pamoja na maamuzi hayo ya TFF lakini Fei hajaonekana kazini kwa mwajili wake. Hii ina maana kuwa Fei ameikosea...
Wakuu, baada ya mechi ya jana ya Kombe la Shirikisho sasa ni dhahiri kuwa timu ya Yanga wana tatizo la mipira ya kutenga. Kumekuwa na matukio mfululizo ya kufungwa mabao yanayotokana na mipira...
Mama wa kiungo wa Yanga SC Feisali Salum amezidi kutema nyongo kuhusu maisha ya kiungo huyo akiwa kwenye klabu hiyo ya Jangwani/Twiga.
👉 Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC...
Simba timu yangu msipoacha uchawi hakika mtazidi kupata aibu ! Tabia yenu ya kumtegemea huyo sangoma wa kike hapo klabuni niyakipumbavu sana ! Mbaya zaidi mnampa na pesa kabisa awasaidie kuloga...
Mabingwa watetezi wa Azam Federation Cup Young Africans leo majira ya saa Moja usiku watashuka katika Simba la Chamazi kumenyana na Tanzania Prisons katika hatua ya 16 bora ya michuano hiyo...
Timu zote kubwa zinamilikiwa na wawekezaji kwa hiyo uwekezaji wao lazima uangalie faida na hasara tofauti na madrid na barcelona. Madrid,barca na wakubwa wengine ulaya wakiona mchezaji bora...
Fatma Karume ambaye ni Mshauri wa Kisheria wa Mwanasoka Feisal Salum ‘Feytoto’ anadai kutopendezwa na maamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF kwenye Shauri ya mteja wake na kulitaka Shirikisho...
Si huwa mnasema kuwa Simba SC tu pekee ndiyo Walozi ( Wachawi ) kwa Soka la Tanzania?
Na akirejea Tanzania mtatuambia hayo Manyoya ya Sungura na Bundi aliyabeba ya nini kwenda nayo nchini Mali...
Wameshapigwa moja tayari na wanakimbizwa kinoma, ila mashabiki wa WAC wanashangilia vizuri sana.
Mashabiki wa timu zetu wana la kujifunza
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Baada ya Fesal kuangukia pua tena kwenye Review ya hukumu iliyotolewa kati yake dhidi ya mwajiri wake klabu ya Young Africans sasa twende Moja kwa moja kwenye mada.
Klabu ya Yanga inaendelea...
Wao wenyewe Wameshakula (Wameshafungwa) mno nasi Goli 6 kwa 0, Goli 5 kwa 0 huku hizi Goli Nne Nne (4) akiwa ameshafungwa mara nyingi tu ila Watu wa Simba SC wala Hawawehuki hovyo na Kishamba kama...
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo tarehe 2 Machi, 2023 kwa ajili ya kusikiliza pamoja na mambo mengine shauri la mapitio (Review)...
Fei kushindwa soka letu limeshinda! Ukubwa wa jina la Fei alioupata akiwa Yanga ungekuwa silaha ya kuuangamiza mpira wetu 🇹🇿.
Kivipi?
Kesi/Shauri lake kama angeshinda lingetumika kama kielelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.