Mtendaji Mkuu wa Ligi Kuu ya Hispania ‘LaLiga’, Javier Tebas amesema kuwa klabu hiyo haitakiwi kufanya usajili katika dirisha kubwa mwishoni mwa msimu huu hadi watakapofanikisha kuingiza Pauni...
Kuelekea mechi ya leo kati ya Yanga SC na Tanzania Prisons.. Msemaji wa Tanzania Prisons anena haya wakati akihojiwa na kituo kimoja cha redio:-
Mtangazaji: Kuelekea mechi ya leo, je katika timu...
Baada ya Fatma kutoka kwenye kikao cha review ya hukumu ya mchezaji Feisal Salum dhidi ya Waajiri wake Klabu ya Yanga, Wakili Fatuma Karume maarufu kama 'Shangazi' aliyekuwa upande wa Fei Toto...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa klabu bingwa Afrika kati ya Simba Vs Vipers SC ya Uganda mchezo utakaochezwa...
Wamekuwa wakitoa ahadi za hadi 30M iwapo Prisons itaifunga Simba. Bado nasubiri ahadi ya dau nono iwapo Tanzania Prisons wataifunga Yanga leo katika ASFC
Uzi
Naam,
Baada ya hukumu ya awali iliyotolewa na kakamati ya TFF, Fei akiongozwa na genge lake walisema wataomba revie na ikibidi watajiandaa na kuchukua hatua ya kwenda CAS.
Niltegemea utekelezaji...
Kwema wakuu,
Nimekaa nikawaza, TZS 5mil kwa kila goli naona kama ni hela ndogo sana. Kwa Serikali kama ya Mama Samia zile ni hela ndogo sana. Pengine hata zingefaa kua ni hela kwa kila mchezaji...
Moja kwa moja kweye maudhui:
Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Aden amemuonya mchezaji Feisal Salum Fei Toto akikata rufaa Mahakama ya usuluhishi ya FIFA (CAS) atakuwa anapoteza muda tu...
Wakuu hii review ya Fei imekaa kimkakati kuwatoa watu kwenye tension ya yule ndugu yao kutoka Zanzibar ambaye anaendelea kutrend kwenye social network.
Kijana amevurugwa kichwa, wenye hela wamemvuruga moyo, pepo la fedha nyingi za ghafla likamrukia shingoni.
Hapo alipofikia Sasa hahitaji msaada wa wanasheria bali wanamaombi ili kumtoa pepo la...
Messi amenunua simu 35 aina ya iPhone14 za dhahabu na kuwazawadia kikosi cha Timu yake ya Taifa ya Argentina kwa kutwaa Ubingwa wa FIFAWorldCup2022
Inaelezwa kuwa Nyota huyo wa PSG ametumia...
Morrison aliposhinda kesi yake ya kimkataba dhidi ya Yanga, mzigo wa lawama uliwaangukia viongozi, hakuna rangi waliacha kuona, hata busara na maridhiano hamkutaka vifanyike. Binadamu hao hao leo...
ANAYEMTAKA AJE MEZANI🤣🤣.
Simba sc walikusudia wawe mabingwa msimu huu kwa hali na mali. Wakaona Yanga inatembea tu.
Simba SC wakafanya kikao kukaribia mechi ya YANGA na Azam. Kwa kumtumia Mtu wa...
Juzi kabla ya marejeo(Review) ya kesi ya Fei Toto dhidi ya Young Africans kuna baadhi ya wachambuzi nzala walimhoji kwa makusudi Mama yake Fei Toto ili kuishinikiza kamati ya TFF inayohusika na...
Endeleeni kuchonga lkn mawakili wa Feitoto sasa wanahamishia nguvu CAS, huko hakuna wa kuhonga, huko ni hoja juu ya hoja.Huko wewe unawasilisha hoja na mm nawasilisha.
Ninaamini baada ya uamuzi...
Baada ya maamuzi ya mapitio (review) ya shauri la tafsiri ya mkataba haina ya Yanga na Feisal kutoka, baadhi ya watu wanaonekana kusema kuwa haki haijatendeka. Swali langu: Haki ina upande?
Je...
Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri...
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetumia muda wa saa mbili kumaliza kupitia upya shauri la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Klabu ya Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.