Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Beki wa kati wa Simba SC Erasto Nyoni baada ya Timu ya Majimaji ya Songea kukwama jijini Dar es Salaam kwa kukosa pesa ya nauli na deni la Hoteli juzi alifanikiwa kuwasaidia kulipa na kuwapa Tsh...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya CAF kutoa maelekezo kuhusiana na mashindano ya Super Cup, uwanja wa Benjamin Mkapa umefungwa isipokuwa kwa mashindano ya kimataifa pekee. Kwa hiyo mashindano mengine yoyote ikiwemo yale...
11 Reactions
67 Replies
4K Views
Noel le Graet (81) amechukua maamuzi hayo baada ya French ripoti kubainisha kuwa kuna "uchafu'' ndani ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) licha ya kuwa muda wa kukaa madarakani ilikuwa hadi...
1 Reactions
9 Replies
823 Views
March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5. March 17, Horoya kwa mkapa...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwa jinsi navyojua viongozi wa Afrika walivyo wapenda rushwa, Kuna kila dalili ya kuwa klabu hii kongwe imetoa mlungura ili wapewe nafasi ya kushiriki hilo bonanza. Kibaya zaidi ni kuwa...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Uwanja wa Mkapa kufanyiwa maboresho makubwa kwa michuano ya Africa Super League Serikali imeahidi kufanya marekebisho makubwa yanayohitajika katika uwanja wa Benjamin Mkapa ili kukidhi viwango...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna mbumbumbu Tanzania hili halipingi, leo Nina swali moja tu, naomba nielimishwe mchakato unaopitia timu mpaka kufika kwenye makundi ni UPI? Tukishaujuwa mchakato huo tueleza ukweli je kuna...
1 Reactions
77 Replies
4K Views
Mortada Mansour Rais wa Zamalek, Mortada Mansour amehukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela katika kesi aliyoshtakiwa na Rais wa Al Ahly, Mahmoud al-Khatib. Mansour, ambaye ni Mbunge wa zamani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
FT: TP Mazembe 0-2 Monastir Huwezi kujiona una timu kwa kuifunga TP Mazembe nyumbani. TP Mazembe ni ile ya kina Samata au hii ya juzi kati ya kina Baleke. Timu mpaka inafungwa na Utopolo hiyo...
12 Reactions
47 Replies
2K Views
Ni Jumapili tulivu, wapenda kandanda tunakutana tena hapa jukwaani kushuhudia mechi za Kombe la Shirikisho Afrika. Leo katika Kundi D, AS Real Bamako ya Mali inawakaribisha wawakilishi wa...
13 Reactions
567 Replies
29K Views
Al Ahly ameshakufa bao 1 had sasa, ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba leo halafu unaambiwa malengo ni nusu fainali, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious...
13 Reactions
45 Replies
3K Views
Singida united ilikuwa timu kubwa na uwezo wa kusajili wachezaji wakubwa bwana yule alipokuwa madarakani. Ila alipotumbuliwa tu timu ikaparanganyika mpaka kupotea kabisa kwenye ramani ya soka...
2 Reactions
5 Replies
589 Views
Rais wa Tanzania amesema atatoa Tsh 5mil kwa kila goli litalofungwa na hizo timu tajwa, mwishoni mwa wiki hii, watakapokuwa wakicheza michezo yao ya Kimataifa. Hayo yamethibitishwa na Msemaji...
14 Reactions
106 Replies
8K Views
Yanga hadi dakika ya 90 na sekunde kadhaa wakulikuwa wanaongoza kwa goli 1. Kona waliyopata AS Bamako ndo ikatia mchanga kwenye pilau. Je, unadhani goli hili lilitokana na uzembe,wachezaji...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimekaa nafikiria tangu juzi nikajisemea moyoni hivi hawa jamaa kauka nikuvae mabeki wa Simba Tshabalala Zembwe Jr na Kapombe mishahara yao ni kiasi gani? Maana sio kwa kazi ile wanayopiga...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
At any time t Potter anaweza kuondolewa pale Chelsea kutokana na mwenendo mbovu wa timu. Tutumie hii thread kupendekeza kocha gani anafaa kuja kuchukua mikoba yake hata kama bado hajafutwa kazi...
2 Reactions
12 Replies
594 Views
Chana ni mwana Yanga SC lia lia na Mwinjuma ni mwana Simba SC Kindakindaki. Kazi ipo.......
1 Reactions
3 Replies
817 Views
Habarini ndugu zangu Next game Utopolo vs Bamako..yanga win Monastir vs Mazembe (Mazembe win) Utopolo vs Monastir (utopolo loose) Mazembe vs Yanga (Mazembe win) Yanga out Wanachii huu ndio...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Salaam wakuu! Nina wazo hapa, hivi founder na moderators hamuwezi kuanzisha Jamii forum sport FC ambayo tunaweza alika team yoyote na tukakiwasha hata mara moja kwa mwaka ikaanzishwa Jamii forum...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Back
Top Bottom