Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mimi kama shabiki wa Liverpool ningependa kuwaomba ndugu zangu mnavyoweka mikeka yenu msimuue Chelsea [emoji23] akifungwa leo atakuwa na Goal Difference (GD) Negative. So muweke hata awin au adraw...
1 Reactions
5 Replies
314 Views
Kama unatazama hii Mechi ya Al Ahly vs Mamelodi Sundown, halafu unamsikia kiongozi wako anakwambia sisi malengo yetu ni nusu fainali ya Champions League, mpige kibao azinduke. Hawa jamaa wapo...
5 Reactions
2 Replies
461 Views
Ukweli husemwa: Huu utalii wa kutumia jina la uwakilishi lazima tuuangalie kwa macho mawili. Sina budi kuzipongeza zile nchi anbazo kwa msimamo makini hata hazikupeleka wawakilishi kuwa kama...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Simba anapojipatia mawindo yake fisi huanza kujichekeshachekesha kama fosi za watani zangu Wagogo zinapovuka barabara za lami Na hakuna mnyama hasimu mkubwa wa simba huko nyikani kama mafisi...
0 Reactions
14 Replies
833 Views
Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock Inonga 6. Sadio Kanoute 7. Kibu Denis 8. Clatous Chama 9. Jean Baleke 10. Moses Phiri 11. Saido...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa hjcho langu la kimpira naona kabisa Vipers anashinda ila sio goli zaid ya mbili. Vipers 2-0 Simba je Simba atapigwa ngapi ? Tupia ubashiri wako
3 Reactions
16 Replies
656 Views
Tulijaribu kuwaeleza Hawa ndugu zetu kuwa endapo timu hii ingekutana na timu za maana ile hatua ya awali basi hata caf confederation cup isingekuwepo. Bahati mbaya wakajiona Wana timu ya maana...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Huwezi ukalinganisha goli la ugenini na la home stadium. Ukweli ni huo lazima mamlaka iliangalie hili. 1. Mathematics haiwezi kuwa sawa na Language. 2. Visa ya USA haiwezi kuwa sawa na ya Rwanda...
1 Reactions
7 Replies
426 Views
Kwa kipindi cha miezi 12 iliyopita, nchi ya Senegal imeonyesha outstanding performance katika mchezo wa Soka Barani Afrika. Senegal ni:- 1. Mabingwa wa Kombe la Mataifa Afrika, 2. Mabingwa wa...
2 Reactions
4 Replies
580 Views
Mimi ni simba damu damu ila kusema kweli sioni kama tutatoboa kimataifa. Timu imekata tamaa kama mjane mwenye watoto saba. Fikiria tumepigwa na horoya Tumepigwa 3 kavu na raja mpaka mwekezaji...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu na Mizimu ya Kwetu ni Kuomba tu Simba SC tufungwe ili Safari hii tutoane Roho na Klabu isiwepo tena katika Ramani ya Soka Duniani. Na taarifa za uhakika nilizonazo...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Mwez ujao kutakuwa na mashindano ya Draft ya kumtafuta bingwa wa Tanzania Kwasasa Hapa Dar es salaam kumekuwa na mechi za Man to Man , za mabingwa wa draft wakijiandaa kuelekea Mashindano hayo...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira. Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio...
9 Reactions
46 Replies
4K Views
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo Na ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini. Nimefurahi sana kuona timu zinazoshiriki michuano ya caf hazina vipolo kwenye ligi. Ila waamuzi wetu bado hawako...
1 Reactions
1 Replies
508 Views
Jamaa namkubali sana, anapigana sana, ana punch nzuri, ana nguvu pia ana pumzi nzuri.
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu, Unapopanga kikosi kuna kitu kinaitwa team balance. Tangu kocha Robatinho aje amekua akimtumia Chama kama winger kitu ambacho kinaiathiri sana team hadi kupelekea hata mechi ya juzi...
2 Reactions
13 Replies
942 Views
Salaam..!! Katika pita pita zangu mitaani nimekutana na maneno toka kwa wadau wa Simba Sc, hasa mashabiki na wanachama wake, wanaodai kwamba, uchaguzi wa Simba Sc kufanyika wakati ule [katikati...
1 Reactions
77 Replies
3K Views
1. Robertinho ni mmoja wa makocha bora wa kigeni wanaolijua soka la Afrika mashariki 2. Hajakaa na timu muda mrefu ili aweze ku-instil falsafa yake ya timu kushambulia muda wote. 3. Timu ipo...
2 Reactions
8 Replies
560 Views
MKEKA WA Christina Mwagala (Msemaji wa klabu ya KMC) [emoji1614]... Kwa mara ya pili leo narudi tena kuzungumza na baadhi ya watu ambao wanajiita wachambuzi. Tangu jana baada ya kumalizika kwa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Misimu kama mitatu iliyopita jamaa wamefika mbali sana UEFA na Europa lakini msimu huu hakuna dalili ya kutoboa hatua ya mtoano waliyofikia. Liverpool kashakula 5, Man City mzee wa kugawa goli...
8 Reactions
81 Replies
3K Views
Back
Top Bottom