Kwa muda sasa nimeona pesa ikitumika na ujanja ujanja katika usajili. Nimekuwa nikiona watu ( wajinga ) wakishauri kuwa Simba isajili nchi za magharibi na kusini eti ndio sehemu zenye wachezaji...
Wachambuzi: mechi zidi ya watunisi! Nabi Sio Kocha wa mechi za kimataifa, Yanga wanapaswa kutafuta Kocha mwingine wa kuwavusha!
Baada ya gemu na Tp Mazembe! Wachambuzi Nabi ni Kocha wa kimataifa...
Jamaa linajua sana, linapiga free kick za kikubwa sana. Juzi limewatungua Waarabu, jana cotton sports wamelizwa kwa magoli makali yote.
Nadhani huyu jamaa hatasalia tena Al Hilal baada ya...
Hii ni mechi dume na wydad anaongoza moja lakin anapelekewa moto hatari hadi kocha wao anatamani kuwaambia wakimbie.
Huku kwetu mpira ni ushubwada tu, eti timu ina Kibu Denis, Boco, Mzamiru...
Na kwa jinsi Presha ilivyonipanda kama Simba SC haitoshinda leo au hata ikitoka Sare/Suluhu tu naweza Kulazwa ICU.
Ninaitakia tu Kila la Kheri Simba SC.
Tukihahahaaa kupata mil 5 ya mama.leoooi mpaka sasaaa sahani iasomaa ht yanga tumepigwa 2-0
kipindi cha pili tutapata goli kupitia mmoja wa mabeki wetu ama wa katiiiii
kama juhudi zikiendelea...
Nikiri lile tusi mbumbumbu ni kama nalielewa sana kwa sasa.
Wakati wanabadili mwalimu timu ikiwa inafanya vizuri wengine tulipiga kelele.Binafsi nilipiga kelele kwa Mo kuleta mzungu kama mwalimu...
Siku hizi watanzania wakitaka kuvinjari hujiunga kwenye mbio za Marathon. Ingawa kuna tetesi kuwa mambo huko huwa moto!
Baadhi ya washiriki wa CRDB Marathon 2022.
Niseme tu labda siwafahamu De Agosto vizuri. Lakini mpira wa Jumapili wa Simba sikuelewa, butu butu nyingi.
Ubora wa timu niliouona kwa Mgunda ni ifuatayo;
Uchaguzi mzuri wa wachezaji.
1...
Droo ya 16 bora ya EUROPA imepangwa ambapo ni kama ifuatavyo
🇩🇪 Union Berlin vs Union SG 🇧🇪
🇪🇸 Sevilla vs Fenerbahce 🇹🇷
🇮🇹 Juventus vs Freiburg 🇩🇪
🇩🇪 Leverkusen vs Ferencvárosi 🇭🇺
🇵🇹 Sporting CP...
Simba kutaka kucheza mechi za kirafiki na al hilal ni kujimaliza, kutafuta injury bila sababu.
ZIMBWE NA KAPOMBE HAWAPATI ROTATION HAPO HAPO TUNA MECHI NA SINGIDA BIG STARS KABLA YA KUSAFIRI...
Tena kama kuna Mchezaji aliye block Mipira mingi ya Viungo wa Horoya FC huku akiwasumbua na Kuziba Mashimo vyema na akitoa Pasi za uhakika, akijiamini na kupiga Chenga zilizoenda Shule ni Kiungo...
“Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa...
Ili Simba ishinde ugenini Uganda itakapocheza na Vipers kwanza kabisa Robertinho atumie mfumo wa Juma Mgunda ili kuleta ufanishi kwenye timu.
Mbinu zake hazifanyi kazi Simba kwa sbb ya wachezaj...
1. Golikipa Aishi Manula
Tusifiche na kuwa Wanafiki kwa Siku za karibuni amepoteza Uwezo wake na Kufungika si tu Kirahisi bali Kizembe mno.
Aambiwe awe Mkali awapo Golini hasa kwa Kuwapanga...
Ukiangalia SImba kwa nini timu haitembee. Kuna mambo mawili ya kuangalia kwanza UMRI wa wachezaji waliopo SIMBA wengi ni 30 and above, Pili SImba haipandishi vijana wa under 20 kuja timu ya...
Huku ikitarajia Kucheza katika Ligi ya Championship Kesho ( Ijumaa ) dhidi ya Dar City FC Klabu Kongwe na ya Kihistoria ya Maji Maji FC kutoka Mkoani Ruvuma ( Songea ) alikoishi muda mrefu Msemaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.