Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Na wala huhitaji Akili Kubwa kujua kuwa kwa Shangilia ile ya Kocha wa Simba SC ni kama vile anawajibu Maadui zake ndani ya Klabu ( hasa Uongozi na baadhi ya Wachezaji ) hivyo kuhitimisha hili...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa...
11 Reactions
169 Replies
12K Views
Klabu ya Simba Sc imepoteza michezo miwili mfululizo ya klabu bingwa Africa CAFCL, lakini wamebakiwa na michezo minne miwili ikiwa ugeni dhidi ya RAJA CA na VIPERS na nyumbani dhidi ya HOROYA na...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limefungia Uwanja wa Benjamini Mkapa kutotumika kwa kile kilichoelezwa umeharibika eneo la kuchezea (pitch) na sasa utafungwa kwa mwezi mmoja kupisha marekebisho...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Ufike wakati tukubali tu hakuna marefu yasiyo na ncha hakika tumetamba Sana takriban miaka 4 ya nyuma Sasa ni wakati wa kukubali matokeo kuwa kikosi chetu kimechoka Sana mfano mzuri ni haya...
3 Reactions
10 Replies
684 Views
Hii mada nilikuwa nataka niielezee kwa upana ila nadhani kwa ufupi itajitosheleza. Timu za Simba na Yanga zimebeba mioyo ya asilimia kubwa ya Watanzania. Wote tunajua inayosemekana ni historia...
1 Reactions
13 Replies
676 Views
Wakuu naomba kuuliza Kocha mkuu wa klabu ya soka ya Simba raia wa Brazili Roberitinho almarufu mzee wa Sambaroketo kushangalia kupata sare pindi timu yake iliposhuka dimbani kucheza na timu ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa mpira wa jana je Simba tutatoboa makundi kweli? Naiona simba ikistruggle sana chini ya Robertinho. Saido na Chama mmoja awe anaanzia benchi baadae Saido ndio aingieee. Tuwe na timu ya mgunda...
2 Reactions
9 Replies
468 Views
Hii imekaaje karibu ili upate habari kwa kina kuhusu kinda huyu tokea visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) motto aliyekuzwa na urojo pamoja na vibagia. Kwasasa yupo kikaangoni akizungushwa huku...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Freddy Macha KWA UFUPI Ingawa msafara huo ulihusu michezo na mpira, uliwakutanisha pia baadhi ya Watanzania wakazi wa Jiji la Sunderland na wale wasomao Chuo Kikuu cha New Castle, Kaskazini...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwangu mimi nitakuwa wa mwisho kuwalalamikia viongozi, wale wanaolalamikia viongozi naona kama wanataka simba irudi kule kusafiri kwenda Mwanza kwa bus. Yes kuna wachezaj wamesajiliwa Simba...
1 Reactions
12 Replies
373 Views
Mchezo unaelekea mwishoni, Liverpool wamepigwa goli 5 kwa 2 mpaka sasa licha ya wao kutangulia kwa goli 2 kwa bila. Je, ni wakati wa Klopp kuondoka au apewe muda? --- Liverpool’s hellish season...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' amezungumza na Azam Tv kwamba, rais wa heshima wa timu hiyo Mohammed Dewji 'MO' anarudi kusajili. Try Again amesema kuwa...
8 Reactions
71 Replies
5K Views
Salaam..!! Kama tujuavyo lile sakata la Fei na Yanga kuhusu suala la mkataba namna lilivyoendeshwa kwa magumashi na TFF kwa kushirikiana na wanasiasa, na jinsi maamuzi ya kesi ile yalivyokuwa ya...
17 Reactions
217 Replies
12K Views
Waswahili wanapenda sana kukomalia mambo ma hata pale ushahidi ukiwa hafifu au wakiletewa ushahidi tofauti na wanachotaka kuamini, wanakuwa wagumu kukubali. Nimeona clip inayosambaa ya basi la...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Ni jambo la ajabu sana kuona wanasimba kuanzia kocha mkuu wachezaj wa akiba na mahabiki wote wa Simba kushangilia sare dhidi ya timu dhaifu ya azam ambayo inafungwa na dodoma jiji, Ihefu, singida...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Leo Robertinho kaonesha waziwazi kuwa hajui cha kufanya (kaishiwa mbinu) na kumuomba Mgunda ushauri. Hatua ya kwanza camera zikamnasa kuomba ushauri na kisha akaonekana Baleke kuingia nafasi ya...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Goli Moja tulilofungwa leo limetokana na Yeye hasa kwa Uzembe wake wa Kutoruka akihofia Rasta zake na Mwanaume akapiga Header ya maana Goli. Na aliponikera zaidi amefungisha na Kipa Manula...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Haiwezekani Watangazaji wako hawa Maulid Kitenge na Twalib Muwa ambao si tu ni Mashabiki wa Yanga SC bali pia ni Wanachama wa Yanga SC kila wakiwa pamoja Hewani katika Kipindi cha Sports...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom